You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Viongozi wa ECOWAS wamtaka Keita kurejea uongozini
Viongozi wa ECOWAS wamesema watatuma ujumbe nchini Mali katika juhudi za kubatilisha mapinduzi ya kijeshi nchini humo
Jopo la UN laanza kutoa uamuzi wa kesi ya mauaji ya Hariri
Kuna ushahidi wa kutosha kuwahusisha wanachama wawili wa kundi la Hezbollah katika mauaji ya Rafik Hariri
IS yauwa 21 katika shambulizi la gereza Afghanistan
Chanzo cha mapigano hayo yaliyoanza Jumapili usiku hakijabainika haraka
Jeshi la Israeli lashambulia washukiwa wa wanamgambo, Syria
Jeshi la Israeli limesema limezuia jaribio la uvamizi kutoka Syria na kuwauwa washukiwa wanne wa kundi la wanamgambo
26.07.2020 Matangazo ya Jioni
Watu wanane wauawa katika shambulio la bomu kaskazini mwa Syria, Uchunguzi wabaini kuwa uungaji mkono kwa serikali mbalimbali wapungua, Jamhuri ya Afrika ya Kati: Francois Bozize atangaza nia ya kugombea urais, Jamhuri ya Afrika ya Kati: Francois Bozize atangaza nia ya kugombea urais
Kura zaendeelea kuhesabiwa uchaguzi wa bunge la Syria
Syria ilipiga kura ya kuchagua bunge jipya
Ripoti ya Marekani: Uturuki imepeleka wapiganaji Libya
Ripoti ya wizara ya ulinzi ya Marekani yadai kuwa Uturuki imepeleka wapiganaji nchini Libya
Ulaya na Marekani zashindwa kutimiza wajibu wake kwa Syria
Rais wa Syria Bashar al-Assad amekuwa madarakani kwa miaka 20 sasa kwa sababu mataifa ya Magharibi yameitupa Syria.
Mataifa ya Kiarabu yakabiliana na itikadi kali mtandaoni
Mataifa ya Kiarabu yalibuni mikakazi ya kupambana na itikadi kali mtandaoni baada ya kuibuka kwa "Dola l Kiislamu."
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili. 12.07.2020
Karibu katika matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Baraza la Usalama lapitisha azimio kuhusu Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuendelea kutolewa huduma za msaada wa kiutu nchini Syria.
Urusi na nchi za magharibi zazozana kuhusu misaada kwa Syria
Urusi na mataifa ya Magharibi wanazozana juu ya suala la kuendelea kutuma misaada maeneo yanayodhibitiwa na waasi Syria.
Urusi na nchi za Magharibi zazozana utumaji misaada Syria
Urusi na mataifa ya Magharibi wanazozana juu ya suala la kuendelea kutuma misaada ya kiutu nchini Syria
Guterres alaani uingiliaji wa kigeni Libya
Umoja wa Mataifa umesema uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa Libya umefika katika kiwango kisicho cha kawaida.
Urusi na China zatumia kura ya turufu kuzuia msaada wa Syria
Urusi na China zimetumia kura ya turufu kulipinga azimio la Umoja wa Mataifa la kuongeza muda wa kupelaka msaada Syria.
Taarifa ya Habari Asubuhi 08.07.2020
Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema takriban Waafrika milioni 50 wanaweza kutumbukia katika umasikini uliokithiri kutokana na kuporomoka kwa uchumi kulikosababishwa na janga la COVID-19//Marekani imeuarifu rasmi Umoja wa Mataifa uamuzi wake wa kujiondoa kwenye Shirika la Afya Duniani ifikapo mwaka 2021//China imefungua ofisi mpya ya usalama kwenye mji wa Hong Kong
Taarifa ya Habari Asubuhi 06.07.2020
Uhispania imeweka hatua mpya za kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona kutokana na wimbi jipya la virusi hivyo // Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya kambi muhimu ya jeshi la anga // Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, limesema kuwa kituo chake cha kurutubisha madini ya urani cha Natanz kimeharibiwa vibaya kwa moto
Antonio Guterres aunga mkono kupelekwa misaada nchini Syria
Ujerumani na Ubelgiji ziliwasilisha ombi hilo kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.
21.06.2020 Matangazo ya Mchana
Trump azindua kampeni ya uchaguzi wa rais licha ya kitisho cha COVID-19, Misri imetishia kuingia kijeshi Libya na Wamalawi wanamchagua rais wao upya Jumanne.
12.06.2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Maambukizi ya virusi vya corona yapindukia watu milioni 7.43 duniani, Iraq na Marekani zakubaliana kuondoka kwa majeshi ya Marekani, Iraq na Ujerumani yataka usawa kwa makampuni ya kigeni nchini China.
Taarifa ya habari : 5.06.2020
Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini Marekani yawasilisha kesi dhidi ya rais Donald Trump, wapiganaji 9 waaminifu kwa serikali ya Syria wauawa wakati wa shambulizi la angani la Israeli na Urusi yatetea haki ya Iran ya kuzindua setilaiti
IS yamlaumu waziri mkuu mpya wa Iraq, yahimiza mashambulio
Waziri Mkuu mpya wa Iraq anaonekana kuwa mwiba wa kooni kwa kundi hilo la IS.
Iraq kwatibuka tena
Waandamanaji wa msimamo wa wastani wanaoipinga serikali wamerejea kwenye mitaa kadhaa ya Iraq siku chache tu baada ya serikali ya waziri mkuu mpya Mustafa Kadhemi kuingia mamlakani. Maandamano haya mapya yanahitimisha miezi kadhaa ya utulivu nchini humo. #Kurunzi
Syria na urusi zashtumiwa kwa 'uhalifu wa kivita' Syria
Shirika la Amnesty International lasema mashambulizi hayo yalifikia kiwango cha ''uhalifu wa kivita.''
UN: Hali ya COVID-19 inatia wasiwasi chini Syria
Umoja wa mataifa umeonya hali Syria inaweza kuwa ni janga zaidi la kibinadamu kufuatia mripuko wa virusi vya Corona
29.04.2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
29.04.2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Wajane wa Syria waandaa futari kwa wasiojiweza
Kando na changamoto ya kuwa wajane, matataizo ambayo yamesababishwa na janga la corona na pia wasiwasi kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara nchini humo, wajane hawa wanatenga muda wa kuandaa futari ambayo pia wanawapa watu wengine wasiokuwa na chakula.
Maafisa wa zamani wa ujasusi wa Syria kushitakiwa Ujerumani
Maafisa wa zamani wa ujasusi wa Syria kushitakiwa Ujerumani
Walimu Syria watumia mtandao kufundisha
Katika nchi iliyokumbwa na vita ya Syria kwa takribani miaka 9, walimu wanaendelea na masomo kwa njia ya dijitali. Wanatumia Telegram na WhatsApp kuwatumia masomo wanafunzi. #kurunzi.
Pompeo amewasili Kabul katika juhudu za kuokoa mkataba
Mike Pompeo ametarajiwa kukutana na rais Ashraf Ghani na kiongozi wa upinzani Abdullah Abdullah.
Taarifa ya Habari Asubuhi 18.03.2020
Umoja wa Ulaya wakubaliana kuweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa kigeni wanaoingia Ulaya ili kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona//Uturuki, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zajadiliana kuhusu mzozo wa wahamiaji na hali katika jimbo la Idlib//Makamu wa zamani wa rais wa Marekani, Joe Biden ameshinda uchaguzi wa kura za mchujo kwa chama cha Democratic kwenye majimbo ya Florida na illinois
Matangazo ya Jioni 14.03.2020
Matangazo ya Jioni 14.03.2020
Matangazo ya Mchana 14.03.2020
Baraza la wawikilisha lapitisha mswada wa kukabiliana na corona, Saudi Arabia imesitisha safari zote za ndege na Namibia vyabainika visa vipya 2 vya virusi vya corona.
Uturuki na Urusi wakubaliana kusitisha machafuko Idlib
Mzozo wa Syria waingia mwaka wa kumi tangu ulipoanza Machi 2011
Mwanajeshi wa Marekani na Uingereza wauawa nchi Iraq
Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Iraq umetoa wito kwa pande zote kujizuia kuchukua hatua zaidi
Miripuko yaitikisa Afghanistan wakati mahasimu wakijiapisha
Viongozi mahasimu wa kisiasa nchini Afghanistan Ashraf Ghani na Abdullah Abdullah wamejiapishwa kama marais.
Matangazo ya mchana. 08.03.2020
Waziri mkuu wa Italia Giuseppe Conte, atangaza hatua kali za karantini dhidi ya corona, takriban watu 32 wafariki kwenye ajali katika barabara inayouunganisha mji mkuu wa Syria, Damascus na mkoa wa Homs na idadi ya watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa hoteli moja iliyokuwa ikitumiwa kuwaweka watu chini ya karantini ya virusi vya corona mjini Quanzhou nchini China, yafikia watu 10.
Matangazo ya Mchana 07.03.2020
Shirika la Afya Duniani limesema hali ya kuongezeka kwa wagonjwa wa virusi vya Corona nje ya China inatia wasiwasi//Uturuki imesema hakuna ukiukaji wowote katika makubaliano ya kusitisha mapigano kwenye jimbo la Idlib nchini Syria//Maafisa wa Saudia wamewakamata wanafamilia wawili wa kifalme kwa madai ya kupanga njama za kumpindua Mfalme Salman na mwanawe, Mohammed bin Salman
Ulaya yajadili mzozo wa Idlib
Umoja wa Ulaya umesema unalazimika kuangazia upya mahusiano baina yake na Uturuki na Urusi, ambayo ni tete.
06.03.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwenye mji wa Idlib yaanza kutekelezwa.
Putin na Erdogan wakutana Moscow kujadili mzozo wa Syria
Rais wa Urusi Vladimir Putin amekutana na rais mwenzake wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, kwa mazungumzo mjini Moscow yaliyolenga kupunguza mvutano unaotishia kuyatumbukiza mataifa hayo mawili katika mzozo wa moja kwa moja mjini Idlib Syria. #kurunzi
Ugiriki kuwafukuza wahamiaji walioingia baada ya Machi mosi
Kauli hiyo imetolewa na waziri wa uhamiaji wa Ugiriki Notis Mitarachi.
Putin kukutana na rais Erdogan juu ya mkoa wa Idlib
Putin kufanya mazungumzo na Erdogan juu ya mkoa wa Idlib
Wakimbizi wajazana kuvuka mpaka kati ya Uigiriki na Uturuki
Kadhia hiyo ilitokea baada ya Uturuki kufungua mpaka na kuwaruhusu wakimbizi kuingia katika nchi za Ulaya.
Syria: Maelfu wakimbilia kuvuka mpaka wa Ugiriki na Uturuki
Mvutano kati ya Uturuki na Syria waongezeka. Uturuki yaendelea na operesheni yake ya kijeshi katika mkoa wa Idlib
Majeshi ya Uturuki yadungua ndege 2 za kivita za Syria idlib
Ndege hizo zilianguka katika eneo linalodhibitiwa na serikali, yumkini baada ya kulengwa na ndege za Uturuki za F-16.
NATO yasema itasimama na Uturuki katika suala la Syria
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei lavrov amesema ni lazima wanajeshi wa pande zote wafuate makubaliano.
NATO yalaani mashambulizi nchini Syria
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amelaani mashambulizi ya angani yanayofanywa mkoa wa Idlib.
Upinzani Syria warejesha udhibiti mji muhimu wa Idlib
Upinzani Syria warejesha udhibiti wa mji muhimu wa Sarqeb katika mkoa wa Idlib
Mashambulizi ya serikali ya Syria yasababisha vifo 20 Idlib
Vikosi vya Syria vyaendeleza kampeni ya kutaka kuudhibiti mkoa wa Idlib ambayo ni ngome ya mwisho ya waasi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 77
Ukurasa unaofuatia