You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari Asubuhi 23.02.2020
Maelfu ya watu wamendamana kwenye mji wa Hanau, Ujerumani kupinga ubaguzi pamoja na makundi ya siasa kali za kizalendo // Shirika la Afya Duniani, WHO limesema watu wapatao 78,000 ulimwenguni wameambukizwa virusi vya Corona // Viongozi wa Uturuki, Urusi, Ufaransa na Ujerumani Machi 5, wataujadili mzozo katika jimbo la Idlib, Syria
Umoja wa Ulaya waitaka Syria kusitisha mashambulizi Idlib
Umoja wa Ulaya umelaani mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria kwenye jimbo la Idlib.
Taarifa ya Habari Asubuhi 21.02.2020
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier amesema nchi hiyo imeungana dhidi ya vitendo vya chuki na ghasia // Tume ya Afya na Magonjwa ya China imesema kuwa wagonjwa wapya 889 wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona hadi kufikia jana // Saudi Arabia imesema kuwa imeyazuia na kuyateketeza makombora kadhaa yaliyorushwa na wanamgambo wa Houthi kuelekea kwenye miji ya nchi hiyo.
Urusi yaionya Uturuki dhidi ya kuiingilia Idlib
Uturuki imesema duru ya mazungumzo kati ya Urusi na Uturuki kuhusu Syria bado hazijatoa matokeo yaliyotarajiwa.
16.02.2020 Matangazo ya Jioni
Umoja wa Afrika wajipanga kukabiliana na virusi vya corona, Rouhani asema Tehran haitajadiliana na Marekani kwa shinikizo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas atoa wito kwa Ulaya wa kusimamia marufuku ya silaha Libya.
Waasi waangusha ndege ya serikali, Syria
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Urusi na Uturuki watakutana Jumapili hii mjini Munich kujadiliana kuhusu mzozo huo.
Syria na Uturuki: Hali bado ni ya mvutano mjini Idlib
Mvutano baina ya Syria na Uturuki
Mtoto mmoja kati ya sita wanaishi katika mazingira ya vita
Ripoti ya Save the Children inaonyesha kuwa wavulana wadogo husajiliwa kama majeshi
Erdogan atishia kuvishambulia vikosi vya Syria
Waasi wa Syria wameidungua helikopta ya jeshi la Syria kaskazini mwa nchi hiyo na kuwaua watu wote waliokuwemo ndani.
Matangazo ya mchana. 08.02.2020
China yafungua hospitali ya muda mjini Wuhan kusaidia kukabiliana na virusi vya Corona, Uturuki yatishia kuchukua hatua iwapo kituo chake chochote cha kijeshi katika jimbo la Idlib kitashmabuliwa na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Dominic Raab, asema anatarajia kuwa mazungumzo ya kibiashara na Japan yataanza kabla ya msimu wa machipuko.
Jeshi la Syria laingia katika miji muhimu nchini humo
Geir Padersen atoa wito wa kusitishwa mapigano
Idlib- Mkoa wa Syria uliotengwa na dunia
Jumla watu 750,000 wanaaminika kukimbia Idlib miezi tisa iliyopita huku ukionya kuhusu mzozo unaonukia wa kibinaadamu.
Raia na wanajeshi wauawa Idlib
Mamia ya raia wamelazimika kuyakimbia makaazi yao na kushinikiza kuvuka mpaka kwenda Uturuki kutokana na mashambulizi.
Mtu mmoja ajeruhiwa katika shambulio la roketi mjini Baghdad
Mtu mmoja ajeruhiwa katika shambulio la roketi mjini Baghdad
Polisi Iraq wavamia kambi za waandamanaji
Watu kadhaa wauawa katika maandamano ya Iraq, baada ya kuvamiwa na vikosi vya usalama.
Matangazo ya jioni .25.01.2020
Vikosi vya usalama vya Iraqi vyayamia eneo kuu la maandamano mjini Baghdad la Tahrir, Iran yashtumu kile ilichokitaja kuwa ''Kuteswa na kuhujumiwa'' kwa raia wake na maafisa wa Marekani wanaohusika na usalama mpakani na mratibu wa Umoja wa Ulaya kupambana na ugaidi Gilles de Kerchove, asema Brexit, haitaathiri ushirikiano wa kubadilishana taarifa za kijasusi barani Ulaya.
Magaidi wauwana wao kwa wao Nigeria
Wanamgambo wa Boko Haram na wale wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi walikabiliana kwa risasi.
Mapigano yamepamba moto Idlib na kuwatimua malaki ya watu
Mapigano yamepamba moto Idlib na kuwatimua malaki ya watu
Maelfu wakimbia hujuma za vikosi vya Urusi Idlib
Maelfu wakimbia hujuma za vikosi vya Urusi Idlib
Heiko Maas aionya Iran kuhusu mizozo ya kikanda
Wakati Iraq inashinikiza kuondolewa kwa majeshi ya kigeni, waziri Maas anataka ufafanuzi kuhusu hatma ya wanajeshi wake.
Mataifa yaliopoteza raia ajali ya ndege ya Ukraine kukutana
Mataifa matano ambayo raia wake walifariki katika ajali ya ndege mjini Tehran kukutana London
Maoni: Merkel na Putin - Si marafiki lakini ni washirika
Merkel na Putin si marafiki bali ni washirika , na Ulaya inaihitaji Urusi
Mhubiri wa Iraqi azishtumu Marekani na Iran.
Kiongozi mkuu wa kidini wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameshtumu mapigano kati ya Marekani na Iran.
Ndege ya Ukraine huenda ilipata tatizo kabla kuanguka
Iran yasema haitopeleka kijisanduku cheusi kwa Marekani
Trump atishia kuiwekea Iran vikwazo vipya vya kiuchumi
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuweka vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran.
Taarifa ya Habari Asubuhi 09.01.2020
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuweka vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran, lakini amesema hatolipiza kisasi kwa kufanya mashambulizi ya kijeshi//Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana na kiongozi wa serikali ya Libya inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa Fayez al-Sarraj//Mwanamfalme wa Uingereza, Harry na mkewe Meghan wametangaza kuachana na majukumu yao katika familia ya kifalme
Mataifa yalaani mashambulizi ya Iran nchini Iraq
Maafisa mjini Tehran na Washington wamesema Iran ilifyatua makombora kadhaa usiku wa kuamkia Jumatano.
Iran yashambulia vituo vya jeshi la Marekani Iraq
Iran imesema mashambulizi hayo yamehitimisha kisasi cha mauaji ya Qassem, kamanda wake alieuawa na Marekani Ijumaa.
Putin azuru Uturuki kuzungumzia Libya, Syria na gesi
Bomba hilo la gesi la Turkstream litasafirisha gesi ya Urusi hadi Uturuki na Kusini mwa bara Ulaya :
Hakuna aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Ukraine
Ndege ya Ukraine aina ya Boeing chapa 737 imeanguka muda mfupi baada ya kuruka katika uwanja wa ndege wa Tehran.
Taarifa ya Habari Asubuhi 08.01.2020
Vikosi vya Iran vimezishambulia kwa makombora kambi mbili ma Marekani zilizoko Iraq // Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya watu 6,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa surua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo // Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, Juan Guaido ameitisha maandamano ya siku tatu dhidi ya Rais Nicolas Maduro
Marekani yakanusha kutaka kuondoa wanakeshi wake Iraq
Marekani yakanusha kuondoa wanajeshi Iraq. Ujerumani hata hivyo itawapunguza wake kwa muda.
Taarifa ya Habari Asubuhi 07.01.2020
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Mark Esper amekanusha kwamba Ikulu ya Marekani ilikuwa inajiandaa kuyaondoa majeshi yake Iraq//Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ameitaka Iran kujizuia na ghasia zaidi na uchochezi//Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya kuwa mzozo wa kisiasa ulimwenguni uko katika kiwango cha juu katika karne hii na unazidi kuongezeka
Pakistan yajiweka mbali na mzozo wa Iran na Marekani
Ameyaomba mataifa hayo mawili kupunguza wasiwasi kufuatia mauaji ya kamanda wa kijeshi wa Iran Qassem Soleimani.
Iraq yataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo
Rais Trump ametishia kuiwekea Iraq vikwazo ikiwa hatua hiyo itatekelezwa.
Taarifa ya Habari Asubuhi 06.01.2020
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Uingereza wameitaka Iran kuuheshimu mkataba wa nyuklia uliofikiwa mwaka 2015 // Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuiwekea Iraq vikwazo baada ya bunge la nchi hiyo kupiga kura kuvitaka vikosi vya Marekani viondoke Iraq // Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo kuijadili hali inayoendelea nchini Libya
Matangazo ya Jioni 04.10.2020
Maelfu wahudhuria maandamano ya mazishi ya Qassem Soleimani kamanda wa ngazi ya Juu wa Iran aliyeuwawa na Marekani mjini Baghdad, Marekani imeanzisha tena mafunzo ya kijeshi kwa Pakistan na Idadi ya vifo vilivyotokana na mafuriko Indonesia yafikia watu 53
Maandamano ya mazishi ya Soleimani yafanyika Baghdad
shambulio hilo limezidisha mvutano katika ukanda huo
Matangazo ya Mchana 04.01.2020
Maelfu wakusanyika kwa maziko ya Kamanda wa juu ya Iran Qassem Soleimani aliyeuwawa katika shambulio la anga la Marekani, Uingereza yatoa tahadhari kwa raia wake kutosafiri Iraq na Iran kufuatia mvutano unaozidi kupamba moto kati ya Iran na Marekani na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika apinga uwezekano wa Libya kuingiliwa kijeshi
04.01.2020 - Matangazo ya Asubuhi
Viongozi wa Ulimwengu wameendelea kutoa wito wa kutuliza mvutano kati ya Iran na Marekani.
Iran: Tutalipa kisasi kwa mauaji ya Soleimani
Iran imeendelea kutoa ahadi ya kulipa kisasi dhidi Marekani kwa kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la nchi hiyo.
Marekani yamuua kamanda wa juu wa Iran
Qasem Solaimani alikuwa kamanda wa juu wa kikosi cha Ulinzi wa mapinduzi cha Iran na mtu wa karibu na kiongozi mkuu.
Jenerali Qassem Soleimani ni nani?
Kwa raia wengi wa Iran ambao mashujaa wa taifa lao ni maulamaa, Jenerali Qassem Soleimani alikuwa tofauti.
03.01.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi
Bunge la Uturuki limeidhinisha muswada wa kupeleka wanajeshi nchini Libya.
Kamanda wa Iran asema nchi hiyo haitaki vita na Marekani
kamanda wa jeshi la Iran asema nchi hiyo haihofii vita na mzozo wowote
Waandamanaji waondoka eneo la ubalozi wa Marekani, Baghdad
Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi Iraq yanayoungwa mkono na Iran waondoka katika eneo la ubalozi wa Marekani
02.01.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani ameahirisha ziara yake nchini Ukraine kushughulia suala la Iraq.
Trump anatarajia vikosi vya Iraq vitaulinda ubalozi wake
Trump amesema anatarajia Iraq itatumia vikosi vyake vya usalama kuulinda ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
Waandamanaji Iraq wavamia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Waombolezaji wa Iraq wamekusanyika nje ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad kulaani mashambulio ya ndege za Marekani.
Mzozo wa Iran na Marekani wahamia nchini Iraq
Mzozo wa Iran na Marekani wahamia nchini Iraq na wanamgambo wa Iraq wameapa kupambana na majeshi ya Marekani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 77
Ukurasa unaofuatia