You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Putin na Erdogan waijadili Syria
Wanamgambo wa Kikurdi wanapambana na vikosi vya Uturuki kaskazini mwa Syria.
Ujerumani yaitisha ukanda wa usalama Syria
Katika mahojiano na DW, Annegret Kramp-Karenbauer amesema kuwa mpango huo uliratibiwa na Kansela Angela Merkel
Erdogan aonya kuendeleza operesheni makubaliano yakikiukwa
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Ulaya Donald Tusk ataka Uturuki kuondoa majeshi yake Syria.
Taarifa ya habari za asubuhi. 18.10.2019
Uturuki yaahidi kusitisha mashambulizi yake nchini Syria kwa siku tano, Uingereza na Umoja wa Ulaya zatangaza kupata mkataba mpya wa Brexit na Venezuela yajishindia kiti katika baraza la kutetea haki za binadamu la Umoja wa Mataifa.
Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha yoyote nchini Uturuki
Suluhisho la Brexit bado kizungumkuti
UHusiano kati ya Ujerumani na Ufaransa Magazetini
UHusiano kati ya Ujerumani na Ufaransa Magazetini
Vikosi vya Syria vyaingia mji muhimu wa Kobani
Syria yaukamata mji wa Kobani, bunge la Marekani lapitisha azimio kulaani hatua ya Trump kuwatupa mkono Wakurdi
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Uvamizi wa Uturuki na Maoni ya Vijana Magazetini
Uvamizi wa Uturuki na Maoni ya Vijana Magazetini
Erdogan apuuza vikwazo, aapa kuendeleza operesheni Syria
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amebeza vikwazo vya Marekani, na kuapa kuendeleza operesheni za dhidi ya Wakurdi
Pence kuzuru Mashariki ya Kati
Rais Trump kumtuma makamu wake Mashariki ya kati katika juhudi za usuluhishi kati ya Uturuki na Wakurdi
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Wakurdi, Serikali ya Syria kushirikiana dhidi ya Uturuki
Vikosi vya Syria vyapelekwa kwenye mpaka wa Kaskazini baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano na Wakurdi
Matangazo ya jioni. 13.10.2019
Karibu katika matangazo ya jioni kutoka DW Bonn
Uturuki yaendeleza mashambulizi Syria
Vikosi vya uturuki, vilisonga mbele na kudhibiti barabara muhimu kaskazini mashariki mwa Syria
Majeshi ya Uturuki yadhibiti vijiji zaidi Syria
Majeshi ya Uturuki yavinyakua vijiji viwili zaidi vilivyokuwa vinashikiliwa na wanamgambo wa Kikurdi.
Uturuki yaendeleza mashambulizi dhidi ya Wakurdi Syria
Ndege za kivita za Uturuki na makombora zimeyashambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 11.10.2019
Maelfu ya watu wakimbia mashambulizi ya Uturuki dhidi ya wapiganaji wa kikurdi.
11.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi
Maelfu ya watu wakimbia mashambulizi ya Uturuki dhidi ya wapiganaji wa kikurdi.
Erdogan atishia kuwaachilia wakimbizi wa Syria Kuingia Ulaya
Erdogan asema vikosi vyake vimewaua wanamgambo 109.
Vikosi vya Uturuki vyaendeleza mashambulizi Syria
Uturuki imesema vikosi vyake vimekamata baadhi ya maeneo waliyoyalenga Syria
Taarifa ya Habari Asubuhi 10.10.2019
Jumuia ya kimataifa yalaani operesheni ya kijeshi inayofanywa na Uturuki nchini Syria dhidi ya Wakurdi//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel aelezea kusikitishwa na shambulizi katika Sinagogi kwenye mji wa Halle//Chama cha Ennahda kimeshinda katika uchaguzi wa bunge nchini Tunisia, ingawa kimekosa wingi wa viti vinavyohitajika kuunda serikali
Uturuki yaanza kufanya mashambulizi nchini Syria
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuanza rasmi kwa mashambulizi ya jeshi la nchi yake nchini Syria.
Taarifa ya Habari Asubuhi 09.10.2019
Uturuki imesema jeshi lake litavuka mpaka wa Syria muda wowote kuanzia sasa//Serikali ya Rais Donald Trump haitoshiriki katika kile inachokiita uchunguzi usio halali dhidi ya rais//Umoja wa Mataifa umesema unakabiliwa na ''mzozo mbaya wa fedha'' kwa sababu nchi kadhaa hazijalipa ada zao
Uturuki yajiandaa kuingia Syria na madhara yake Magazetini
Uturuki yajiandaa kuingia Syria na madhara yake Magazetini
Hofu juu ya kuibuka tena IS baada ya Marekani kuondoka Syria
Kuna hofu ya kuibuka mashambulizi mapya kutoka kwa makundi yenye misimamo mikali pamoja na kundi la IS.
Uturuki: Maandalizi ya mashambulizi Syria yamekamilika
Uturuki imesema, imekamilisha maandalizi ya mashambulizi Kaskazini mwa Syria
Taarifa ya Habari Asubuhi 08.10.2019
Marekani imesema haijaanza kuwaondoa wanajeshi wake wote nchini Syria//Rais wa Iraq, Barham Salih amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya waandamanaji pamoja na vyombo vya habari//Umoja wa Mataifa umezitaka Uingereza, Marekani na nchi nyingine kutoa taarifa zaidi kuhusu ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha Dag Hammarskjold.
Majeshi ya Marekani yaanza kuondoka kaskazini mwa Syria
Majeshi ya Marekani yameanza kuondoka kwenye maeneo ya mpaka wa Syria na Uturuki.
Taarifa ya Habari Asubuhi 07.10.2019
Mfichua siri wa pili amesema ana taarifa zinazounga mkono madai ya mfichua siri wa kwanza kuhusu mazungumzo ya simu ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy//Idadi ya watu waliouawa katika maandamano ya kuipinga serikali Iraq imeongezeka na kufikia zaidi ya 100//Matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Ennahda kinaongoza
06.10.2019 - Matangazo ya Jioni
Serikali ya Iraq yatangaza mipango ya mageuzi ili kumaliza maandamano ya umma.
06.10.2019 - Matangazo ya Mchana
Vikosi vya usalama vimewauwa zaidi ya watu 100 katika maandamano ya siku 5 nchini Iraq.
Iraq: Watu wengi wafa katika maandamano ya kupinga serikali
Maandamano yamefanyika baada ya serikali ya kuondoa marufuku ya kutotoka nje ya siku mbili
05.10.2019 - Matangazo ya Jioni
Idadi ya walikufa kwenye maandamano dhidi ya serikali nchini Iraq yapindukia watu 90.
05.10.2019 - Matangazo ya Mchana
Bunge la Marekani limeiamuru Ikulu ya White House kutoa nyaraka za mawasiliano na Ukraine.
Mataifa matatu ya Ghuba yawashauri raia wake kuondoka Iraq.
Mataifa matatu ya Ghuba yamewashauri raia wake kutosafiri kwenda Iraq na wale waliomo nchini humo kuondoka mara moja .
Maafisa wa usalama wadhibiti hali Iraq
Wawakilishi wa waandamanaji waalikwa bungeni kujadili matakwa yao
Uturuki, Urusi na Iran wakubaliana kuhusu katiba ya Syria
Viongozi wa Uturuki, Urusi na Iran wametangaza kuwa makubaliano hatimaye yamefikiwa kuhusiana na muundo wa kamati.
Erdogan, Putin na Rouhani wakutana kuijadili Syria
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Putin wa Urusi na Rouhani wa Iran wamekutanawa kujadili mgogoro wa Syria
Matangazo ya Jioni 15.09.2019
Ufaransa imelaani vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa kwenye vituo vya mafuta vya Saudi Arabia//Uturuki imesema betri ya pili ya mfumo wa kujilinda dhidi ya makombora wa S-400 imewasili leo na mfumo huo utaanza kufanya kazi Aprili, 2020//Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametuma ujumbe wa ngazi ya juu katika juhudi za kuzihakikishia nchi za Afrika usalama wa raia wake
Eritrea yaongoza orodha ya nchi 10 zinazobana habari huru
Eritrea yaongoza orodha ya nchi 10 zinazobana habari huru
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.09.2019
Wazimbabwe wanaomboleza kifo cha Robert Mugabe, Idadi ya wakimbizi wanaingia Ulaya kupitia Uturuki yaongezeka mara dufu na India yapoteza mawasiliano na chombo chake kilichotumwa mwezini.
Wanamgambo wauwa watu 11 karibu na Maiduguri Nigeria
Shambulizi limetokea katika kijiji cha Wajirko, umbali wa kilomita 150 nje ya mji mkuu wa jimbo la Borno-Maiduguri.
Putin, Erdogan wataka suluhisho la kisiasa Syria
Kundi la YPG linaoungwa mkono na Marekani limejiondowa kwenye maeneo wanayoyashikilia.
Putin, Erdogan wakutana kuzungumzia Syria
Rais wa Urusi akutana na rais wa Uturuki Erdogan
Taarifa ya habari ya Asubuhi 25.08.2019
Jeshi la Israeli lashambulia maeneo ya karibu na mji wa Damascus nchini Syria jana usiku, ghasia zazuka kati ya mamia ya waandamanaji na vikosi vya kiusalama karibu na eneo la mkutano na polisi mjini Hong Kong wasema kuwa wamewakamata watu 29 baada ya ghasia ya usiku kucha.
Uturuki kuandaa mkutano wa kuijadili Syria
Uturuki kuandaa mkutano wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa Syria
Waasi watimuliwa Khan Shaikhoun nchini Syria
Waasi watimuliwa Khan Shaikhoun nchini Syria
Afghanistan – Miaka 100 ya uhuru
Baadhi ya raia wa Afghanistan hata hivyo hawaoni sababu ya kusherehekea kutokana na hali tete ya usalama nchini humo.
18.08.2019 Matangazo ya asubuhi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 77
Ukurasa unaofuatia