You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mzozo wa Iran na Marekani wahamia nchini Iraq
Mzozo wa Iran na Marekani wahamia nchini Iraq na wanamgambo wa Iraq wameapa kupambana na majeshi ya Marekani
Serikali ya Libya yakanusha kuwa inasaidiwa na Uturuki
Spika wa bunge la Libya aitaka jumuiya ya kimataifa kupinga uhalali wa serikali ya mjini Tripoli.
UN:Bajeti ya 2020 juu, fedha za uchunguzi uhalifu wa kivita
Umoja wa Mataifa waongeza bajeti yake ya mwaka 2020 , ni pamoja na fedha za uchunguzi wa uhalifu wa kivita
Zaidi ya watu 235,000 wakimbia Idlib, Syria
Watu 235,000 wakimbia Idlib kwa wiki mbili zilizopita wakati mashambulizi ya vikosi vya serikali yakiongezeka.
Iraq yatumbukia kwenye mgawanyiko
Raia wa Iraq wamegawika juu ya kitisho cha kujiuzulu rais wa nchi hiyo anayepinga kuidhinisha jina la waziri mkuu
Papa Francis ahimiza wema na upendo
Licha ya kuwa hakutaja moja kwa moja matatizo ya karibuni, yanayolikabili Kanisa, aliyagusia.
Maelfu ya raia wakimbia mashambulizi Idlib
Erdogan aonya kuhusu wimbi jipya la wakimbizi kutoka Syria
22.12.2019: Matangazo ya Jioni
Kwenye matangazo yetu ya jioni msikilizaji pamoja na mengine utasikiliza taarifa ya habari za ulimwengu, lakini pia mjadala motomoto kwenye Maoni mbele ya Meza ya Duara na leo kukijadiliwa uhuru wa kujieleza na mustakabali wa maendeleo na uhuru wa vyombo vya habari. Usikose kusikiliza majadala huu.
22.12.2019: Matangazo ya Mchana
Habari za mchana msikilizaji na karibu kwenye matangazo ya mchana na miongoni mwa utakayoyasikia ni taarifa ya habari lakini pia yale yaliyojiri na kugonga vichwa vya habai huko barani Afrika kwenye Afrika Wiki hii. Usikose kusikiliza.
Ndege za kivita za serikali ya Syria zahujumu Idlib
Ndege za kivita za serikali ya Syria zahujumu Idlib
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Matangazo ya jioni . 1.12.2019
Karibu katika matangazo ya jioni kutoka Dw Bonn.
30.11.2019 - Matangazo ya Jioni
Waandamanaji 2 wameuwawa na vikosi vya usalama nchini Iraq.
30.11.2019 - Matangazo ya Mchana
Polisi nchini Uingereza inachunguza mkasa wa shambulizi la kisu mjini London.
Wairaq waendeleza maandamano mjini Baghdad na Nassiriya
Waziri mkuu Abdul Mahdi ametangaza nia ya kujiuzulu
Matangazo ya jioni . 23.11.2019
Karibu katika matangazo ya jioni kutoka Dw Bonn
Ujerumani kuwarejesha wanawake wa IS kutoka Syria
Wanawake waliojiunga na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", raia wa Ujerumani kurejeshwa nyumbani
21.11.2019 - Taarifa ya Habari za Asubuhi
Rais wa mpito wa Bolivia amewasilisha muswada bungeni wa kuitisha uchaguzi nwingine.
Israel yafanya mashambulizi "makubwa" Syria
Jeshi la Israel pamoja na kundi moja linaloangalia masuala ya vita wamesema Israel Jumatano imefanya mashambulizi.
Ujerumani yawatuliza raia wake baada ya IS kurejea nchini
Raia wa Ujerumani watakaorejea "sio kitisho"
Uturuki yawarejesha makwao wapiganaji wa kigeni wa IS.
Uturuki imeanza kuwarejesha wapiganaji wa kigeni wa kundi linalojiita dola la kiislamu IS kwenye mataifa yao.
Taarifa ya habari za asubuhi. 12.11.2019
Uturuki yawarejesha makwao wanachama wa kigeni wa kundi la jihadi, ghasia zazuka nchini Bolivia kufuatia hatua ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais Evo Morales na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa zaidi wa dhehebu la Kishia nchini Iraq Grand Ayatollah Ali al-Sistani aunga mkono mpango wa Umoja wa Mataifa wa amani nchini humo.
Taarifa ya habari ya asubuhi. 11.11.2019
Rais wa Bolivia Evo Morales atangaza kujiuzulu, maandamano kuhusiana na dhulma na chuki dhidi ya jamii ya kiislamu nchini Ufaransa yawavutia maelfu ya watu barabarani na polisi mmoja mjini Hong Kong ampiga risasi kifuani mwandamanaji mmoja .
03.11.2019 - Matangazo ya Asubuhi
Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya ASEAN waingia siku ya pili nchini Thailand.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 03.11.2019
Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya ASEAN waingia siku ya pili nchini Thailand.
Pompeo aitaka Iraq kusikiliza madai ya waandamanaji
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo aitaka serikali ya Iraq kusikiliza madai halali ya waandamanaji.
Taarifa ya Habari Asubuhi 02.11.2019
Umoja wa Mataifa umesema kamati iliyochaguliwa kuandaa katiba mpya ya Syria imekubaliana kazi ya kuandika katiba itaanza wiki ijayo//Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema serikali ya Iraq inapaswa kuyasikiliza madai ya waandamanaji//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ametoa wito wa kupatikana suluhisho la muda mrefu la amani katika mzozo wa Kashmir kati ya India na Pakistan
Siasa zinazozunguka kifo cha al-Baghdadi
Kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara hii leo kinaangazia kwa mapana kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS. Mjadala unaangazia kwa upana je, kifo chake kinamaanisha nini katika kile kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi duniani? Ni mengi yamejadiliwa hapa. Ungana na Mohammed Khelef na wana jopo kujua zaidi.
Taarifa ya Habari Asubuhi 01.11.2019
Bunge la Marekani limeidhinisha mchakato wa uchunguzi wa kumuondoa Rais Donald Trump madarakani//Syria imesema lengo lake kuu ni kurejesha mamlaka ya serikali kwenye maeneo yanayodhibitiwa na Wakurdi kaskazini mashariki mwa Syria//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel anatarajiwa kukutana na viongozi wa India kutafuta njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimkakati
Pande hasimu Syria zakutana Geneva kwa mazungumzo
Ni mkutano wa kihistoria unaotarajiwa kuanza kuandika rasimu ya katiba mpya, ili kumaliza vita nchini Syria.
Uturuki na Urusi kuanza doria ya pamoja
Ujumbe wa Syria wakutana Geneva
Karrenbauer: Syria kaskazini kubuniwe eneo salama
Pendekezo la Waziri wa Usalama wa Ujerumani Annegret Kramp Karrenbauer la kutengwa eneo salama kaskazini mwa Syria litakalosimamiwa na Umoja wa Mataifa limezusha mjadala mkubwa Ujerumani. Kuna maoni tofauti kutoka kwa washirika wa serikali ya muungano Ujerumani pamoja na vyama vya upinzani. Sura ya Ujerumani inaangazia jinsi pendekezo la waziri huyo lilivyopokelewa.
Uchambuzi: Utata kwenye ushindi wa waandamanaji Lebanon
. Lakini hata kama hatua hii inamaanisha ushindi kwa waandamanaji, je ushindi huo una utata gani ndani yake?
Mafahali wa Syria wakutana katika meza ya mazungumzo Geneva
Mafahali wa Syria wakutana katika meza ya mazungumzo Geneva
Siku 6 za kuweka chini silaha zaelekea ukingoni Syria
Siku 6 za kuweka chini zinamaliza nchini Syria
Watu 18 wauawa na zaidi ya 100 wajeruhiwa Iraq
Maandamano yameingia siku ya tano Iraq
Trump athibitisha kifo cha kiongozi wa "Dola la Kiislamu"
Kifo chake kinazingatiwa kuwa pigo kubwa kwa kundi hilo la wanamgambo ambalo wakati mmoja lilikuwa na nguvu kubwa
Kiongozi wa IS Baghdadi auawa: Ripoti
Vyanzo vya habari vya Marekani vinaeleza kuwa, Baghdadi anaweza akawa ameuwawa kwa kujiripua katika eneo la Idlib
Rais Trump kutoa tamko muhimu
Rais Donald Trump wa Marekani leo (27.10.2019) anatarajiwa kutoa tamko muhimu
27.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi
Korea Kaskazini yasema hakuna mafanikio kwenye mahusiano yake na Marekani.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 27.10.2019
Korea Kaskazini yasema hakuna mafanikio kwenye mahusiano yake na Marekani.
26.10.2029 - Matangazo ya Asubuhi
China na Marekani zimesema zinakaribia kufikia mkataba wa kibiashara.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 26.10.2019
China na Marekani zimesema zinakaribia kufikia mkataba wa kibiashara.
Waandamanaji 30 wauwawa nchini Iraq
Kiasi waandamanaji 30 wameuwawa jana Ijumaa wakati wa wimbi jipya la maandamano ya umma nchini Iraq.
Wanajeshi wa Urusi wawasili Syria
Wizara ya ulinzi ya Urusi inasema karibu wanajeshi mia tatu wa nchi hiyo wamewasili Syria Ijumaa.
25.10.2019 - Matangazo ya Asubuhi
Rais Evo Morales wa Bolivia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 25.10.2019
Rais Evo Morales wa Bolivia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita.
NATO yakosoa hatua za Uturuki Syria, lakini hakuna adhabu
Operesheni ya Uturuki nchini Syria inatazamiwa kuibua mjadala mkubwa kwenye mkutano wa NATO
Trump aiondolea Uturuki vikwazo
Wanajeshi wa Uturuki na Urusi wamekamata maeneo yaliyokuwa yakidhibitiwa na wanajeshi wa Marekani na Wakurdi.
Wanamgambo wa kikurd walihama eneo linalopakana na Uturuki
Wanamgambo wa kikurd walihama eneo linalopakana na Uturuki
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 19 wa 77
Ukurasa unaofuatia