You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Syria yaialika OPCW kuchunguza shambulizi la sumu
Syria imelialika shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za kemikali, kuchunguza madai ya shambulizi la sumu Douma.
Baraza la Usalama lajadili shambulizi la sumu Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa huenda likapiga kura mapema leo kuhusu maazimio kinzani ya Marekani na Urusi ya kuchunguza mashambulizi ya silaha za sumu nchini Syria. Zaidi tazama vidio ifuatayo
Kasheshe ya ushindi wa Viktor Orban nchini Hungary
Kasheshe ya ushindi wa Viktor Orban nchini Hungary
Trump kuamua kuhusu hatua ya kijeshi Syria
Baraza la Usalama linatafakari kulipigia kura azimio la Marekani la kuchunguza mashambulizi ya silaha za sumu Syria
Kambi ya jeshi imeshambuliwa Syria
Shambulizi la sumu nchini Syria limelaaniwa vikali na jumuiya ya kimataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kufanya kikao cha dharura kulijadili.
Kambi ya Tiyas ya jeshi la Syria yashambuliwa
Shambulizi hilo la sumu limekosolewa vikali huku miito ya kutafuta amani kupitia njia ya mazungumzo ikitolewa.
Shambulio la sumu Syria; 40 wauwawa
Jumuiya ya kimataifa itoe jibu la haraka ikithibitika kwamba gesi ya sumu ilitumika katika shambulio Syria
Matangazo ya mchana,08.04.2018
Tumeripoti kuhusu mashambulio ya gesi za sumu Syria, Shambulio la Münster na Uchaguzi wa bunge Hungary
Matangazo ya asubuhi 07.04.2018
Rais Donald Trump alijaribu katika mkutano wa kilele ulioitishwa Mar-a-Lago, kumlainisha kwanza rais wa China, Xi Jinping kwa maneno matamui. Miaka15 iliyopita utawala wa Saddam Hussein uliangushwa lakini raia wa Iraq wanajutia. Warohingya 150,000 bado wanaishi kaskazini mwa jimbo la Rakhinem, Myanmra lakini mashirika ya haki za binaadamu yanasema, wengi wanakabiliwa na njaa na hofu.
Taarifa ya habari za asubuhi 07.04.2018
Jeshi la Israel limewaua waandamanaji saba katika mpaka wa ukingo wa Gaza. Rais wa zamani wa Brazil- Luiz Inacio Lula da Silva, anafanya mazungumzo ya kujisalimisha, baada ya muda aliopewa na mahakama kujisalimisha na aanze kutumikia kifungo cha miaka 12 jela, kumalizika. Marekani imewawekea vikwazo washirika wa karibu wa rais wa Urusi Vladimir Putin
Idadi ya watu waliouawa Ghouta Mashariki yafika 40
Serikali ya Syria na Urusi yataka waasi wa kundi la Jaish al Islam kuondoka mjini Douma na kuelekea kaskazini mwa Syria.
Wasyria walioko uhamishoni wahofia kusakwa na serikali
Wanakagua orodha iliyovujishwa ya majina ya watu wanaotafutwa na idara za upepelezi nchini Syria
Uturuki, Iran na Uturuki kusuluhisha mzozo wa Syria
Mkutano kati ya pande hizo tatu ulifanyika siku moja baada ya rais Trump kuongeza uwezekano wa Marekani kuondoka Syria.
Kasheshe ya kulishwa sumu mpelelezi Skripal Magazetini
Kasheshe ya kulishwa sumu mpelelezi Skripal Magazetini
Mkutano wa Syria wataka kuimarisha amani
Mkutano wa amani kuhusu Syria
Magazetini: Israel na Saudi Arabia na Puigdemont
Wahariri wameandika kuhusu mjongeleano kati ya Israel na Saudi Arabia, Puigdemont kurejeshwa Uhispania
Trump asisitiza kuhusu kuyaondoa majeshi yake Syria
Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitiza juu ya azma yake ya kuyaondoa majeshi ya Marekani nchini Syria.
Taarifa ya Habari Asubuhi 04.04.2018
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anafikiria kuyaondoa majeshi ya Marekani nchini Syria // Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inataka kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo, kuondoka ifikapo mwaka 2020 // Wanasayansi wa Uingereza wameshindwa kutambua chanzo cha sumu iliyotumika dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi
Iran,Russia,Uturuki kuweka msimamo wa pamoja Syria
Urusi , Uturuki na Iran zajiweka pamoja kuunda muungano wa kuimarisha amani nchini Syria
Urusi, Iran, Uturuki zawania kupata msimamo wa pamoja Syria
Mataifa matatu yenye nguvu katika vita vya Syria yajadili njia za kuleta amani
01.04.2018. Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis atoa ujumbe wa amani na maridhiano duniani katika hotuba yake ya sherehe za Pasaka. //Waziri wa ulinzi wa Israel ameupinga wito wa kufanywa uchunguzi kuhusu Wapalestina 15 waliouawa na jeshi la Israel.// Wanamgambo wa kundi Alshabaab, wameishambulia kambi ya kijeshi ya kikosi cha Umoja wa Afrika iliyoko kusini magharibi mwa Somalia.
01.04.2018-Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)
Waumini wa Kikristo ulimwenguni wafanya maombi ya kusherehekea siku kuu ya Pasaka.// Waziri wa ulinzi wa Israel ameupinga wito wa kufanywa uchunguzi kuhusu Wapalestina 15 ambao waliuawa na jeshi la Israel Ijumaa iliyopita,// Rais Mpya wa Botswana Mokgweetsi Masisi ameapishwa leo kuchukua wadhifa wake rasmi
Makundi ya waasi yaondoka Ghouta Mashariki
Wapiganaji wa makundi ya waasi waondoka Ghouta Mashariki
Walia wakiondolewa katika eneo la waasi nchini Syria
Wapiganaji waasi pamoja na familia zao zaondolewa kutoka Ghouta mashariki
24.03.2018- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Urusi imesema watu 105,000 wameondoka eneo linaloshikiliwa na waasi la Ghouta Mashariki,// Maelfu kuandamana Marekani kushinikiza mabadiliko ya kumiliki silaha,// Misri imesema mlipuko katika mji wa Alexandria, umesababisha kifo cha polisi mmoja
Raia zaidi na waasi waondoka Ghouta Mashariki
Zaidi ya raia 100,000 wameondolewa katika eneo la Ghouta Mashariki linalodhibitiwa na waasi.
Taarifa ya Habari ya asubuhi 24.03.2018
Mamlaka ya udhibiti wa taarifa nchini Uingereza, yafanya ukaguzi katika ofisi kuu za kampuni ya ushauri ya Cambridge Analytica. Uhispania yatoa waranti ya kukamatwa kwa wanasiasa wa Catalonia. Na Kundi la IS ladai kuhusika na shambulio la nchini Ufaransa.
Merkel aikosoa Uturuki kuhusu Syria
Ujerumani yalaani kwa nguvu zote vitendo vya Uturuki Syria na mashambulizi ya utawala wa Assad sambamba na Urusi Ghouta
UN: Mzingiro unaoendelea Syria ni uhalifu wa kivita
Matumizi ya silaha za sumu na kuwanyima watu chakula hadi kufa vimetumika kama silaha vitani na utawala wa Syria.
Assad atembelea Ghouta Mashariki
Rais Assad atembelea Ghouta Mashariki
Vikosi vya Uturuki vyaudhibiti mji wa Afrin
Baraza la uongozi wa mji wa Afrin limesema limewaondoa raia ili kuepusha mauaji makubwa.
Taarifa ya habari za asubuhi 18.03.2018
Taarifa ya habari za asubuhi
17.03.2018-Matangazo ya jioni
Tuliyo nayo ni pamoja na:Uingereza yasema haitavumilia shambulizi dhidi ya raia wake kutoka kwa Urusi// Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim ajiuzulu// Upinzani Syria waushutumu Umoja wa Mataifa kwakushindwa kuzuia vita
Taarifa ya habari za asubuhi 17.03.2018
Taarfa ya habari za asubuhi
Raia wakimbia kutoka Ghouta mashariki
Raia wakimbia kutoka Ghouta mashariki waingia mikononi mwa wanajeshi wa serikali
Urusi imeyashutumu mataifa ya Magharibi
Mawaziri wa mambo nje wa Urusi, Iran, Uturuki wakutana Kazakhstan, Astana, kuangazia suala la Ghouta Mashariki
Iran, Urusi na Uturuki zakutana Astana juu ya Syria
Watu 28 wauawa kwenye mashambulizi ya Afrin na Ghouta Mashariki ndani ya kipindi cha masaa 24 tu yaliyopita.
Maoni: Syria na makosa ya mataifa ya magharibi
Ni miaka minane tangu vita vianze nchini Syria, kuna funzo kwa mataifa ya magharibi
Vita vya Syria vyatimiza miaka 8
Vita vya Syria vinaingia mwaka wake wa nane, huku jeshi la Urusi likisema limeongeza muda wa usitishaji mapigano.
Vita vya Syria vyaingia mwaka wake wa nane
Jumla ya raia 350,000 wameuawa tangu vita ianze
Marekani yasaka azimio jengine Syria
Vikosi vya Uturuki vinaripotiwa kuuzingira mji wa Afrin pamoja na vijiji 90, vikiwa na watu wapatao 700,000.
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Makubaliano ya serikali mpya ya muungano Groko Magazetini
Jeshi la Syria laigawa Ghouta Mashariki
Serikali ya Syria yaugawa mji wa Douma katika ngome inayoshikiliwa na waasi Ghouta Mashariki.
Hali ni tete katika mji wa Mashariki mwa Syria wa Ghouta
Zaidi ya watu 340,000 wameuwawa tangu mapigano yalipoanza nchini Syria mwaka 2011
Tillerson na Lavrov, watakutana Afrika kweli?
Huenda mawaziri hao wawili wasikutane
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Ghouta Mashariki yaendelea kushambuliwa
Shirika la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa linataka uchunguzi wa Mahakama ya Uhalifu ufanyike haraka.
UN: Mashambulizi Syria yalisababisha vifo vya raia wengi
Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi ya anga yaliyofanywa Syria yaliwaua raia wengi.
Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 25 wa 77
Ukurasa unaofuatia