You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tarehe: 27.01.2018-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Trump alieleza konagamano la uchumi mjini Davos kuwa sera yake ya "Marekani kwanza" haimaanishi kujitenga// Usitishaji mapigano waanza katika mji wa Ghouta nchini Syria// Rais Josepha Kabila asisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa.
Usitishaji mapigano watekelezwa mashariki mwa Ghouta, Syria
Hatua ya ustishaji mapigani yaanza mashariki mwa Ghouta nchini Syria kwa sharti la kuruhusu uingizaji misaada ya kiutu.
Trump: ''Marekani Kwanza'' haimaanishi kujitenga
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Marekani haitovumilia biashara yoyote isiyo ya haki.
Wakurdi wa Afrin waomba msaada kijeshi wa Syria
Wakurdi wa Afrin waomba msaada kijeshi wa Syria
Duru mpya mazungumzo ya Syria yaanza
Duru mpya ya mazungumzo yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa kuutafutia ufumbuzi mzozo wa Syria imeanza mjini Vienna
Merkel na Macron wasisitiza utandawazi Davos
Angela Merkel na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wasisitiza kuhusu ushirikiano na utandawazi
Trump aionya Uturuki kuhusu operesheni ya Syria
Rais Erdogan ameapa kuendelea na harakati zake za kuwaondoa wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria
Moja asilimia ya watu duniani ni tajiri mno
Magazeti ya Ujerumani yameandika kuhusu Davos, Martin Schulz na SPD na silaha za Ujerumani kutumiwa na jeshi la Uturuki
Uturuki: Mamia ya wapiganaji wa Kikurdi na IS wauawa Syria
Uturuki imesema wapiganaji wa Kikurdi 260 na wanamgambo wa IS katika eneo la Afrin nchini Syria
Uturuki yaimarisha vita dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi
Operesheni dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi imezusha wasiwasi miongoni mwa washirika wa Uturuki na majirani zake
Tarehe. 21,01,2018- Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na: Wanachama wa chama cha SPD wakutana mjini Bonn kuamua juu ya uwezekano wa kuendelea na mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya muungano // Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence atetea uamuzi wa Trump kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel// Mahakama moja Iraq yamuhukumu kunyongwa mwanamke raia wa Ujerumani
Uturuki yavishambulia vijiji vya Wakurdi Syria
Wizara ya ulinzi ya Uturuki yasema hakuna kurudi nyuma
Syria yatishia kuidungua ndege yoyote ya Uturuki
Mvutano wazidi nchini Syria
Sera ya Trump Mashariki ya Kati yashusha heshima ya Marekani
Baada ya kutangaza kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, heshima ya Marekani katika kanda imepungua.
Mapambano ya haki za binadamu yafanikiwa
Ripoti ya shirika la utetezi wa haki za binadamu la Human Rights Watch inaonyesha viongozi wa siasa walio tayari kupigania haki za binadamu pamoja na wanaharakati ni muhimu katika kuzuia kufanikiwa kwa viongozi wanaokandamiza haki za binadamu. Tazama vidio.
Mapigano makali yazuka Tripoli
Mapigano makali yazuka Tripoli
Marekani yaisaidia Syria kuunda kikosi kipya cha jeshi
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani unashirikiana na wapiganaji wa Syria katika kuweka kikosi cha askari 3,000.
Syria yatetea Operesheni ya Idlib, yaijibu Ufaransa
Syria yajibu ukosoaji uliotolewa na Ufaransa juu ya kampeni yake ya kijeshi katika mji unaokaliwa na waasi wa Idlib.
Uturuki yazionya Iran na Urusi
Uturuki yazionya Iran na Urusi kutokana na Syria kulishambulia kwa mabomu jimbo la Idlib.
Majeshi ya Israel yashambulia maeneo ya Syria
Israel yashambulia maeneo ya Syria kwa ndege
Syria yavunja mzingiro wa waasi
Jeshi la Syria limevunja mzingiro uliokuwa umewekwa na waasi kuizunguka kambi yake Mashariki mwa mji mkuu Damascus
Kilio cha watoto kwenye maeneo ya vita.
Mwaka wa 2017 ulikuwa ni mbaya zaidi kwa watoto wanaoishi kwenye maeneo yenye vita, kwani wengine walitumika kama ngao vitani, washambuliaji wa kujitoa muhanga ama kulengwa kwa kiwango cha juu. Sikiliza madhila yanayowakumba watoto waliopo kwenye maeneo hayo kwenye Makala haya ya Mbiu ya Mnyonge.
Bingwa wa Miereka Syria
Japo aliikimbia nchi yake ya Syria inayozongwa na vita akaenda Misri, Amir Awad aliendeleza ari yake katika mchezo wa miereka. Akawa bingwa aliyeyashinda mataji mbalimbali akichezea timu ya taifa ya miereka ya Syria.
Matangazo ya mchana 30.12.2017
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Mafanikio ya serikali yametoa matumaini ya kumuondoa Assad
Jeshi limesonga mbele kuelekea Kaskazini Magharibi mwa Syria ngome kuu ya waasi iliyosalia.
Kundi la IS lahusika kwa mauaji ya watu 40 Kabul
Watu wapatao 40 wameuawa kwenye milipuko kadhaa nchini Afghanistan. UNICEF yasema mwaka 2017 ulikuwa ni mwaka mgumu kwa watoto walio katika maeneo yenye migogoro. Raia wa Liberia wasubiria kwa hamu matokeo ya uchaguzi wa rais.
UNICEF: Watoto walishambuliwa mno 2017
Watoto waliuawa, kujeruhiwa, kutumika kama ngao vitani, kubakwa na washambuliaji wa kujitoa muhanga.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 28.12.2017
Urusi yaionya Marekani kutoingilia uchaguzi wake wa Rais unaotarajiwa mwezi Machi mwakani//Wagonjwa mahututi waanza kuondolewa katika eneo la Ghouta Mashariki nchini Syria//Tume ya uchaguzi nchini Liberia yasema Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais yatatangazwa leo.
Liberia kutangaza matokeo ya uchaguzi
Liberia yangoja kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali. Misri yanyonga watu 15 waliohusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama rasi ya Sinai 2013. Na maelfu waandamana Lima, Peru kupinga kusamehewa rais wa zamani Alberto Fujimori aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 25 jela.
Chini ya wapiganaji 1,000 wa IS wamebaki Iraq na Syria
Urusi imeituhumu Marekani kwa kuwapa mafunzo wapiganaji wa zamani wa Dola la Kiislamu nchini Syria, kwa lengo la kuivuru
Syria: Shughuli ya kuwaondoa wagonjwa waliozingirwa yaanza
Takriban watu 400,000 Mashariki ya Ghouta wamezingirwa na vikosi vitiifu kwa rais Bashar al-Assad
Tarehe: 25.12.2017- Matangazo ya jioni
Tuliyo ni pamoja na : Papa Francis atoa mwito wa kupatikana amani Jerusalem// Udhibiti wa IS Syria wazidi kupungua// Waliberia kumchagua rais kesho Jumanne.
Silaha zilizotumiwa na IS zilitoka nchi za Umoja wa Ulaya
Silaha zilizotumiwa na IS zilitoka nchi za Umoja wa Ulaya
Tarehe 10,12,2017- Matangazo ya jioni
Tuliyonayo ni pamoja na : Washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wakabidhiwa tuzo zao//Korea Kusini, Japan , Marekani kufanya luteka za pamoja za ndege za kivita//Upande wa serikali Syria warejea katika mazngumzo ya amani Geneva.
Taarifa ya Habari Asubuhi 10.12.2017
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa nchi za Kiarabu, wameukosoa vikali uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel//Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza rasmi kuwa nchi hiyo imeshinda vita dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu//Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Boris Johnson amefanya mazungumzo na mwenzake wa Iran, Mohammad Javad Zarif.
Shida za mtoto mkimbizi wa Kisyria
Aras Ali, mwenye umri wa miaka 11, alikimbia vita Syria.Ndoto yake ni kwenda shule. Lakini mwishowe aliishia kupelekwa kazini na familia yake.
Marufuku ya kusafiri ya Trump kuanza kutekelezwa
Marufuku ya kusafiri ya Trump kuanza kutekelezwa
Tarehe: 02,12,2017-Matangazo ya jioni
AfD wakutana kuchagua viongozi wa chama hicho
Tarehe: 02,12,2017-Matangazo ya mchana
Ndege za kivita za Israel zashambulia maeneo ya jeshi nchini Syria
Wizara ya fedha yashambuliwa Yemen
Bomu lalilipuka nje ya jengo la wizara ya fedha, mjini Aden nchini Yemen
Je wanapaswa kurejeshwa katika nchi zao au la?
Daniel Gakuba anasimulia zaidi kwenye makala Mwangaza wa Ulaya.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 29.11.2017
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukztana kwa kikao cha dharura baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora//Serikali ya Syria imetangaza itatuma wajumbe kwa mazungumzo ya kutafuta amani yanayoendelea Geneva//Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wa Umoja wa Afrika kukutana Ivory Coast kwa mkutano wa kilele kuhusu maendeleo.
Mazungumzo ya kutafuta amani Syria yaanza Geneva
Upande wa upinzani kwa mara ya kwanza unatuma ujumbe unaowakilisha makundi yote katika mazungumzo ya Geneva.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 28.11.2017
Duru ya nane ya Mazungumzo ya kutafauta amani Syria yanatarajiwa kuanza leo mjini Geneva//Mkuu wa Jeshi la Myanmar asema hakuna ubaguzi wa kidini nchini humo//Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aapishwa kwa muhula wa pili
Saudi Arabia yaapa kuwaangamiza magaidi
Mkutano huo ni wa kwanza wa aina yake kufanyika na hauzingatii nchi zinazofuata madhehebu ya Sunni pekee.
Upinzani Syria wakubaliana kuzungumza kwa sauti moja
Hayo ni wakati juhudi za kimataifa za kidiplomasia zikiimarishwa ili kuumaliza mgogoro wa Syria uliodumu miaka sita
Syria yapongeza uamuzi wa Urusi, Iran na Uturuki
Serikali ya Syria imeupongeza uamuzi uliofikiwa kati ya marais wa Urusi, Iran na Uturuki
Nini kitarajiwe Sochi?
Mgogoro wa Syria wajadiliwa huko Sochi Urusi na marais Putin,Rouhani na Erdogan
Iran na Urusi zasema IS wamefika mwisho
Iran na Urusi zatangaza mwisho wa IS nchini Syria na Marekani yasema Korea Kaskazini yafadhili ugaidi duniani
Putin afanya mazungumzo na Assad ya kutafuta amani Syria
Taifa la Syria limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka sita sasa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 27 wa 77
Ukurasa unaofuatia