You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari Asubuhi 18.11.2017
Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu // Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi umekamilika rasmi usiku wa jana mjini Bonn, Ujerumani // Urusi imepiga tena kura ya turufu kuzuia azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.
Tarifa ya Habari Asubuhi 17.11.2017
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameendelea kushikilia msimamo wake wa kukataa kujiuzulu baada ya jeshi kuidhibiti nchi hiyo // Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ameahidi kupunguza matumizi ya nishati inayotokana na makaa ya mawe // Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelikataa azimio la Marekani la kuanzisha upya uchunguzi wa kimataifa kuhusu mashambulizi ya kemikali nchini Syria.
Taarifa ya habari za asubuhi 12.11.2017
Rais wa Marekani Donald Trump asema Rais wa Urusi Vladimir Putin hakuingilia uchaguzi wa Marekani. Rais wa Lebanon aitaka Saudi Arabia kutoa maelezo juu ya Waziri Mkuu wake Saad Hariri kutorejea nyumbani. Maelfu waandamana mjini Barcelona kudai kuachiliwa huru viongozi wa Catalonia waliokamatwa.
Trump na Putin wasema nguvu za kijeshi sio suluhisho Syria
Trump amesema makubaliano ya kuusuluhisha mzozo wa Syria kisiasa badala ya kijeshi, yataokoa maisha ya watu wengi.
Taarifa ya habari za asubuhi 11.11.2017
Mawaziri wa nchi za Pasifiki wafikia makubaliano juu ya mkataba wa biashara huru wa TPP. Ujerumani kuchangia euro bilioni 3.8 zaidi baada ya Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya 2019. Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya tawi la IS nchini Somalia lazidi kupanuka.
Urusi yapinga ripoti inayolaumu Syria kwa shambulizi la gesi
Urusi yatilia shaka ripoti inayoilaumu Syria kwa mashambulizi ya gesi ya sumu
Syria yajiunga na makubaliano ya mazingira ya Paris
Rais wa Marekani Donald Trump mwezi Juni aliiondoa nchi yake kutoka makubaliano hayo ya kihistoria ya mazingira.
Taarifa ya habari za asubuhi 04.11.2017
Uhispania yatoa waranti wa kukamatwa kwa aliyekuwa kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema muungano wa pande tatu unaweza kufanikiwa. Ufaransa yaitaka Urusi kusaidia katika kufikisha misaada nchini Syria.
Waranti wa kukamatwa Puigdemont watolewa
Jaji wa Uhispania atoa waranti wa kukamatwa kiongozi wa zamani wa Catalonia; Jeshi la Syria limeukomboa mji wa Deir el-Zour; na Akaunti ya Twitter ya Trump yapotea kwa muda.
Umoja wa Mataifa waombwa kusimamia mazungumzo ya amani Syria
Kamati Kuu ya Majadiliano HNC imesema haitashiriki katika shughuli yoyote itakayoandaliwa nje ya usimamizi wa UN
IS yazidi kudhibitiwa Iraq na Syria
Kundi la IS lazidi kudhibitiwa Iraq na Syria, wakati ngome zake zikiendelea kuchukuliwa na wanajeshi
Nani anapambana kwenye vita vya Syria?
Tangu mwaka 2011, mzozo huo umeyaingiza mataifa tofauti yanayokinzana kutoka kila kona duniani
Wapinzani wamesema mkutano ni lazima ufanyike chini ya UN
Kampeni nyingine zinaendelea kufanyika katika ngome kuu ya IS
Sheria ya hali ya hatari ya 2015 yafikia mwisho wake leo
Wakosoaji wa serikali wameikosoa sheria hiyo mpya kwa kusema itakiuka haki na uhuru wa watu nchini Ufaransa.
Raila apendekeza bunge la wananchi
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga leo ameshutumu vikali kufanyika upya kwa uchaguzi ambapo rais Uhuru Kenyatta ametangazwa kuwa mshindi.
UN: Wasyria milioni 13 wanahitaji msaada wa haraka
Baraza la Usalama la UN laarifiwa kuhusu mzozo wa Syria, ugaidi katika ukanda wa Sahel na mzozo wa Myanmar.
Taarifa ya Habari Asubuhi 31.10.2017
Jaji wa mahakama ya Marekani ameamuru kuwekwa katika kifungo cha nyumbani waliokuwa wasaidizi wa kampeni wa Rais Donald Trump // Maandamano ya baada ya uchaguzi yameendelea jana nchini Kenya, baada ya Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi wa uchaguzi mpya wa urais uliofanyika Oktoba 26 // Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya Wasyria milioni 13 wanahitaji msaada ili kuyaokoa maisha yao.
Taarifa ya habari za asubuhi 29.10.2017
Rais Uhuru Kenyatta aongoza kwa asilimia ya asilimia 98 ya kura katika uchaguzi uliosusiwa na upinzani huku hali ya taharuki ikiendelea kukumba baadhi ya sehemu za Kenya.// Kiongozi wa Catalonia aliyevuliwa mamlaka ahimiza kufanywa kwa upinzani wa kidemokrasia dhidi ya hatua ya Uhispania kuchukua udhibiti wa jimbo hilo.// Watu 25 wauawa kufuatia mashambulizi mjini Mogadishu Somalia
Pendekezo la wakurd kuhusu kura ya maoni ya uhuru lakataliwa
Pendekezo la wakurd kuhusu kura ya maoni ya uhuru lakataliwa
Taarifay a habari za asubuhi: 25.10.2017
Tillerson atafuta msaada wa Waarabu kuitenga Iran
Unapotokea mgogoro kati ya nchi washirika, mtu ataingilia kati kwa kujinufaisha kutokana na tofauti zao.
Kundi la IS lasambaratishwa nchini Iraq na Syria
Kundi la IS lasambaratishwa nchini Iraq na Syria
Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya ajiuzulu
Vikosi vya Syria vinavyosaidiwa na Marekani vyaukomboa mji wa Raqqa; Mkutano wa 19 wa chama cha Kikomunisti waanza China; na Mvutano wa chama cha ANC watishia kukigawa chama hicho cha Afrika Kusini.
Wanajeshi wa Iraq wadhibiti mji wa Kirkuk
Maelfu ya raia wamerudi katika mji wa Kirkuk huko Iraq siku moja baada ya kuyakimbia makaazi yao.
Uturuki yatuma majeshi Syria
Jeshi la Uturuki limetangaza kuanza kutuma wanajeshi kaskazini magharibi mwa Syria katika mkoa wa Idlib.
Argentina huenda isifike Urusi mwakani
Argentina huenda isifike Urusi katika fainali za kombe la dunia
Erdogan: Tunatekeleza mkataba wa kupunguza ghasia Idlib
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema nchi yake inatekeleza mkataba uliokubaliwa na Urusi na Iran.
Ulaya yalaumiwa kurejesha kwa nguvu waomba hifadhi
Amnesty Internationa yalaumu mataifa ya Ulaya kuhusu waomba hifadhi wa Afghanistan
Kiongozi wa IS Al-Baghdadi aibuka katika mkanda wa sauti
Abu Bakr Al-Baghdadi ameibuka baada ya taarifa kwamba huenda aliuawa nchini Syria.
Taarifa ya Habari za asubuhi: 29.09.2017
Kiongozi wa kundi la Dola la Kiislamu Abubakar Al-Baghda aibuka na kuwataka wapiganaji wake kutosalimu kwa maadui. Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa Myamnar kukomesha mgogoro wa jamii ya Rohingya. Na kiongozi wa upinzani Kenya aitisha maandamano nchi nzima kushinikiza mageuzi katika tume ya uchaguzi.
Rais Jacob Zuma bado akaliwa kooni
Wakurdi wa Iraq wamesherehekea ushindi walioupata baada ya kupiga kura ya NDIYO ya kujitenga kutoka Iraq. Nchini Uhispania serikali imesema itapeleka polisi zaidi ili kuwazuia watu kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga ya mkoa wa Catalonia. Na maelfu waandamana Afrika Kusini kupinga ufisadi na rais Jacob Zuma.Papo kwa Papo 28.09.2017
Abadi ataka kura ya uhuru wa Wakurdi ifutwe
Kura hii ya maoni hailazimishi kuheshimiwa na mataifa mengine wala haiitamki Kurdistan moja kwa moja kuwa ni huru.
Iraq na Uturuki wafanya mazoezi ya pamoja kijeshi
Iraq na Uturuki wafanya mazoezi ya pamoja kijeshi
Wapiga kura wengi waunga mkono Uhuru wa Kurdistan
Kura yafanyika licha ya onyo kutoka mataifa jirani na Iraq
Wakurdi wa Iraq wajianda na kura ya kujitenga
Waziri mkuu Heidar Al-Abadi amesema atachukuwa hatua zozote kulinda umoja wa taifa hilo.
Marekani na Urusi zaujadili mzozo wa Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson amekutana na waziri mwenzake wa Urusi, Sergei Lavrov.
10.09.2017 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Watu milioni 6 watakiwa kuhama Florida na Georgia, Jeshi la Syria laondosha mzingiro wa kambi ya anga ya Deir Ezzor na Korea Kaskazini yakiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
Kituo cha kijeshi cha Syria chashambuliwa
Waangalizi wa haki za binadamu nchini Syria wanasema kituo cha kutengeneza silaha za kemikali kililengwa.
Uhispania, Morocco zawaangamiza wanamgambo wa IS
Watano kati ya watu waliokamatwa ni Wamorocco.
Wakimbizi wa Syria Wajiunganisha na jamii ya Ujerumani
Mataifa mengi ya Ulaya hayapendi kupokea wakimbizi. Lakini sera ya "Milango wazi" ya Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, ilisababisha wengi kuingia nchini humo. Baadhi yao sasa wanasema, ni jambo jema kurejesha fadhila. Miongoni mwao ni mkimbizi huyu Moneer, anafanya nini? Tizama Video hii.
Wataalamu: Iraq ina changamoto licha ya ushindi dhidi ya IS
Iraq bado ina changamoto nyingi licha ya ushindi wa majeshi yake dhidi ya kundi la IS.
Matangazo ya jioni 03.09.2017
Matangazo ya jioni
Matangazo ya Jioni 02.09.2017
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema nchi hiyo ina tatizo na idara ya mahakama ambalo linapaswa kurekebishwa//Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, na mpinzani wake Martin Schulz, wanajiandaa kushiriki mdahalo wa televisheni kabla ya uchaguzi baadae mwezi huu//Urusi yamuita balozi wa Marekani mjini Moscow ili kumkabidhi hati ya kupinga ukaguzi wa eneo la biashara la Urusi mjini Washington.
Matangazo ya Mchana 02.09.2017
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ametoa wito kufikiriwa upya mtazamo wa nchi yake kuelekea Uturuki // Rais Donald Trump wa Marekani ameliomba baraza la Congress kumpatia dola bilioni 7.85 ili kukabiliana na maafa ya kimbunga Harvey // Mamia ya wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, wamehamishiwa kwenye mpaka wa Iraq.
Taarifa ya Habari Asubuhi 28.08.2017
Kimbunga kilichopewa jina Harvey kimeelezwa kuwa tukio baya kabisa la hali ya hewa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya jimbo la Texas//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema anataka kufanya kazi kwa karibu na Libya ili kuwazuia wahamiaji haramu wanaoingia Ulaya kutoka Afrika//Jeshi la Iraq limesema limelikomboa kabisa eneo la katikati mwa mji wa Tal Afar lililokuwa linadhibitiwa na IS.
Syria yakubali kuhamishwa kwa wanamgambo wa IS
Makubaliano yafikiwa kuwarejesha wapiganaji wa IS nchini Syria
Iraq yadhibiti asilimia 70 ya Tal Afar
Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kuyadhibiti maeneo mengi ya Tal Afar kutoka kwa IS.
Raia wa Raqqa nchini Syria wapo hatarini
Shirika la Amnesty International, limesema kampeni ya kivita mjini Raqqa, Syria, imesababisha vifo vya mamia ya raia
Mattis awasili Iraq
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Jim Mattis, amewasili Iraq katika kuviunga mkono vikosi vya Iraq.
Trump kuimarisha kampeni ya kijeshi Afghanistan
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza mkakati mpya wa kijeshi kuhusu Afghanistan na eneo la Asia ya Kusini.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 28 wa 77
Ukurasa unaofuatia