You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Utulivu warejea Kampala baada ya miripuko ya bomu
Rais wa Uganda Museveni anadai waasi wa ADF wanashawawishi vijana kujitoa mhanga kuendesha harakati zao za itikadi kali
07.11.2021 Matangazo ya Asubuhi
07.11.2021 Matangazo ya Asubuhi
Waziri Mkuu wa Iraq anusurika jaribio la mauaji
Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Khadhimi, amenusurika jaribio la mauaji lililofanywa kwa kutumia ndege zisizo rubani.
Je, mashambulizi ya mabomu Uganda yachochewa na nini?
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na shambulio la Jumamosi nchini Uganda. Je, mashambulizi hayo ni ya ugaidi wa kimataifa kama IS inavyodai? Au yanatokana na mizozo ya ndani ya Uganda? Daniel Gakuba amezungumza na mchambuzi Ali Mutasa aliyeko mjini Kampala, ambaye anaanza kwa kumulika mafungamano kati ya IS na kundi la uasi la Allied Democratic Forces, ADF.
Uganda yakumbwa na mripuko wa pili katika siku mbili
Mtu mmoja amekufa, kadhaa kujeruhiwa katika mripuko siku ya Jumatatu kwenye basi karibu na mji mkuu wa Uganda, Kampala.
Mjerumani wa IS ahukumiwa miaka 10 jela kwa kumuua binti
Mjerumani aliyejiunga na kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS ahukumiwa miaka 10 jela kwa kumuua binti wa Kiyazidi.
IS yadai kuhusika na shambulizi la bomu Uganda
Kundi la Dola la Kiislamu - IS limedai kuhusika na shambulizi la bomu lililomuuwa mtu mmoja Uganda Jumamosi usiku.
Urusi yaialika Taliban kwa mazungumzo
Vladimir Putin ameonya kwamba wapiganaji wa kundi la IS wanakusanyika nchini Afghanistan
Serikali, upinzani Syria kuandika katiba mpya
Hatua muhimu kwenye kukomesha vita vya zaidi ya muongo mmoja ambavyo vimelisambaratisha taifa hilo la Mashariki ya Kati.
Colin Powell afariki dunia
Powell atakumbukwa kama Mmarekani wa kwanza mweusi kuwa waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani.
Taliban yaahidi ulinzi zaidi misikiti ya Washia
Kundi la Taliban nchini Afghanistan limeahidi kuimarisha ulinzi kwenye misikiti ya waislamu wa madhehebu ya Shia.
Muungano wa Al Sadr wanyakua ushindi Iraq
Uchaguzi wa bunge umefanyika baada ya kuongezeka shinikizo la umma la kudai mageuzi ya haraka katika nchi hiyo
Marekani yakubali kuisaidia Afghanistan
Serikali mpya ya Taliban inasema Marekani imekubali kutoa msaada wa kibinaadamu kwa watu wenye uhitaji mkubwa.
Iraq yafanya uchaguzi wa bunge, usalama ukiimarishwa
Iraq yafanya uchaguzi wa bunge chini ya ulinzi mkali.
Maafisa watano wa kukabiliana na ugaidi wauliwa Sudan
Magaidi 11 raia wa nchi mbali mbali wakamatwa Sudan
26.09.2021 Matangazo ya Jioni
Wajerumani leo hii wameshiriki zoezi la upigaji kura, lenye kutajwa kuwa moja kati ya uchaguzi usiotabirika katika historia ya hivi karibuni, na wenye kukaribiana sana katika kipindi hiki ambacho Kansela Merkel anajiandaa kukaa pembeni ya uringo wa kisiasa baada ya miaka 16 mamlakani.
Vikosi vya Ufaransa vyamuuwa mkuu wa IS ukanda wa Sahel
Mkuu wa kundi linalojiita dola la Kiislamu, ukanda wa jangwa la Sahara Adnan Abu Walid al-Sahrawi ameuwawa.
Putin, Assad wakutana Moscow
Rais Vladimir Putin wa Urusi na mwenzake wa Syria, Bashar Assad, wamekutana mjini Moscow kujadiliana vita nchini Syria.
Amnesty: Wanaorudi Syria wanateswa na kubakwa
Amnesty International yasema wakimbizi wanaorudi Syria watesa na kubakwa
Kabul: Vikosi vya Marekani vyawekwa kwenye tahadhari kubwa
Taliban wafunga sehemu kubwa ya uwanja wa ndege wa Kabul huku muda wa mwisho wa kuwahamisha watu ukizidi kuyoyoma
Matangazo ya Mchana 28.08.2021
Matangazo ya Mchana 28.08.2021
Marekani yamuuwa aliyepanga shambulizi la Kabul
Marekani imesema imemuua mtu anayedaiwa kupanga shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Kabul siku ya Alhamisi.
Tahadhari yachukuliwa baada ya shambulio la IS Afghanistan
Tahadhari yachukuliwa baada ya shambulio la IS Kabul
Syria yatakiwa kutoa taarifa kuhusu silaza zake za sumu
Shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za sumu limeitaka Syria ieleze zaidi suala la kuziangamiza silaha zake za sumu.
31.07.2021 Matangazo ya Jioni
31.07.2021 Matangazo ya Jioni
Mashambulio Syria: Raia 10 wauawa miongoni mwao watoto wanne
Raia 10 wameuawa miongoni mwao ni watoto wanne.
Jeshi la Marekani kuondoka Iraq mwishioni mwa mwaka
Biden atangaza kuhitimisha operesheni za kijeshi za Marekani Iraq
27.07.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
27.07.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Marekani na Iraq kujadiliana kuhusu vikosi vya jeshi
Rais wa Marekani Joe Biden, atakuwa mwenyeji wa Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhemi
Israel kuichunguza kampuni yake ya ujasusi
Mashirika ya kimataifa ya habari yamefichua hivi karibuni kwamba programu ya Pegasus imetumika kidukua viongozi.
Taarifa ya Habari Asubuhi 13.07.2021
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema ghasia zilizosababisha mauaji hazijawahi kushuhudiwa tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi//Serikali ya Marekani imesema inasaidia katika uchunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti, Jovenel Moise//Takribani watu 50 wamekufa na wengine zaidi ya 60 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka katika hospitali inayotumiwa na wagonjwa wa COVID-19 Iraq
Umoja wa Mataifa waongeza muda wa misaada Syria
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kwa pamoja nyongeza ya muda wa kupeleka misaada ya kiutu kutoka Utur
Mapambano na Taliban yashika kasi Afghanistan
Mapambano naTaliban yashika kasi nchini Afghanistan
03.7.2021 Matangazo ya Mchana
Watoto 6 ni miongoni mwa watu wanane waliouwawa na mashambulizi ya mizinga ya jeshi la Syria huko katika ngome kubwa ya mwisho ya waasi ya Idlib kaskazini/magharibi mwa taifa hilo.
Jeshi la Marekani lawashambulia wanamgambo Iraq na Syria
Jeshi la Marekani lafanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran.
Iraq, Misri na Jordan zafanya mkutano wa kilele
Iraq, Misri na Jordan zafanya mkutano wa kilele
28.06.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Shirika la Uangalizi wa Haki za Binaadamu la nchini Syria, lenye maskani yake mjini London, Uingereza limesema mashambulizi ya anga ya Marekani katika eneo la mpakani mwa Syria na Iraq yamewauwa wanamgambo watano.
Msumbiji yahimizwa kutumia nguvu kwa busara
Msumbiji yahimizwa kutumia nguvu kwa busara
Israel yauwa wanajeshi, wanamgambo 11 wa Syria
Hii ni sehemu ya mashambulizi ya kila mara ya Israel inayodai inataka kuzuwia ushawishi wa hasimu wake mkubwa, Iran.
Magaidi wauwa raia 100 Burkina Faso
Zaidi ya watu 1,300 wameshauawa na wengine milioni moja kulazimika kuwa wakimbizi wa ndani.
Sheria kuwabana wauaji wa wanaharakati Iraq?
Inaaminika kwamba utekaji nyara na mauwaji vinafanywa na PMF au kikundi kipya cha kuteleza harakati hizo.
Urusi na China zampongeza Assad kwa kuchaguliwa tena
Siku ya Ijumaa Urusi imempongeza rais wa Syria Bashar al- Assad baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa nchi hiyo
Wasyria washiriki uchaguzi unaotazamiwa kumpa Assad ushindi
Wasyria washiriki uchaguzi unaotazamiwa kumpa Assad ushindi
Wasyria wa maeneo yanayodhibitiwa na serikali wanapiga kura
Syria iliyoharibiwa na vita inapiga kura Jumatano na Assad anategemewa kushinda.
Miezi miwili ya shambulio la Palma, manusura bado wanakimbia
Mashambulizi ya wapiganaji wa itikadi kali yamesababisha vifo 2800 na takribani 700,000 wameyakimbia makaazi yao.
Wafuasi wa rais Assad washambuliwa Lebanon
Wafuasi wa rais Assad washambulia Lebanon
Saudi Arabia yathibitisha mazungumzo na Iran
Saudi Arabia na Iran zimekuwa katika mvutano wa kuwania ushawishi wa kikanda na zimeshiriki vita vya kdhaa vya uwakala.
Wagombea wawili kuchuwana na Assad uchaguzi Syria
Mahakama ya Juu ya Kikatiba nchini Syria imewapitisha wagombea wawili kushindana na Rais Bashar al-Assad.
Zaidi ya wanajeshi 30 wauwawa na wanamgambo Nigeria
Zaidi ya wanajeshi 30 wauwawa na wanamgambo Nigeria
Mkasa wa moto wauwa watu 82 nchini Iraq
Zaidi ya watu 80 wamekufa baada ya moto kuzuka kwenye hospitali ya wagonjwa wa Covid-19 nchini Iraq.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 77
Ukurasa unaofuatia