You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Matangazo ya mchana 12.05.2018
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Marekani yazitaka nchi nyingine kuishinikiza Iran
Marekani yazitaka nchi nyingine kuongeza shinikizo kwa Iran kutokana na vitendo vyake vya uchokozi.
Assad achachamaa kuhusu vita nchini mwake
Rais Bashar-al Assad afananisha vita vya nchi yake na vita vya dunia akitahadharisha juu ya kutokea vita baina ya nchi zenye nguvu zilizojiingiza katika vita hivyo vya Syria
Assad aonya kuhusu vita vya Syria
Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameyalinganisha mapigano yanayoendelea nchini mwake na ''vita vya dunia''.
Taarifa ya Habari Asubuhi 11.05.2018
Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameyalinganisha mapigano yanayoendelea nchini mwake na ''vita vya dunia'' // Rais wa Marekani, Donald Trump amesema atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Juni 12 nchini Singapore // Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imethibitisha kuwa mtu mmoja amefariki dunia kutokana na kuugua ugonjwa wa Ebola
Makombora ya Isreal yauwa wapiganaji 23 Syria
Rais wa Ufaransa ataka kudhibiti uhasama
Hariri akiri chama chake kimepoteza viti kwenye uchaguzi huu
Kundi la Hezbollah limepata msukumo kwa kupaata uungwaji mkono zaidi
Taifa la Lebanon litafanya uchaguzi wa wabunge Jumapili.
Taifa la Lebanon litafanya uchaguzi wa wabunge Jumapili. Uchaguzi huo utakuwa wa kumi nne.
UN: Vita vya Syria vinazidi kuongezeka
Umoja wa Mataifa umesema vita vya Syria vinazidi kuwa vikubwa, licha ya kupungua kwa raia ambao wamezingirwa.
Taaluma ya uwandishi habari inazidi kuwa hatarini
Taaluma ya uwandishi habari inazidi kuwa hatarini huku waandishi habari katika mataifa ya Syria, Yemen wakiathiriwa
Uchumi Mashariki ya kati ni mdogo kumudu ajira kwa vijana
Kiwango cha ukuaji wa uchumi katika nchi zinazosafirisha mafuta nje ya nchi kilifikia asilimia 5 mwaka 2016
Shambulio la kigaidi mjini Tripoli laua 12
Shambulio la kigaidi mjini Tripoli laangamiza maisha
Yanayoendelea nchini Syria
Wakati huo huo lawama zaelekezwa Israel kuhusiana na mashambulio dhidi ya kambi kadhaa za majeshi ya Syria.
Dola bilioni 4 zakusanywa kuisaidia Syria
OPCW yakusanya sampuli mjini Douma
Ujerumani kutoa euro bilioni 1 kusaidia Syria
Umoja wa Ulaya umezihimiza Urusi na Iran kuishinikza Syria ishiriki mazungumzo ya kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mkutano wa kuisaidia Syria waanza mjini Brussels
Umoja wa ulaya unataraji pia kuzipatia pia Urusi, Uturuki na Iran nafasi ya kuendeleza juhudi za amani.
22.04.2018- Taarifa ya Habari za Asubuhi
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas, amepongeza tangazo la Korea Kaskazini la kusitisha majaribio ya nyuklia. // Shirika linalodhibiti matumizi ya silaha za sumu (OPCW), limemekusanya sampuli kutoka eneo lililodaiwa kufanyika shambulizi la sumu nchini Syria.// Serikali ya India yaiidhinisha hukumu ya kifo, kwa wabakaji wa watoto wenye umri wa chini ya miaka 12.
21.04.2018- Matangazo ya jioni
Tuliyo nayo ni pamoja na : Jumuiya ya kimataifa yakaribisha hatua ya Korea Kaskazini kuacha majaribio ya nyukilia// Wataalamu wa OPCW waelekea eneo linalodaiwa kufanyika shambulizi la sumu nchini Syria// Hali ya hatari kurefushwa Uturuki hata baada ya uchaguzi wa mapema.
Mashambulizi dhidi ya Syria yalivunja sheria ya kimataifa
Mashambulizi dhidi ya Syria yalivunja sheria ya kimataifa-Ripoti ya Bunge la Ujerumani
Taarifa ya habari za asubuhi 21.04.2018
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jung Un asema atasimamisha majaribio ya makomboro na silaha za kinyuklia. Ripoti iliyowasilishwa bungeni Ujerumani yasema mashambulizi dhidi ya Syria yalikiuka sheria ya kimataifa. Na, Mwanamfalme Charles wa Uingereza ateuliwa kuiongoza Jumuiya ya Madola baada ya Malkia Elizabeth.
Wachunguzi wa silaha za kemikali washindwa kuingia Syria
Jeshi la Syria laendeleza mashambulizi kuyatwaa maeneo yaliyosalia
Ujumbe wa usalama wa UN washambuliwa Douma
Syria yasema imefanya kila iwezalo kuandaa mazingira mazuri kuwakaribisha wakaguzi wa OPCW Douma
Emmanuel Macron ahutubia bunge la Ulaya Strassbourg
Emmanuel Macron ahutubia bunge la Ulaya Strassbourg
Syria yakanusha kushambuliwa
Syria yakanusha taarifa ya awali kwamba ilishambuliwa mapema alfajiri ya leo, huku wachunguzi wa silaha za kemikali hatimaye wakitarajiwa kuingia Douma kuchunguza madai ya kuwepo silaha za sumu nchini humo. Papo kwa Papo: 17.04.2018.
Syria na kitabu cha James Comey magazetini
Syria na kitabu cha James Comey magazetini
Wataalamu wa silaha za kemikali kuingia Douma
Shirika la habari la serikali ya Syria limeripoti kwamba mfumo wa kujikinga na makombora wa nchi hiyo umezuia uvamizi.
Syria na Urusi zashutumiwa kukwamisha shughuli za OPCW
Mawaziri wa nchi za nje wa Umoja wa Ulaya wakiunga mkono juhudi zote za kuizuia Syria kutumia silaha za kemikali.
Mwanamke na suluhu ya mizozo
Unadhani wanawake wana nafasi katika kusuluhisha migogoro katika nyanja za kimataifa, na unadhani wanapewa nafasi hiyo? Makala ya Sura ya Ujerumani, inaangazia jinsi Ujerumani ilivyodhamiria kuhimiza mchango wa wanawake katika maeneo ya mizozo baada ya kuwa mwenyekiti wa shirika la wanawake linaloshughulikia juhudi za amani na usalama. Ungana naye Oumilkheir.
OPCW yakutana kuhusu shambulizi la sumu Douma
Shirika la kudhibiti silaha za sumu duniani OPCW linakutana kwa dharura mjini The Hague, kujadili shambulio linalodaiwa kuwa la sumu katika mji wa Douma nchini Syria, ambalo limezidisha mvutano kati ya Urusi na mataifa ya Magharibi.
Hujuma za makombora dhidi ya Syria Magazetini
Hujuma za makomkbora dhidi ya Syria Magazetini
EU yasaka msimamo wa pamoja juu ya Syria
Waziri mkuu wa Uingereza kwa upande mwingine asubiriwa kwa hamu bungeni kujieleza imekuaje kuishambulia Syria?
Matangazo ya jioni 15.04.2018
Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili
Matangazo ya mchana 15.04.2018
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Wanasiasa wa Urusi wakutana na al-Assad
Urusi, mshirika wa al-Assad, iliyalaani mashambulizi yaliyoongozwa na Marekani nchini Syria mwishoni mwa wiki
Assad atapata ujumbe ? Waulize Warusi na Iran
Je ujumbe umefika kwa Assad , waulie Urusi na Iran
15.04.2018- Asubuhi. Taarifa ya habari saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Marekani, Ufaransa na Uingereza, zimeanza jaribio jipya katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza shambulizi la sumu nchini Syria.// Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amesema ana wasiwasi kuhusu uhusiano unaodorora kati ya Urusi na nchi za Magharibi.//Afisa wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa na wanajeshi 10 wamejeruhiwa kufuatia shambulizi kaskazini mwa Mali
Matangazo ya Jioni 14.04.2018
Tuliyo nayo jioni hii: Rais Trump asifu mashambulizi ya Syria akisema lengo limetimia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana kuhusu Syria. Na Maelfu wajitokeza katika mazishi ya Winnie Madikizela-Mandela.
Trump: Mashambulizi ya Syria yalitimiza lengo
Marekani na washirika wake Uingereza na Ufaransa ziliyashambulia maeneo kadhaa ya kijeshi ya Syria Jumamosi Asubuhi.
Matangazo ya Mchana 14.04.2018
Kansela Angela Merkel amesema anaunga mkono mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na Marekani, Ufaransa na Uingereza. Urusi kuitisha kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na mashambulizi ya nchini Syria. Na Marekani yatoa wito wa vikwazo zaidi kwa Venezuela.
Merkel asema Mashambulizi ya kijeshi Syria yanastahili
Merkel amesema mashambulizi hayo ya angani yanapaswa kuwa onyo kwa utawala wa Syria kutoendelea kutumia silaha za sumu.
14.04.2018 Taarifa ya habari za asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wa Marekani Donald Trump aunga mkono mashambulizi ya anga dhidi ya Syria// Urusi yaituhumu Uingereza kuratibu shambulizi la uwongo la silaha za sumu nchini Syria// Umoja wa Mataifa waiweka Myanmar katika orodha mbaya.
14,04,2018-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na :Rais wa Marekani Donald Trump aunga mkono mashambulizi ya anga dhidi ya Syria// Urusi yaituhumu Uingereza kuratibu shambulizi la uwongo la silaha za sumu nchini Syria// Umoja wa Mataifa waiweka Myanmar katika orodha mbaya.
Syria:Mashambulizi ya magharibi yakiuka sheria za kimataifa
Mataifa matatu washirika waishambulia Syria kulipiza kisasi kwa utawala huo kutumia silaha za sumu
Guterres aonyo kuhusu uwezekano wa vita vya Syria kutanuka
Guterres amesema matumizi ya nguvu ya kijeshi hayawezi kuwa suluhisho la vita
Marekani yaendelea kutathmini hatua dhidi ya Syria
Hofu ya kutanuka kwa mvutano ikiwa nguvu za kijeshi zitatumika
Ujerumani haitashiriki vita Syria
Ujerumani haitashiriki katika vita nchini Syria
Magazetini: Trump na Putin wawindana Syria
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wameandika kuhusu mzozo wa Syria
Trump atishia kufyetua makombora Syria
Mgogoro wa Syria wazidi kuutia khofu Umoja wa Mataifa baada ya rais wa Marekani kutishia kufyetua makonbora Syria huku Urusi ikiapa kudungua kombora lolote la Marekani litakalofyetuliwa pamoja na kushambulia eneo yatakakotokea makombora hayo.
UN yazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa Syria
Umoja wa Mataifa wazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa madai ya matumizi ya silaha za sumu Syria.
Vitisho vya kushambuliwa Syria vinazidi makali
Vitisho vya kushambuliwa Syria vinazidi makali
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 24 wa 77
Ukurasa unaofuatia