You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi, Uturuki na Iran zaijadili Syria
Uturuki imeomba msaada kutoka kwa Urusi baada ya Marekani kutangaza kuondoa vikosi vyake nchini Syria.
Mapigano dhidi ya kundi la IS yapamba moto Syria
Wanamgambo wa itikadi kali wanaojiita "Dola la kiislam"-IS wanajaribu kuiokoa ngome yao ya mwisho mashariki mwa Syria.
Mamia wakimbia eneo la mapigano nchini Syria
Vikosi vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Syria vimefanya mashambulizi ya kuwaondoa wapiganaji wa IS
Ripoti ya Munich yaelezea mkanganyiko wa hali ya usalama
Utaratibu wa kiliberali wa dunia unavunjika,lakini nani anaweza kuunganisha tena vipande vyake?
Iran ina nguvu zaidi kuliko wakati wa vita na Iraq-Rouhani
Marekani na Israel zalaaniwa na wairan wenye hasira katika kumbukumbu ya miaka 40 ya mapinduzi ya kiislamu
Trump anaashiria ushindi wa mapambano dhidi ya IS
Trump anaashiria ushindi wa mapambano dhidi ya IS
Magazetini: Mpango mbadala wa May wa Brexit
Magazeti ya Ujerumani yamezungumzia kuhusu mpango mbadala wa Brexit, waziri wa ulinzi wa Ujerumani na mradi wa jeshi
Majeshi ya kigeni yashambuliwa Kaskazini mwa Syria
Wakurdi wasema wanaweza kukubali kutengwa eneo la usalama ikiwa Umoja wa Mataifa utapeleka vikosi vyake katika eneo hilo
Marekani na Uturuki zajadili hali ya Kaskazini mwa Syria
Uturuki yasema vitisho vya kiuchumi dhidi ya nchi yake havisaidii huku mivutani ikijitokeza kati ya nchi mbili hizo.
Wanajeshi wa Marekani waanza kuondoka Syria
Urusi inasema Marekani haina nia ya kuondoka Syria
Juhudi za Marekani mashariki ya kati
Mike Pompeo amesema juhudi za kulitokomeza kundi la IS pamoja na kuidhibiti Iran hazitaathirika.
Bolton aondoka mikono mitupu Uturuki kuhusu Wakurdi
Ziara ya Bolton imefanyika sambamba na ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo Mashariki ya Kati
Taarifa ya Habari Asubuhi 07.01.2019
Marekani imesema kabla ya kuwaondoa wanajeshi wake Syria, itahakikisha usalama wa Israel na washirika wake wengine // Umoja wa Mataifa umesema wanawake na wasichana ndio waathirika wakubwa wa biashara ya binaadamu // Awamu ya pili ya mazungumzo ya Yemen huenda ikafanyika mjini Amman, Jordan
Uturuki, Iraq kukabiliana na IS baada ya Marekani kujiondoa
Rais Barham Salih wa Iraq ziarani Uturuki kuzungumza na mwenyeji wake, Tayyip Erdogan, juu ya mkakati wa IS.
Vikosi vya Kikurdi vyaanza kuondoka Manbij
Msafara wa magari ya wapiganaji wa Kikurdi ulionekana ukiondoka kwenye mji wa kaskazini mwa Syria wa Manbij.
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki).
Vikosi vya Syria vyapelekwa Manbij
Wanamgambo wa Kikurdi wa kundi la YPG waomba msaada kutoka serikali ya Syria kuwalinda dhidi ya mashambulizi ya Uturuki
Trump awatembelea wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Rais wa Marekani Donald Trump ameutetea uamuzi wake wa kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini Syria
Israel yashambulia maeneo ya karibu na Damascus
Shirika la habari la Syria limesema mengi ya makombora hayo yaliharibiwa na mfumo wa ulinzi wa anga
Matangazo ya mchana 24.12.2018
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Trump atia saini amri ya kuyaondoa majeshi ya Marekani Syria
Uamuzi wa Trump hata hivyo umesababisha wasiwasi kwa washirika wake katika kupambana na kundi la IS.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Mattis ajiuzulu
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Mattis ajiuzulu
Waziri wa ulinzi wa Marekani Jim Mattis kujiuzulu
Uamuzi wa Trump kuondoa majeshi Syria wasababisha kujiuzulu kwa waziri wake wa ulinzi
Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria
Trump kuondoa wanajeshi wake nchini Syria lakini maseneta waupinga uamuzi wake huo.
Rais wa Sudan Omar al Bashir aitembelea Syria
Assad alidokeza kwenye mahojiano na gazeti moja la Kuwait kwamba ana mafikiano na nchi kadhaa za Kiarabu.
Uturuki kuwashambulia waasi wa Kikurdi nchini Syria
Marekani yakosoa hatua yoyote ya kijeshi
Wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani mwaka ujao
Wasyria takriban 250,000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mwaka 2019
Matangazo ya Mchana 08.12.2018
Waendesha mashtaka wa Marekani wamegundua kuwa Urusi ilishirikiana na timu ya kampeni ya Rais Donald Trump kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2015 // Mazungumzo ya amani Yemen yanaendeleo leo nchini Sweden // Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya Marekani ni "ugaidi wa kiuchumi"
Taarifa ya Habari Asubuhi 20.11.2018
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameunga mkono mpango wa Uingereza kujiondoa kwenye umoja huo // Saudi Arabia imesema ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, haina msingi wa kweli // Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen yataka kusitishwa mara moja mashambulizi kwenye mji wa bandari wa Hodeida
Taarifa ya Habari Asubuhi 19.11.2018
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Ufaransa na Ujerumani zina jukumu la kuijenga Ulaya ya kisasa na yenye ufanisi // Waasi wa Houthi wametangaza kusitisha mashambulizi nchini Yemen // Viongozi wa Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu mageuzi ya kupunguza utegemezi wa wafadhili
Washukiwa wa 'Dola la Kiislamu' washambulia Libya
Watu wanne wameuawa katika mji mdogo nchini Libya kufuatia shambulizi
Matangazo ya Mchana 28.10.2018
Mwanasheria Mkuu wa Saudi Arabia anatarajiwa kuwasili leo nchini Uturuki kwa mazungumzo na maafisa wanaochunguza mauaji ya Jamal Khashoggi // Wananchi wa jimbo la Hesse, Ujerumani leo wanapiga kura katika uchaguzi ambao utaamua kuhusu mustakabali wa Kansela Angela Merkel // Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe aliyefukuzwa amekataa kuondolewa katika makaazi yake rasmi.
Kansela Merkel atoa mwito wa uchaguzi huru Syria
Ujerumani, Ufaransa, Urusi na Ufaransa zakutana kuhusu Syria
Taarifa ya Habari Asubuhi 24.10.2018
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema ana ushahidi mkubwa kwamba mauaji ya Jamal Khashoggi yalipangwa kabla na maafisa wa Saudi Arabia // Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump katika wiki zijazo//Umoja wa Ulaya umeikataa bajeti ya Italia ikisema kuwa inakiuka kikomo cha madeni cha umoja huo na imetaka ifanyiwe marekebisho
Taarifa ya habari za asubuhi 20.10.2018
Saudi Arabia yakiri kwamba Khashoggi alifia ndani ya ubalozi wake mdogo mjini Istanbul. Ajali ya treni yaua watu 58 India. Ulaya na Asia zaunga mkono biashara huria.
Staffan de Mistura kujiuzulu Novemba
Atatumia mwezi wake wa mwisho kushinikiza kuundwa kwa kamati itakayokuwa na kibarua cha kuiandika katiba ya Syria.
Wakazi waliokoseshwa makao Syria wazuiliwa kurejea nyumbani
Syria yawazuia wakaazi waliokoseshwa makao dhidi ya kurejea kurejea katika ardhi yao
Israel na Jordan zafungua vivuko vya mpakani na Syria
Kivuko cha Nassib ni njia muhimu ya usafiri wa magari kati ya Syria na Jordan.
Miili 17 ya washukiwa wa IS yapatikana Libya
Kaburi lenye miili ya watu 75 limegunduliwa nchini Libya. Miili hiyo inashukiwa kuwa ya wapiganaji wa kundi la IS
Tuzo ya amani ya Nobeli mwaka 2018
Mweyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Nobeli Berit Reiss-Andersen awatangaza daktari Dennis Mukwege na Mwanaharakati Nadia Murad washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobeli mwaka 2018.
Heiko Maas akutana na Mike Pompeo
Ujerumani na Marekani zimeafikiana kuzuia matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria.
Baraza kuu la UN lamalizika
Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa umemalizika huku rais wa baraza hilo Maria Fernanda Espinosa akisema moja ya mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye mkutano huo ni dunia kuunga mkono Umoja huo na kutilia mkazo ushirikiano wa pamoja kimataifa.
Matangazo ya jioni 30.09.2018
Waasi wakana kulihama jimbo la Idlib nchini Syria. India na Pakistan zatupiana lawama katika Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa. Na, Rais wa Cameroon Paul Biya asema kundi la Boko Harm limetimuliwa nchini humo.
Wakurdi wa Iraq wateremka vituoni kulichagua bunge jipya
Wakurdi wa Iraq wateremka vituoni kulichagua bunge jipya
Matangazo ya mchana 30.09.2018
Idadi ya watu waliouawa kutokana na tetemeko la ardhi Indonesia yafika 832. Wakurdi nchini Iraq wapiga kura ya kuchagua bunge jipya katika eneo linalojitegemea la Kurdistan. Na, Korea Kaskazini yataka makubaliano na Marekani kabla ya kuondoa silaha za nyuklia katika rasi ya Korea.
Matangazo ya Asubuhi 29.09.2018
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anaendelea na ziara yake rasmi nchini Ujerumani // Viongozi wa mataifa wanaendelea kukutana mjini New York katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo limeitishwa kwa mara ya 73 // Mwaka mmoja baada ya kushindikana jitihada za Wakurdi wa Iraq za kujitangazia uhuru kamili, kesho watashiriki kwa mara nyingine tena katika zoezi la kupiga kura
UN yashinikizwa kuandaa katiba ya Syria
Mataifa sita yaungana kuutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua ya dharura ya kuunda kamati ya katiba ya Syria.
Taarifa ya habari za asubuhi 22.09.2018
Viongozi mbalimbali duniani watuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Tanzania John Magufuli kufuatia ajali ya kivuko MV Nyerere. Baraza la Usalama kuchukua hatua kali dhidi ya askari wa kulinda amani wanaohusika na unyanyasaji wa kingono. Uturuki na Urusi wakubaliana kuweka "eneo lisilokuwa na shughuli za kijeshi" huko Idlib, Syria.
Syria: Wakaazi wa jimbo la Idlib bado wana wasiwasi mkubwa
Mwandishi wa DW, Julia Hahn, aliyeko katika mji wa Reyhanli wa mpakani kati ya Syria na Uturuki ameandaa ripoti hii.
Watoto wengi wanaoishi kwenye majanga hawaendi shule
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kuhudumia watoto duniani, UNICEF inaonesha kuwa mmoja kati ya watoto watatu wenye umri wa miaka 5 hadi 17 wanaishi katika nchi zilizoathiriwa na mizozo na majanga, na milioni 104 kati yao hawako mashuleni.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 22 wa 77
Ukurasa unaofuatia