You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya habari ya asubuhi.
Watu kadhaa wauliwa katika shambulio la bomu harusini
Watu kadhaa wafariki katika mripuko wa bomu katika sherehe ya harusi mjini Kabul
Marekani yatoa waranti kukamatwa kwa meli ya mafuta ya Iran
Marekani yatoa waranti wa kukamatwa kwa meli ya mafuta ya Iran Grace 1
Afghanistan: Idadi ya watu wailouawa mjini Kabul yaongezeka
Mlengwa mkuu alikuwa Makamu wa Rais wa Afghanistan ambaye pia ni mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi
Asubuhi: Taarifa ya Habari saa 12:0 (Afrika Mashariki)
Vidokezo vya Taarifa ya Habari: Watu kadhaa waandamana Khartoum-Sudan baada ya ripoti ya uchunguzi kubaini maafisa wa usalama waliwaua watu 87.// Polisi Moscow imewakamata mamia ya waandamanaji waliokuwa wakishinikiza uchaguzi wa jiji kuwa huru na wa haki.// Kundi la Boko Haram limewaua waombolezaji 23 nchini Nigeria.
Serikali ya Uturuki imeushambulia kwa ndege mji wa Kurdistan
null
Ujerumani: Hatma ya wakimbizi milioni 1.8 haijulikani
Wakati huohuo mtazamo hasi dhidi ya wahamiaji unaongezeka miongoni mwa wajerumani.
Uingereza yadai Iran ilijaribu kuizulia njia meli yake
Uingereza inadai meli za kijeshi za Iran zilijaribu kuizuilia njia meli ya mafuta inayomilikiwa na Uingereza.
Kyriakos Mitsotakis ana kibarua kigumu kuiongoza Ugiriki
null
Matangazo ya mchana 07.07.2019
Iran yapunguza kuzingatia mkataba wa kinuklia. Waziri wa kiuchumi wa Ujerumani kuzuru Marekani.
Mkutano kuhusu nafasi za juu za Umoja wa Ulaya waahirishwa
Bado haijawezekana kufikia makubaliano katika mwelekeo ambao ni muhimu kwa nchi zote wanahama wa Umoja wa Ulaya.
Wafadhili wametakiwa kufuatilia misaada yao inavyotumika
Zaidi, imebainika kwamba Syria imetengeneza sheria ya kuelekeza fedha za misaada katika matumizi yasiyokusudiwa
Ripoti: kampuni za Ujerumani zilituma kemikali Syria
Kampuni za Ujerumani zilituma kemikali Syria, licha ya vikwazo vya Umoja wa Ulaya.
UNHCR: Watu milioni 70.8 wanaishi kama wakimbizi duniani
UNHCR yasema idadi ya wakimbizi duniani imeongezeka kwa miaka saba mfululizo
Mpango wa Urusi na Uturuki kuvizima vita hivyo haupo tena
Fedha za misaada ya kiutu zimepungua kwa kiwango hatari sana, Umoja wa Mataifa umesema
Taarifa ya habari ya Asubuhi 09.06.2019
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ziarani Mashariki ya kati kuzungumzia mpango wa nyuklia wa Iran, Waandamanaji nchini Sudan watangaza ukaidi dhidi ya jeshi, Ujerumani yaanza vyema kombe la dunia kwa wanawake
Juhudi za kuwahifadhi Kasa mjini Lamu
Kasa wako katika hatari ya kuangamia kwani wanakabiliana na athari za uchafuzi wa mazingira, ujenzi kwenye fuo za bahari na shughuli za uvuvi hasa wa meli kubwa. Hali hiyo ndiyo inayotusukuma kwenye mada ya leo ya makala ya mazingira na Thelma Mwadzaya.
Kipi kinachochea mvutano wa Iran na Marekani?
Marekani na Iran zimo kwenye vita vya maneno, ambavyo vinaelekea kuwa vita vya silaha sasa, ingawa wengi wanasema hakuna upande wowote ulio tayari kwa mapigano. Kipi kinachochea mvutano huo kati wababe wawili mahasimu wa kihistoria? Sikiliza mani ya wataalamu katika meza ya duara.
Lijue kundi linalojiita "Dola la Kiislam" (IS)
DW inaangazia vipengele muhimu vya kundi hilo, kama vile maene iliyoyadhibiti hadi mbinu zake inazozitumia.
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Matangazo ya jioni 12.05.2019
Iran yaionya Marekani kuacha chokochoko, Kundi la wakristo lavamia Msikiti Sri lanka, Kundi linalojiita dola la Kiislamu laua wanajeshi 11 Kaskazini Mashariki mwa Nigeria
Asia inaweza kuwa eneo jipya kwa kundi la IS?
Kundi la Dola la Kiislam limesambaratishwa Mashariki ya Kati lakini Asia linatoa nafasi muafaka ya kuibuka upya kwa IS
Matangazo ya Asubuhi 05.05.2019
Rais wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari dhidi ya uvamizi kutoka nje. Mamlaka nchini Algeria zimemkamata kaka wa rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika. Mashambulizi ya anga ya vikosi vya serikali yamewauwa watu tisa nchini Syria.
Taarifa ya Habari 05.05.2019
Rais wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari dhidi ya uvamizi kutoka nje. Mamlaka nchini Algeria zimemkamata kaka wa rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika. Mashambulizi ya anga ya vikosi vya serikali yamewauwa watu tisa nchini Syria
Al-Baghdadi ajitokeza baada ya miaka mitano
Hii ni mara ya kwanza kujitokeza hadharani baada ya miaka mitano, kukiwa na uvumi kuwa alishauawa.
Marekani yamuuwa kiongozi wa IS Somalia
Mashambulizi ya Marekani nchini Somalia mara kadhaa hufanywa kwa ndege zisizo rubani na wakati mwengine kuuwa raia.
Matangazo ya Asubuhi 16.04.2019
Majeshi ya Algeria na Sudan yaliyowaondoa viongozi wa muda mrefu katika mataifa hayo baada ya maandamano makubwa dhidi yao, wanapitia njia ile ile. Nchini Afrika ya Kusini Miji na majiji yanaendelea kuwa na mgawanyiko ukishuhudiwa miongoni mwa watu kutokana na rangi zao. Baada ya miongo kadhaa ya vita Iraq inafanya juhudi kurejesha jukumu lake la uongozi.
Idadi ya adhabu ya kifo yapungua
Ripoti ya kila mwaka ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Amnesty International inaonyesha kuwa hukumu za kifo zilizotekelezwa zimepungua. Zaidi tizama kwenye video hii. Kurunzi: 10.04.2019
Israel yashambulia Kaskazini mwa Allepo
Syria imesema vikosi vya Israeli vimeshambulia Kaskazini mwa mji wa Aleppo na vikosi vya Syria vimejibu mashambulizi
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Hatima ya waziri mkuu Theresa May Magazetini
Vikosi vya Kikurdi vyaisambaratisha IS Syria
Vikosi vya Kikurdi vinavyopigania demokrasia Syria vimelisambaratisha kundi la Dola la Kiislamu Syria.
Jumuiya ya Kimataifa lilipinga kunyakuliwa kwa Golan.
Milima hiyo ilichukuliwa na Israel kutoka Syria mnamo vita vya Mashariki ya Kati vya mwaka 1967.
Syria yalaani Trump kuitambua Golan kuwa sehemu ya Israel
Syria imelaani ahadi ya Rais Trump, kutaka kuitambua Golan kuwa sehemu ya Israel
Mamilioni wamewachwa na ulemavu tangu kuanza kwa vita hivyo
Zaidi ya watu laki tatu na elfu sabini wamefariki huku mamilioni wakiwachwa na ulemavu miaka minane sasa tangu kuanza kw
Umoja wa Mataifa waonya mgogoro wa kiutu huko Syria
Wafadhili wakutana kuichangia Syria
Taarifa ya Habari Asubuhi 14.03.2019
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano//Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kusitisha mara moja safari za ndege za Boeing chapa 737 MAX 8 baada ya ajali ya Ethiopia//Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Felix Tshisekedi amewasamehe kiasi ya wafungwa 700 wa kisiasa waliofungwa jela na utawala wa Joseph Kabila
Wanamgambo 3,000 wa IS wajisalimisha
Wapiganaji 3,000 wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS wamejisalimisha kutoka kwenye ngome yao ya mwisho ya Baghouz
Taarifa ya Habari Asubuhi 13.03.2019
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu Theresa May kuhusu Brexit // Nchi nyingi duniani zikiwemo zote za Umoja wa Ulaya zimesitisha kurusha ndege zake za Boeing chapa 737 MAX 8 // Kardinali George Pell amehukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto
Ziara ya Rais wa Iran nchini Iraq ni ya kuimarisha uhusiano
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema uhusiano wa nchi yake na Iraq hauwezi kuingiliwa kati na nchi yoyote.
Taarifa ya Habari Asubuhi 11.03.2019
Kampuni ya kutengeneza ndege nchini Marekani, Boeing imeahirisha uzinduzi wa ndege yake 777X, kutokana na ajali ya ndege ya Ethiopia iliyotokea jana // Vikosi vinavyoungwa mkono na Marekani vimeanzisha tena mashambulizi kwenye ngome ya mwisho ya kundi la Dola la Kiislamu mashariki mwa Syria // Ndege ya serikali inayoaminika imembeba Rais wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika imewasili Algiers
Je Ujerumani itawapokea wapiganaji wa IS walioko Syria?
Shinikizo la rais wa Marekani kuitaka Ujerumani iwarejeshe nyumbani wapiganaji wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la kiislam IS waliokwama nchini Syria limezusha mjadala moto Ujerumani. Ujerumani imesema, wapiganaji hao wa kigaidi wataweza kurejeshwa Ujerumani tu ikiwa masharti maalum yatatekelezwa. Oummilkheir anaangazia hayo na mengine mengi kwenye makala Sura ya Ujerumani.
Donald Trump na ukuta wa Mexico Magazetini
Donald Trump na ukuta wa Mexico Magazetini
Krejeshwa nyumbani Magaidi wa IS Magazetini
Krejeshwa nyumbani Magaidi wa IS Magazetini
Trump aitaka Ulaya kuchukua raia wake waliojiunga na IS
Rais wa Marekani Donald Trump amewataka washirika wake wa nchi za Ulaya kuwarejesha nyumbani mamia ya wanamgambo wa kigeni wa kundi linalojiita Dola la Kiislam-IS waliokamatwa nchini Syria na vikosi vya Kikurdi vya Syria vinavyoungwa mkono na Marekani. Kurunzi: 18.02.2019
Trump aichanganya Ulaya kwa wito kuhusu wapiganaji wa IS
Watu hawa wanaweza tu kuja Ujerumani ikiwa imethibitishwa kuwa wanawaze kueplekwa rumande mara moja.
Ujerumani yajadili kuwarejesha wapiganaji wa IS kutoka Syria
Ujerumani yajadili kuwarejesha nyumbani raia wao waliokwenda kupigana Syria kuliunga mkono kundi la IS.
Trump ayataka mataifa ya Ulaya kuwapokea IS kutoka Syria
Trump ataka mataifa ya Ulaya kuwachukua wapiganaji wa IS kutoka Syria
Fedha za kuijenga tena Syria zinahitaji muafaka wa kisiasa
Mkutano wa siku tatu juu ya masuala ya usalama unaofanyika mjini Munich, Ujerumani umefunguliwa leo na Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen asema mabilioni ya fedha yanayohitajika kuijenga tena Syria yatatolewa kutakapopatikana muafaka wa kisiasa nchini humo.
Munich: Mkutano juu ya usalama kufanyika kwa siku tatu
Von der Leyen ameyasema hayo katika mkutano wa siku tatu juu ya masuala ya usalama mjini Munich kusini mwa Ujerumani.
Watoto 300 wanakufa kila siku katika nchi za mizozo
Kati ya watoto watano duniani, mmoja anaishi katika nchi inayokumbwa na mizozo au vita, idadi inayotajwa kubwa mno.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 21 wa 77
Ukurasa unaofuatia