You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uturuki na Urusi zakubaliana kusitisha mashambulizi Idlib
Uturuki na Urusi zimekubaliana kuweka eneo lisilokuwa na shughuli za kijeshi, katika mkoa wa Idlib nchini Syria
Urusi na Uturuki kuendelea kujadili Syria
Putin na Erdogan kukutana hii leo mjini Sochi katika mkutano kujadili juhudi za amani katika jimbo la Idlib nchini Syria
Ujerumani yasema iko tayari kuchangia ujenzi wa Syria mpya
Maas ameyasema hayo masaa machache kabla ya kukutana na mwenzake wa Urusi Sergei Lavrov mjini Berlin.
UN yaonya juu ya kushambuliwa Idlib
Katibu mkuu wa UN Antonio Guterres ameionya Syria na washirika wake Urusi na Iran juu ya kuishambulia ngome ya waasi iliyobakia ya Idlib akisema eneo hilo halipaswi kugeuzwa uwanja wa kumwaga damu
Antonio Guterres ametoa wito wa kusitishwa mapigano Idlib
Antonio Guterres ametoa wito wa kusitishwa mapigano katika mji wa Idlib
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Wito wa kusitishwa kwa mapigano Syria watolewa
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria Staffan De Mistura amekutana na maafisa wa Urusi, Iran na Turkey
Idlib yatisha
Wanajeshi wa Syria,Urusi na Iran wameizunguka Idlib wakijiandaa kufanya mashambulizi ambayo huenda yakawa ya maangamizi makubwa nchini Syria,ni baada ya kushindwa kwa juhudi za kutafuta usitishaji mapigano.Maelfu wameukimbia mkoa huo wa Kaskazini Magharibi mwa Syria
09.09.2018: Matangazo ya Mchana
Syria na Urusi waishambulia vikali Idlib, Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 70 ya kuasisiwa kwake na raia nchini Sweden waanza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu.
09,09,2018-Matangazo ya asubuhi
Tuliyo nayo ni pamoja na : Ndege za kivita za Urusi zafanya mashambulizi ya anga Idilib Syria//Ebola yadhibitiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// Afisa maarufu wa polisi auawa Uganda
Urusi,Iran na Uturuki zatafautiana juu ya Syria
Umoja wa Mataifa waonya juu ya kutokea janga kubwa la kibinaadamu ikiwa vita vitaanzishwa Idlib na vikosi vya Assad
Urusi yatishia kuendelea kuwauwa 'magaidi' Syria
Wasiwasi waongezeka kuhusu uwezekano wa vita Idlib
UN: Kuna hofu ya maafa Idlib
Umoja wa Mataifa wahofia kutokea maafa zaidi katika jimbo la Idlib nchini Syria katika kipindi hiki ambacho mamia ya wakaazi wanalihama eneo hilo, kuhofia maisha yao.
Raia wa Syria wakimbia Idlib wakihofia mashambulizi
Wanajeshi wa Syria wanasaidiwa na mashambulizi ya angani yanayofanywa na Urusi, ambayo Uturuki imeyakosoa.
Erdogan aonya hatari ya mashambulizi Idlib
Syria yapania kukomboa jimbo la Idilib
02.09.2018-Matangazo ya asubuhi
Tuliyonayo ni pamoja na :Watu tisa wajeruhiwa katika maandamano ya Chemnitz//Majeshi yanayoongozwa na Saudi Arabia yakiri makosa katika shambulizi Yemen // Uwanja wa ndege wa Jeshi Syria washambuliwa.
Merkel na Putin wajadili mizozo ya Ukraine na Syria
Rais wa Urusi Vladimir Putin na kansela wa Ujerumani Angela Merkel wamejadiliana kuhusu mizozo nchini Ukraine.
Merkel kukutana na Putin
Merkel kukutana na Putin kuhusu mizozo ya Ukraine na Syria
Merkel lazima amshinikize Putin kuhusu haki za binadamu
Merkel analazimika kumshinikiza Putin kusimamia haki za binadamu mashariki mwa Ukraine, Syria na nchini mwake.
UN: IS ina hadi wapiganaji 30,000 Iraq na Syria
Umoja wa Mataifa umesema wapiganaji 20,000 hadi 30,000 wa kundi la Dola la Kiislamu, IS bado wako Iraq na Syria.
Matangazo ya mchana 11.08.2018
Jimbo la Idlib lashambuliwa na vikosi vya seikali ya Syria. Watu watatu wauawa Gaza katika maandamano ya Wapalestina baada ya kushambulia na jeshi la Israel. Na, Umoja wa Mataifa walaani ghasia za kikabila na kidini katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Shida za kufikia suluhu miongoni mwa wakaazi wa Mosul
Shida za kufikia suluhu miongoni mwa wakaazi wa Mosul
Vikwazo vya Marekani na Madhara yake Magazetini
Vikwazo vya Marekani na Madhara yake Magazetini
Amnesty yalaumu Uturuki kuruhusu ukiukwaji wa haki Afrin
Amnesty yataka Uturuki kukomesha ukiukaji wa haki unaofanywa na waasi wa Syria kwa wakaazi
Matangazo ya mchana 21.07.2018
Matangazo ya DW Kiswahili
Asubuhi: 21.07.2018 Taarifa ya Habari Saa 12:00
Chama cha Hamas kimetangaza kufikia makubaliano na Israel ya kusitisha mashambulizi katika Ukanda wa Gaza. //Marekani imemtaka kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kutimiza ahadi yake ya kuachana na silaha zake za nyuklia.// Waasi 2,800 wa Syria pamoja na familia zao wameondoka katika mkoa wa kusini magharibi mwa Quneitra
Waasi wa Syria waondoka Quneitra
Kuondoka kwa waasi katika eneo la Quneitra ni ushindi mwingine kwa rais wa Syria Bashar al-Assad
Mabasi yaanza kuwaondoa raia kutoka vijiji tiifu kwa Syria
Serikali itawaachia wafungwa
Magazetini: Mkutano Trump na Putin na EU na Japan na China
Mkutano kati ya Trump na Putin na mkutano kati ya EU na Japan na China ndio yaliyoandikwa na wahariri wa ujerumani
08.07.2018: Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Jumla ya wavulana 6 miongoni mwa 12 pamoja na kocha wao waliokwama ndani ya pango nchini Thailand wameokolewa. //Zaidi ya wafanyakazi 18,000 wa serikali nchini Uturuki, wamefutwa kazi wakitajwa kuwa kitisho cha usalama wa taifa. //Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewasili nchini Eritrea, kwa mazungumzo yanayolenga kurejesha mahusiano baina ya nchi hizo.
Umoja wa Mataifa umeshindwa kupata suluhisho ya Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kuafikiana kuhusu hali inayozidi kuwa mbaya kusini magharibi wa Syria.
Watotot 10,000 wauawa, kujeruhiwa kwenye migogoro duniani
Visa 21,000 vya ukiukaji wa haki za watoto vyaripotiwa
Jeshi la Syria, washirika waanza kuushambulia mji wa Daraa
Baraza la Wakimbizi la Norway limeiomba Jordan kuwachukuwa Wasyria wanaokimbia mapigano ambao limesema hawana pakwenda.
Merkel aisifu Jordan kwa kuwahifadhi wakimbizi wa Syria
Merkel yuko katika ziara ya siku mbili nchini Jordan na Lebanon
Wakimbizi waongezeka duniani
UNHCR yasema hali ya wakimbizi inazidi kuwa mbaya kila uchao na mizozo inaendelea kuwalazimisha watu kukimbia makwao.
Watu takriban milioni 69 wameyahama makazi yao duniani
Mizozo ya Syria, Myanmar, Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yasababisha mamilioi ya wakimbizi.
kuna njama dhidi ya demokrasia Iraq
Imam maarufu katika siasa za Iraq Moqtada al-Sadr amewataka Wairaq kuungana badala ya kuchoma karatasi za kura.
Matangazo ya mchana 10.06.2018
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Historia ya Afghanistan na mazungumzo ya amani na Taliban
Wataliban wanasisitiza juu y akuondoka kabisaa kwa vikosi vyote vya kigeni kama sharti la kufanyika kwa mazungumzo.
Kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani
Kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani na namna waumini wa dini ya Kiislamu wanavyofanuikisha ibada ya funga katika maeneo tofauti barani Ulaya. Karibuni 09.06.2018.
Operesheni za jeshi la Marekani nchini Syria zashutumiwa
Mji wa Raqqa wakati mmoja ulikuwa ni ngome kuu ya kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS.
Assad ayataka majeshi ya Marekani kuondoka Syria
Rais Bashar Al Assad alilenga kundi la waasi wa kikurdi la SDF linaloungwa mkono na Marekani.
Matangazo ya Mchana 26.05.2018
Marekani imeionya Syria kwamba itachukua hatua kali, iwapo serikali ya Rais Assad itakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano // Mjumbe mkuu wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo ya Brexit ameonya kuwa bila mkataba hapatakuwa na makubaliano ya Brexit // Shirika la Afya Duniani, WHO limepongezwa kwa uitikiaji wa haraka dhidi ya mripuko wa Ebola nchini Kongo
Mashambulizi ya angani yawaua wapiganaji 12 Syria
Mzozo wa Syria umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kuwaacha mamilioni ya wengine bila ya makazi au wakimbizi.
IS waondoka ngome ya mwisho Damascus
Sasa inatajwa kwamba kundi hilo la kigaidi limeshapoteza takribani ngome zote ndani ya Syria.
Rais Putin akutana na Assad
Marais Putin wa Urusi na Assad wa Syria wakutana
Watu milioni 12 duniani kote ni wakimbizi wa ndani
Wachunguzi wasema migogoro iliwalazimisha watu karibu milioni 12 duniani kuwa wakimbizi ndani ya nchi zao mwaka jana
Ni nani Muktada al-Sadr
Muktada al-Sadr alivyobadilika kutoka kamanda wa wanamgambo hadi kuwa na ushawishi kisiasa
Muungano wa Muqtada al- Sadr wachukua uongozi wa mapema Iraq
Uchaguzi mkuu wa Jumamosi ulikuwa wa kwanza tangu Iraq ilipotangaza ushindi wa dhidi ya kundi la Dola la Kiislamu
13.05.2018: Matangazo ya Mchana
Watu 10 wauawa kwenye shambulizi la bomu kwenye kanisa moja nchini Indonesia, matokeo ya awali ya bunge yaonyesha waziri mkuu Haider al-Abadi aongoza uchaguzi nchini, Iraqi lakini pia kwenye michezo hatimaye Hamburg yashuka daraja. Utasikia pia yaliyojiri kwenye Afrika wiki Hii.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 23 wa 77
Ukurasa unaofuatia