You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ethiopia yawakamata makumi ya washukiwa wa kundi la IS
Kundi la IS nchini Somalia limezidi kuwa sehemu muhimu ya mtandao mkuu wa kimataifa wa wanamgambo.
Syria yatangaza kusitisha mapigano ya kidini
Vikosi vya serikali ya Syria vimeingia katika mji wa Sweida vikilenga kumaliza mapigano kati ya jamii za Bedui na Druze.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu dhulma dhidi ya Wapalestina
Jeshi la Israel IDF likidai kuzishambulia ngome za kundi la Hezbollah nchini Lebanon.
Vikosi vya Syria vyaingia mji wa Sweida
Vikosi vya serikali ya Syria vimeingia Sweida vikilenga kumaliza mapigano kati ya jamii za Bedui na Druze.
Machafuko yazuka mkoa wa Kusini nchini Syria
Serikali ya Syria yakabiliwa na changamoto kubwa ya kudhibiti usalama
Mapigano ya kimadhehebu yauwa 89 Syria
Jamii ya Wasunni yakabiliana na Wadruze katika mkoa wa Sweida na kusababisha umwagaji mkubwa wa damu nchini Syria.
Imani za itikadi kali zaenezwa magerezani, Kongo
Vichocheo vya tatizo hilo: kuwachanganya wafungwa, uangalizi mdogo na ukosefu wa mafunzo kwa maafisa wa magereza.
Marekani yaiondolea rasmi Syria vikwazo
Tangu kupinduliwa kwa Assad mnamo Disemba, Syria imekuwa ukipambana kurejesha ushirika na jumuiya ya kimataifa
Israel kurejesha mahusiano ya kidiplomasia na majirani zake?
Hata hivyo Israel inakabiliwa na shinikizo kubwa la kuvimaliza vita vya Gaza.
Marufuku ya kuingia Ulaya yatolewa kwa washirika wa Assad
Watu hao wanadaiwa kuunga mkono uhalifu dhidi ya binaadamu, ikiwemo utumiaji wa silaha za kemikali kwa watu wa Syria.
Erdogan aapa kuisaidia Syria kupambana na ugaidi
Syria imeanza kurejea kwenye hali ya utulivu baada ya machafuko yaliyotokana na vita
Takriban watu 10 wauawa katika shambulizi nchini Nigeria
Mshambuliaji wa kujitolea mhanga kufa nchini Nigeria alikuwa mwanamke.
Ujerumani yamhukumu Daktari wa Syria aliyewatesa wapinzani
Ujerumani imewashitaki wafuasi kadhaa wa Assad chini ya kanuni ya "mamlaka ya kimataifa".
Syria kufungua kivuko muhimu katika mpaka na Irak
yria imetangaza Alhamis kuwa itafungua kivuko muhimu na jirani yake Irak kuanzia Jumamosi
Marekani yawaamuru maafisa wake kuondoka Mashariki ya Kati
Trump ameamuru kuhamishwa kwa maafisa wa nchi yake kutoka Mashariki ya Kati kutokana na "uwezekano wa kuwa hatarini".
Iran yawanyonga wanamgambo 9 wa Dola la Kiislamu, IS
Iran imesema Jumanne kuwa imewauwa kwa kuwanyonga wanamgambo 9 wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS, waliokamatwa b
Kiongozi wa Syria afanya ziara ya kwanza mjini Daraa
Sharaa amefanya ziara katika mji wa kusini wa Daraa ambao ulikuwa ngome ya uasi dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad.
Syria yakanusha kuhusika na mashambulizi dhidi ya Israel
Israel imedai kulipiza kisasi baada ya maroketi kurushwa kutoka kwenye Milima ya Golan inayokaliwa kimabavu na Israel.
IS wafanya shambulizi la kwanza dhidi ya serikali Syria
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na mashambulizi mawili kusini mwa Syria, likiwemo shambulizi moja
Marais wa Uturuki na Syria wafanya mazungumzo mjini Istanbul
Rais wa Uturuki, Recepp Tayyip Erdogan, amefanya mazungumzo na Rais wa Syria, Ahmed al-Sharaa, mjini Istanbul Jumamosi.
Marekani yaanza kuiondolea Syria vikwazo vya kiuchumi
Serikali ya Marekani imeanza kuondoa vikwazo dhidi ya Syria, hatua ambayo iatiwezesha nchi hiyo kujikwamua kiuchumi.
Umoja wa Ulaya kuiondolea Syria vikwazo vya kiuchumi
Umoja wa Ulaya wakubaliana kuiondolea Syria vikwazo vya kiuchumi katika juhudi za kuisaidia kujikwamua kiuchumi.
Mshukiwa wa shambulizi la kisu Bielefeld akamatwa
Watu wawili kati wa wanne waliopata majeraha mabaya, wanaendelea kupata nafuu.
Trump akutana na Rais mpya wa Syria Ahmed Al-Sharaa
Trump pia ameitaka Syria kurekebisha uhusiano na Israel. Je, huu ndio mwanzo wa ukurasa mpya kwa Syria?
Trump akutana na kiongozi wa Syria mjini Riyadh hii leo
Kiongozi huyo wa Marekani alisema utawala wake wake umedhamiria kurejesha uhusiano baina ya nchi hizo mbili.
Washambuliaji wavamia kambi ya kijeshi Nigeria na kuua wanne
Kundi hilo pamoja na lile la Boko Haram yamezidisha mashambulizi kwenye kambi za kijeshi katika wiki za hivi karibuni.
Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
Tangazo la Trump linaashiria mabadiliko makubwa katika sera ya muda mrefu ya Washington kuhusu Syria.
Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
Trump ameeleza kuwa vikwazo dhidi ya Syria vimetimiza malengo yake na hivyo havihitajiki tena.
Nigeria: Wanajeshi wauliwa na wapiganaji wa kundi la IS
Uasi uliodumu kwa muda wa miaka 16 umegharimu maisha ya zaidi ya watu 40,000
Mjumbe wa UN alaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Syria Geir Pedersen ameitaka Israel kuacha mara moja kuishambulia Syria.
Israel yafanya mashambulizi karibu na Ikulu Damascus
Israel imefanya mashambulizi mjini Damascus katika maeneo kadhaa likiwemo eneo lililo karibu na makazi ya Rais.
Wataalamu wa UN wahimiza uchunguzi wa mauaji ya halaiki Mali
Wataalamu hao wameihimiza mamlaka nchini Mali kufanya uchunguzi wa haraka na usio na upendeleo juu ya mauaji hayo.
Iraq yamkamata mshukiwa wa IS kwa shambulizi la New Orleans
Watu 14 waliuawa wakati lori lilipovurumishwa katikati ya umati wa watu kwenye shambulizi la New Orleans.
Wapiganaji wa itikadi kali wawauwa wakulima 14 Nigeria
Juhudi za uokoaji zaendelezwa Nigeria baada ya kuuawa kwa wakulima 14.
Raia 11 wa Alawite wauawa katika uvamizi wa kiusalama syria
Mkoa wa Homs nchini Syria umekuwa ukishuhudia ongezeko la mauaji
Ripoti:Watoto 400,000 Syria hatarini kukabiliwa na utapiamlo
Mzozo uliodumu kwa zaidi ya miaka 13 nchini Syria uliiharibu vibaya nchi hiyo.
Shirika la misaada ya kiutu OCHA kupunguza wafanyakazi 2,600
Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kiutu OCHA limesema linapunguza wafanyakazi 2,600 kutokana na uhaba wa fedha.
Walionyongwa duniani waongezeka katika miaka tisa: Amnesty
Ripoti ya Shirika la Amnesty International imesema jumla ya watu 1,518 walinyongwa duniani kote katika mwaka 2024.
Wahamiaji 7 wafariki dunia baada ya ajali ya boti Ugiriki
Vyombo vya habari Ugiriki vinaripoti kuwa angalau wahamiaji 7 wamefariki dunia leo baada ya boti yao kupata ajali katika
Syria yaituhumu Israel kufanya kampeni ya kuidhoofisha
Syria leo imeituhumu Israel kwa kufanya kampeni ya kuidhoofisha baada yawimbi la mashambulizi katika shabaha za kijeshi,
Kiongozi wa Syria, Ahmed Al sharaa atangaza serikali mpya
Serikali hiyo mpya haitokuwa na nafasi ya waziri mkuu na Al sharaa atasimamia mwenyewe kazi ya Baraza lake.
Israel yaonya kuwa itashambulia eneo lolote nchini Lebanon
Israel ilifanya mashambulizi hayo muda mfupi baada ya jeshi lake kusema limezuwia makombora mawili kutokea Lebanon.
Ujerumani yakosoa hatua za Israel huko Palestina
EU: Mashambulizi ya Israel huko Lebanon na Syria yanahatarisha usalama wa eneo zima la Mashariki ya Kati.
Je, utawala mpya wa Syria unaweza kujumuisha makundi yote?
Wasyria wanataka uwakilishwaji wa madhehebu yote katika uongozi wa nchi ikiwemo Wasunni, Wadruze, Wakristo, Warmenia.
Jamii ya kimataifa yaahidi dola bilioni 6 kwa ujenzi Syria
Marekani haikutoa ahadi yoyote ya fedha ikiyataka mataifa mengine sasa kuchukua jukumu hilo.
Syria yaahidiwa zaidi ya dola bilioni 6 za ujenzi mpya
Umoja wa Ulaya Jumatatu uliitisha mkutano wa ufadhili wa Syria, kusaidia juhudi za ujenzi mpya wa taifa hilo baada ya ku
Mkutano wa wafadhili wa Syria wafanyika mjini Brussels
Mkutano wa wafadhili wa Syria wafanyika mjini Brussels
Marekani, Iraq zasema zimemuuwa Afisa wa juu wa ISIS
Vikosi vya Marekani kwa kushirikiana na mamlaka za Iraq vimemuuwa Afisa wa ngazi ya juu wa kundi la ISIS.
Syria yatangaza kuunda Baraza la Usalama wa Kitaifa
Mamlaka mpya ya Syria imetangaza kuunda Baraza la Usalama wa Kitafa likiwa na ljukumu la kusimamia usalama na siasa.
Marekani yasifu makubaliano kati ya Syria na Wakurdi
Siku ya Jumatatu, ofisi ya rais wa Syria ilitangaza makubaliano na mkuu wa SDF ya kuunganisha taasisi zake serikalini.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 77
Ukurasa unaofuatia