You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
04.03.2018: Matangazo ya Mchana
Tuliyonayo mchana huu ni pamoja na Chama cha Social Democrat, SPD cha Ujerumani charidhia kujiunga kwenye serikali ya muungano, Italia yapiga kura katia uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu kubwa na Korea Kusini yapeleka ujumbe Korea Kaskazini tayari kwa mazungumzo ya kukabiliana na wasiwasi baina yao.
Matangazo ya Jioni 03.03.2018
Tuliyo nayo jioni hii: Vikosi vya jeshi la Syria vimezidi kusonga mbele huko Ghouta Mashariki. Jumla ya mashambulizi 950 yaliyowalenga Waislamu na taaasisi za Kiislamu, yaripotiwa nchini Ujerumani kwa mwaka uliopita. Iran, yasema hapawezi kuwa na mazungumzo yanayohusu mpango wa nchi hiyo wa makombora bila ya mataifa ya Magharibi kuteketeza silaha zake za nyuklia.
Matangazo ya Mchana 03.02.2018
Tuliyo nayo: Italia kufanya uchaguzi Jumapili chini ya sheria mpya ya uchaguzi inayofanya vigumu kutabiri matokeo. Mashambulizi ya angani yanayofanywa na serikali ya Syria katika eneo la Ghouta Mashariki yanaweza kuhesabiwa kuwa uhalifu wa kivita. Na Chama SPD, kimeanza zoezi la kuhesabu kura baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji kura miongoni mwa wanachama wake.
Urusi na Syria zaendeleza mashambulizi
Vikosi vya Urusi na Syria vimeendeleza mashambulizi katika eneo linalodhibitwa na waasi la Ghouta Mashariki
IS walipataje silaha zao nchini Iraq na Syria ?
Kundi la IS liliwezaje kupata silaha zake ambazo ilizitumia katika mapambano yake?
Mgogoro wa Syria
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Steffan D Mistura amesema umoja huo unaendelea kutafuta njia za kusimamisha kabisa mapigano nchini Syria wakati hayo yakiarifiwa msafara wa magari uliobeba shehena ya misaada ya kiutu kwa watu 50,000 waliolazimika kuyahama makazi yao umewasili katika mji wa Afrin nchini Syria uliyoandamwa na mashambulizi ya vikosi vya Uturuki. Papo kwa papo 01.03.2018
Mashambulizi yaendelea Ghouta Mashariki
Syria yaanzisha mashambulizi ya ardhini katika eneo linalodhibitiwa na waasi Ghouta Mashariki.
Mashambulizi yaendelea Syria licha ya tangazo la Urusi
Mashambulizi ya Ghouta Mashariki bado yanaendelea licha ya makubaliano ya kuyasitisha yaliyoanza Jumanne.
Xi Jinping ataka kuirudisha nyuma China
Xi Jinping ataka kuirudisha nyuma China
Syria yasitisha mapigano
Mwito wa kusitishwa mapigano waanza kutekelezwa Syria ili kuruhusu raia kuondoka
Guterres asema mashambulizi yanapaswa kusita Syria
Mashambulizi mapya ya anga ya jeshi la Syria dhidi ya eneo la Ghouta Mashariki yamewauwa raia 10.
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano Syria
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametaka utekelezwaji wa haraka wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kusimamishwa mapigano kwa siku 30 nchini Syria, lililofikiwa Jumamosi iliyopita.
Guterres ataka usitishaji haraka mapigano Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano kwa muda wa siku 30 kote nchini Syria
Matangazo ya Jioni 25.02.2018
Korea Kaskazini iko tayari kuzungumza na Marekani.// Viongozi wa Urusi, Ufaransa na Ujerumani wazungumza kuhusu Syria, huku Papa Francis akitaka mapigano yasitishwe mara moja Ghouta Mashariki.// Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel atarajiwa kutangaza baraza lake la mawaziri leo
Mashambulizi yaendelea Syria licha ya azimio la UN
Vikosi vya Syria vimefanya mashambulizi Ghouta Mashariki na kupuuza azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Matangazo ya Mchana 25.02.2018
Serikali ya Syria yafanya mashambulizi ya anga Ghouta Mashariki // Watu wawili wamejeruhiwa kwenye maandamano Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo // Korea Kaskazini imeshutumu vikwazo vya Marekani kwa kampuni za China kwa ushirikiano wao
UN yaidhinisha usitishwaji mapigano Syria
Umoja wa mataifa waunga mkono makubaliano ya kusitisha mapigano katika eneo la Ghouta nchini syria
Tarehe- 24,02,2018- Matangazo ya jioni
Tuliyo nayo ni pamoja na: Uturuki yautaka ulimwengu kukemea mauaji katika mji wa mashariki wa Ghouta nchini Syria// Wanawake washindi wa tuzo ya amani ya Nobel kukutana na warohingya// Watoto 9 wauawa kwa kugongwa na gari nchini India.
Tarehe-24,02,2018- Matangazo ya mchana
/Wanamgambo wa Taliban waua wanajeshi 18- Afghanistan.
Uturuki yazitaka Iran, Urusi kukomesha mashambulizi Syria
Wanaharakati wa haki za binaadamu na upinzani hawataki Urusi kuwa sehemu ya kura ya Baraza la Usalama.
Umoja wa Mataifa kupigia kura azimio kusitisha mzozo wa Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Ijumaa hii linapigia kura rasimu ya azimio linalohimiza mpango wa kusitisha mapigano kwa siku 30 nchini Syria ili kuruhusu misaada ya kiutu.
Baraza la Usalama kupigia kura azimio kuhusu Syria
Mashambulizi makali katika eneo la Mashariki mwa Ghouta yamesababisha vifo vya zaidi ya raia 400 na mamia kujeruhiwa.
Merkel asisitiza umuhimu wa Umoja wa Ulaya kwa Ujerumani
Kansela wa Ujerumani ainisha umuhimu wa Umoja wa Ulaya kwa Ujerumani
Magazetini: Vita nchini Syria, SPD, Macron na wakimbizi
Magazetini : Vita nchini Syria , na wanachama wa SPD kuamua kuhusu hatima ya chama chao
Mashambulizi ya anga ya Syria na Urusi yaua raia 100
Vikosi vinavyounga mkono serikali ya Syria vyaingia Afrin
Syria: Mashambulizi ya serikali yauwa watu 98 Ghouta
Mashaka juu ya iwapo jeshi la serikali ya Syria litaingia katika sehemu inayokaliwa na Wakurdi ya Afrin.
Vikosi vya Syria vyashambulia Mashariki mwa Ghouta
Mazungumzo yamekuwa yakiendelea ya kuliondoa kundi la Jihadi liitwalo Hayat Tahrir al-Sham
Wakurdi wakubali jeshi la Syria kuingia mkoa wa Afrin
Wakati huo Uturuki imekana kutumia silaha za kemikali
Marekani, Uturuki zakubaliana kumaliza tofauti Syria
Uturuki inasema ahadi zilizotolewa na utawala uliopita wa Marekani kuhusu YPG kuhamia mashariki mwa Euphrates zilivunjwa
Wapiganaji washirika wa Urusi wauawa nchini Syria
Watu 300 wanaofanya kazi katika kampuni binafisi ya ulinzi yenye mafungamano na ikulu ya Urusi waliuawa au kujeruhiwa.
Ufaransa yatishia kuishambulia Syria
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Ufaransa itaanzisha mashambulizi iwapo itathibitika kama serikali ya Syria.
Tillerson ataka mapambanlo dhidi ya IS yaendelee
Tillerson ataka mapambano dhidi ya kundi la dola la kiislamu Syria na Iraq yaendelee.
Israel yashambulia maeneo ya Iran, Syria
Israel imeshambuli maeneo inayosema ni ya jeshi la Iran nchini Syria na kuangusha ndege ya Iran isiyo na rubani
Tarehe: 10,02,2018- Matangazo ya jioni
Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani nchini Uturuki awekwa katika kizuizi cha ndani.
Jeshi la Misri lakabiliana na wapiganaji Sinai
Operesheni hiyo imekuja wiki chache kabla ya uchaguzi wa raia wa Machi 26-28.
Vikosi vya serikali ya Syria vyashambuliwa
Majeshi yanayoongozwa na Marekani yashambulia vikosi vya Syria
Serikali ya Syria yazidi kushambulia raia wake
Mashambulizi mapya yaliyofanywa Syria yasababisha vifo vya raia 23 katika mji unaodhibitiwa na waasi karibu na Damascus
Urusi yajipanga kama mpatanishi wa amani Syria
Urusi yaendelea kuwa mshirika mwenye nguvu katika vita vya Syria, ikimuimarisha Rais Bashar al-Assad.
Mashambulizi nchini Syria yaendelea kuwaua raia
Kiasi ya watu 30 wameuawa katika mashambulizi ya anga nchini Syria kwenye eneo linalodhibitiwa na waasi karibu na Damasc
Hospitali mbili zapigwa mabomu nchini Syria
jamii ya kimataifa yaelezea wasiwasi wake kuhusiana na hali ya nchini Syria.
Mashambulizi Syria yasababisha raia kushindwa kupumua
Raia kadhaa wa Syria wanatibiwa baada ya kushindwa kupumua kutokana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa na serikali.
Taarifa ya Habari Asubuhi 05.02.2018
Mazungumzo ya kuunda serikali mpya ya muungano nchini Ujerumani yanatarajiwa kuendelea leo // Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema anatarajia Umoja wa Ulaya utaikubalia nchi yake uanachama kamili wa umoja huo // Israel imeanza kuwapatia Waafrika wanaoomba hifadhi barua zinazoeleza kwamba wana miezi miwili ya kuondoka kwenda katika nchi ya tatu ambayo haijatajwa
Tarehe: 03.02.2018-Matangazo ya mchana
Tuliyo nayo ni pamoja na : Ndege za Israel zashambulia ukanda wa Gaza// Iraq yatangaza kuanzisha operesheni kubwa dhidi ya kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiisilamu ( IS )// Korea Kaskazini yakiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
Marekani yaishutumu Syria kutumia tena silaha za kemikali
Marekani yaishutumu Syria kutumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake
Putin:Wasyria ndio wanaoweza kuamua mustakabali wa nchi yao
Kiongozi wa wajumbe wa upinzani amesema wamesusia mkutano wa amani wa Syria baada ya ahadi zilizotolewa kutotekelezwa
Wanamgambo wa IS wakiri kuhusika na shambulizi la Kabul.
Rais wa Indonesia yuko ziarani Afghanistan
Waliouawa katika shambulizi la Kabul wapindukia 100
Kundi la wanamgambo la Taliban limedai kuhusika na shambulizi hilo la Jumamosi
Matangazo ya mchana 28.01.2018
Karibu watu 200 wamejeruhiwa katika shambulizi la Kabul, Afghanistan. Rais wa Marekani Donad Trump asema anawaheshimu Waafrika katika barua yake kwa viongozi wa Afrika. Uturuki yaitaka Marekani kuondoka Manbij Syria.
Bomu lililofichwa kwenye gari la wagonjwa laua 95 Kabul
Makundi ya Taliban na Dola la Kiislamu yameimarisha mashambulizi mjini Kabul tangu 2016.
Tarehe: 27.01.2018-Taarifa ya habari ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Trump alieleza konagamano la uchumi mjini Davos kuwa sera yake ya "Marekani kwanza" haimaanishi kujitenga// Usitishaji mapigano waanza katika mji wa Ghouta nchini Syria// Rais Josepha Kabila asisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 26 wa 77
Ukurasa unaofuatia