You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wafadhili wakwama kukusanya dola bilioni 10 kuisadia Syria
Wafadhili wa kimataifa wameahidi dola bilioni 6.4 kwa ajili ya kuwasaidia Wasyria
Ureno yajiandaa kupeleka wanajeshi wake Msumbiji
Ureno imesema itapeleka wanajeshi nchini Msumbiji baada ya wanamgambo wenye itikadi kali kuushambulia mji wa Palma.
Jumuiya ya Kimataifa yaichangia Syria
Katika mkutano ulioandaliwa na Umoja wa Ulaya, Umoja wa Mataifa utaziomba nchi wafadhili kuchangia dola bilioni 10.
Mamia ya watu wauawa katika mashambulio nchini Msumbiji
Mamia ya watu wauawa katika mashambulio nchini Msumbiji
Taarifa ya Habari saa 12 Asubuhi Afrika Mashariki
Jumuiya ya kimataifa imetoa wito wa utulivu baada ya waandamanaji wapatao 20 kuuwawa nchini Myanmar/ Kundi la Taliban lasema litashiriki mazungumzo ya amani ya Afghanistan yanayosimamiwa na Urusi mjini Moscow./ Na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atoa wito juhudi zifanyike kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake.
Maoni: Haki na maridhiano ndiyo njia pekee ya kuiponya Syria
Hakuna jinsi ya kurudi kwenye hali ilivyokuwa kabla ya 2011 na haki ndiyo njia pekee ya kuliponya taifa hilo.
Miaka 10 ya mauaji, mateso na wakimbizi Syria
Takribani watu 400,000 wamepoteza maisha, mamilioni wamejeruhiwa na nusu nzima ya raia wamegeuka wakimbizi.
Vita vya miaka 10 vyauwa watu wapatao 400,000 Syria
Waliokufa kutokana na vita vya Syria imekaribia 400,000 tangu vilipoanza muongo mmoja uliopita.
Maoni: Mzozo wa Syria miaka kumi tangu uasi dhidi ya Assad
Mnamo mwaka 2011 rais wa Syria Bashar al Assad na serikali yake ilionekana kama utawala uliokaribia kuanguka kufuatia wimbi la mapinduzi ya kupigania demokrasia yaliyoshuhudiwa katika nchi za eneo la Mashariki ya Kati. Miaka kumi baadaye Assad bado yupo madarakani, huku amani ya Syria ikiwa bado kitendawili. Karibu tujadili hayo na mengine mengi kwenye kipindi cha Maoni. Nahodha ni Josephat Charo.
UN: Syria inahitaji misaada ya kibinadamu
Zaidi ya watu milioni 11 wameyakimbia makaazi yao
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 11.03.2021
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
EU: Assad hataki uchaguzi huru na wa haki Syria
Syria inakabiliwa na upungufu wa chakula
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 10.03.2021
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 09.03.2021
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
07.03.2021 Matangazo ya Jioni
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aliye ziarani nchini Iraq ameshiriki misa ya pamoja ya Jumapili na maelfu ya waumini katika uwanja mkubwa wa mji mkuu wa eneo la Kurdistan wa Arbil.
07.03.2021 Matangazo ya Mchana
07.03.2021 Matangazo ya Mchana
Papa Francis awaombea wahanga wa hujuma za kundi la IS
Papa Francis aliye ziarani nchini Iraq amewaombea wahanga wa madhila ya kundi la itikadi kali la IS.
Taarifa ya Habari Asubuhi 07.03.2021
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameadhimisha Misa katika Kanisa Katoliki la Walkadea la Mtakatifu Joseph mjini Baghdad, Iraq//Baraza la Seneti nchini Marekani limeidhinisha mpango wa fedha za msaada kwa ajili ya kukabiliana na athari za COVID-19//Jeshi la Puntland limewakamata tena wafungwa waliotoroka Ijumaa baada ya al-Shabaab kulimavia gereza moja na kuwaachia wafungwa
Papa Francis ahimiza amani kwa wote Iraq
Papa ampongeza Ayatollah kwa kupaaza sauti kutetea wanyonge wa Iraq
Papa Francis ahimiza jamii za Iraq kuvumiliana
Papa Francis awahimiza Wairaq kutobagua dini
Papa Francis ziarani Iraq
Papa Francis ziarani Iraq wakati ulinzi ukiimarishwa
Kituo cha jeshi la Marekani chashambuliwa Iraq
Mashambulizi hayo yamefanyika chini ya wiki moja tangu Marekani kuwauwa wanamgambo 23 nchini Syria na Iraq.
Marekani yashambulia maeneo ya wapiganaji Syria
Marekani imeyashambulia maeneo ya mashariki mwa Syria yanayotumiwa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran.
Mahakama ya Ujerumani yamhukumu afisa wa zamani wa Syria
Hukumu hiyo iliyotolewa katika mahakama ya mjini Koblenz nchini Ujerumani ni ya kwanza na ya aina yake ulimwenguni.
Mshirika wa Trump alikiuka kikwazo cha silaha Libya
Wafanyakazi wa Blackwater waliwapiga risasi na kuwaua raia 17 wa Iraq katikati mwa Baghdad wakati wa vita vya Iraq.
Pakistan yaikasirisha Marekani
Msemaji wa Ikulu asema Marekani imekasirishwa mno. Mwandishi huyo aliuawa kwa kukatwa kichwa baada ya kutekwa nyara.
Idadi ya waliokufa nchini Iraq kwenye shambulizi yafikia 32
Washambuliaji wawili wa kujitoa muhanga wamewauwa watu zaidi ya 32 na kujeruhi wengine wasiopungua 70 nchini Iraq.
Watu 15 wauwawa Syria
Wanamgambo wa Dola la Kiislam wamefanya shambulizi lililolenga basi la abiria, magari madogo na tenki ya mafuta
Iraq wamkumbuka Jenerali Soleimani
Mwaka mmoja baada ya kifo chake, raia wa taifa hilo wanaendelea kuhimiza kisasi dhidi ya Marekani.
20.12.2020 Matangazo ya Mchana
20.12.2020 Matangazo ya Mchana
14 wahukumiwa kwa shambulizi la Charlie Hebdo
Mahakama Ufaransa imewakuta na hatia watu 14 kwa kuhusishwa na shambulizi la Charlie Hebdo
Lifahamu kundi la Boko Haram
Unalifahamu vipi kundi la Boko Haramu lililohusika na mashumbulizi na utekaji nchini Nigeria na mataifa jirani?
Matangazo ya Mchana 12.12.2020
Marekani imeiidhinisha chanjo ya virusi vya corona ya kampuni ya BionTech na Pfizer kwa ajili ya kutumika nchini humo // Ujerumani iko katika hatari ya kukumbwa na uhaba wa vitanda iwapo visa vya virusi vya corona vitaendelea kuongezeka // Umoja wa Mataifa umekosoa matamko yanayotolewa na Syria kuhusu silaha za kemikali
Taarifa ya Habari Asubuhi 30.11.2020
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi limesema lina matumaini viongozi wa Ethiopia wataruhusu msaada wa kiutu kuingia kwenye jimbo la Tigray // Rais mteule wa Marekani, Joe Biden leo anatarajiwa kupokea taarifa ya kila siku ya rais kwa mara ya kwanza // Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Syria, amesisitiza kuhusu kusonga mbele kwa mchakato wa kisiasa wa Syria
Ujerumani inaweza kumshtaki Assad kwa uhalifu wa kivita
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wanachunguza ushahidi wa matumizi ya kemikali katika vita vya Syria.
Waangalizi: Israel yashambulia Syria na kuua wapiganaji 8
Jeshi la Syria limesema Israel imeanzisha mashambulio ya angani eneo la kusini nje kidogo ya mji wa Damascus
NATO, Marekani zatafautiana kuondosha wanajeshi Afghanistan
Jens Stoltenberg, ameonya hatua hiyo inaweza kuigeuza Afghanistan kuwa "jukwaa la magaidi".
Syria yazilaumu nchi za magharibi na Uturuki
Assad amesema nchi hizo zinatumia suala la wakimbizi wa Syria kwa shabaha za kisiasa.
Watoto wauwawa katika shambulio mjini Peshawar
Wengi waliouawa ni wanafunzi wa kiume wenye umri wa miaka 20 hadi 40. Watoto saba wameuawa.
Waasi 78 wauawa Syria
Ni sambulizi baya kabisa katika eneo hilo linalokabiliwa na machafuko tangu mkataba wa amani miezi minane iliyopita.
Mashambulizi ya Urusi na Syria, Idlib, ni uhalifu
shirika hilo limesema mashambulizi kadhaa ya angani na ardhini ya vikosi vya Urusi na Syria yaliwalenga raia wa Idlib.
COVID-19 yatawala mdahalo wa Harris na Pence
Mike Pence na Seneta Kamala Harris wameshiriki mdahalo wa nafasi ya makamu wa rais nchini Marekani.
Mzozo wa kudumu — Miaka 40 tangu kuanza kwa vita vya Iran-Iraq
Vita hivyo vya miaka minane viliua maelfu ya watu na kuigawa kanda hiyo kwa misingi ya madhehebu.
Miaka 5 ya "Wir schaffen das" - Tunaweza
Ujerumani imemudu vipi? Na wale walioomba hifadhi wamemudu vipi katika kipindi hiki cha miaka mitano?
Rais wa Ufaransa awahimiza Wairak kulinda uhuru wao
Kwa mujibu wa maafisa mjini Paris, safari ya kiongozi huyo haikutangazwa kwa sababu za usalama.
28.08.2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Trump ameridhia kuwania urais kwa tiketi ya Republican na Rais wa zamani wa Mali arejea nyumbani baada ya kuweka kizuizini kwa siku 10.
Syria: Wito wa kuungwa mkono watolewa
Wawakilishi wa upande wa serikali na upinzani wamekutana mjini Geneva kutafuta uwezekano wa kusimamisha mapigano.
Wakimbizi Ujerumani: Kina Jaafar, Merkel na kukimbia Syria
Familia ya Jaafar iliyowasili mjini Berlin toka mwaka 2015 inategemea kauli ya Merkel katika kuboresha maisha yao.
Ukata wa maji Syria
Huko kaskazini mwa Syria, mzozo kati ya taifa hilo na Uturuki umeendelea kuchukua sura mpya ambapo sasa huduma muhimu ya maji imekatwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo, na kuwaacha raia katika taabu kubwa ya maji. Kurunzi 25.08.2020
UN:Wapiganaji wa IS bado wanaendelea na operesheni zao
Mkuu wa kukabiliana na ugaidi wa Umoja wa Mataifa,amesema zaidi ya wapiganaji 10,000 wa kundi la IS,bado ni tishio.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 77
Ukurasa unaofuatia