You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Raia wayakimbia makaazi yao kaskazini mwa Mali
Raia wa Mali Kaskazini, wayakimbia makaazi yao kwa kuhofia mashambulizi ya wanamgambo wanaojiita Dola la Kiislamu (IS)
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 20.11.2022
Makubaliano ya mwisho katika Mkutano wa COP 27 bado hayajafikiwa. Jeshi la Rwanda lamuua mwanajeshi wa Kongo aliyevuka mpaka. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak afanya ziara mjini Kiev.
Matangazo ya Mchana: 29.10.2022
Urusi imesema itajibu kitendo cha Marekani kupeleka mabomu mapya ya nyuklia barani Ulaya. Umoja wa Mataifa umesema huenda mwaka huu ukawa mbaya zaidi kwa Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi. Wagombea wawili wa Urais nchini Brazil wakabiliana katika mdahalo wa mwisho kabla ya uchaguzi hapo kesho.
Lebanon yaanza kuwarejesha wakimbizi wa Syria
Wakimbizi kutoka Syria, waliyakimbia machafuko yaliyozuka kufuatia maandamano ya kumpinga rais Bashar al-Assad.
Tarifa ya Habari za Asubuhi ya DW Kiswahili: 17.10.2022
Vita vya Ukraine vyapelekea watoto milioni 4 kuishi katika umaskini. Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Nigeria yapindukia 600. Moto wasababisha vifo vya watu 4 katika gereza moja nchini Iran.
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 14.10.2022
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 14.10.2022
Hamas yafufua uhusiano na utawala wa Syria
Wachambuzi wanasema mbadiliko hayo ya msimamo yanaisogeza zaidi Hamas kwenye mhimili wa upinzani wa Iran.
Iraq kumuita balozi wa Iran kupinga mashambulizi
Iraq kumuita balozi wa Iran mjini Baghdad kupinga mashambulizi jimboni Kurdistan
Watu 73 wafariki baada ya boti kuzama kwenye pwani ya Syria
Maelfu ya Walebanon, Wasyria na Wapalestina wamekuwa wakiondoka kutoka nchini Lebanon kwa kutumia boti
Mripuko msikitini wauwa watu 18 Afghanistan
Mripuko mkubwa wa bomu uliotokea katika mojawapo ya misikiti maarufu nchini Afganistan umewauwa watu 18.
Wafuasi wa Sadr waondoka majengo ya serikali
Sadr amejitenga na mauaji na umwagaji damu uliotokea.
Machafuko mapya yaikumba Iraq, Iran yafunga mpaka
Muqtadha al-Sadr ameamuwa kujitowa kwenye majukumu ya kisiasa hali iliyochochea wafuasi wake kuingia mitaani.
Wafuasi wa Al Sadr Iraq wavamia makaazi ya serikali Baghdad
Mkwamo wa kisiasa waongezeka Iraq baada ya al Sadr kuchukua maamuzi magumu ya kujiondoa kwenye siasa
Mgogoro wa kisiasa wazidi kutanuka Iraq
Mgogoro wa kisiasa wazidi kutanuka Iraq
Waandamanaji walivamia bunge Iraq
Mamia ya wafuasi wa kiongozi wa kidini wa Iraq Moqtada al-Sadr walilivamia bunge Jumatano ambapo walionekana wakiimba na
Putin: Urusi, Iran na Uturuki zina mchango muhimu Syria
Marais Putin, Raisi, Erdogan walikutana Tehran kujadili hali nchini Syria chini ya kile kinachoitwa mfumo wa Astana.
Iran, Uturuki, Iran zatiliana saini mikataba ya kiuchumi
Rais Putin amewasili mjini Tehran tayari kuungana na mwenyeji wake, Rais Raisi, na mwenzao wa Uturuki, Erdogan.
Putin, Erdogan, Raisi wakutana Tehran
Urusi na Uturuki zinaunga mkono pande mbili tafauti kwenye vita vya Syria, lakini zina ukaribu wa kijiografia.
Azimio la UN la muda wa kutoa misaada Syria lazua hisia
UN iliidhinisha azimio linalorefusha kwa miezi sita utaratibu wa usafirishaji wa misaada hadi nchini Syria.
Syria: Umoja wa Mataifa kuongeza muda wa misaada kwa miezi 6
Hatua hiyo imefikiwa baada ya mabishano na Urusi, mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Matangazo ya Mchana: 02.07.2022
Watu 26 wafariki kutokana na maporomoko ya ardhi kaskazini mashariki mwa India. Urusi yaendeleza mashambulizi yake nchini Ukraine. Raia wa Afrika Kusini watatizika na mgao wa umeme.
Video iliovuja yafichua wauwaji, watumishi wa rais Assad
Wasomi walieendesha utafiti baada ya kupokea video hiyo, mitandao ya kijamii ilitumika katika kuwabaini wauwaji hao.
Matangazo ya Asubuhi 04.06.2022
Utasikia juu ya kamatakamata inayoendelea jimboni la Amhara Ethiopia //Jamii moja ya watu weusi wenye mizizi yao Afrika mashariki, lakini ambao wameishi Iraq kwa karne kadhaa wanaishi maisha ya umaskini, kutengwa na kubaguliwa //Kwa miongo kadhaa watunga sera wamepuuza onyo kwamba majukumu sugu ya kijinsia huwafanya watu kuwa katika hatari zaidi kutokana na hali mbaya ya hewa.
Mabadiliko ya hali ya hewa yasababisha dhoruba Iraq
Hii ni mara ya nane kwa dhoruba kutokea nchi hiyo tangu katikati ya mwezi Aprili
Matangazo ya Jioni:01.05.2022
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis avikemea vita vya Urusi nchini Ukraine. Iraq yakumbwa na dhoruba za vumbi zinazotokea mara kwa mara. Na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aongeza kima cha chini cha mshahara huku mfumuko wa bei ukiongezeka
Matangazo ya Jioni 30.04.2022
Polisi nchini Ukraine imesema miili ya watu watatu iliyofungwa kamba mikononi imekutwa kwenye shimo karibu na mji wa Bucha // Rais wa Korea Kaskazini aonya kuwa nchi yake yaweza kutumia silaha za nyuklia ikiwa itatishwa // Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki amezikwa katika kijiji chake cha Othaya, kwenye kaunti ya Nyeri
Papa Francis ahimiza amani katika hotuba yake ya Pasaka
Papa Francis ameilaumu tabia ya kutunishiana misuli huku watu wakiwa wanateseka nchini Ukraine.
15.04.2022. Taarifa ya Habari ya Asubuhi
15.04.2022. Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ramadhani yaanza bei za vyakula na nishati zaendelea kupanda
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umesababisha kupanda kwa bei ya nishati na bei za vyakula kwenye maeneo mengi.
Msisahau wahamiaji wengine mnapoisaidia Ukraine; mashirika
Shirika la misaada limezitahadharisha nchi za magharibi kutowasau wahamiaji wa nchi nyingine wanapoisaidia Ukraine.
Amnesty: Mwaka 2021 ulijaa usaliti na unafiki wa viongozi
Ripoti ya Amnesty imekosoa vikali kukosekana kwa mgao sawa wa chanjo dhidi ya corona ulimwenguni.
Iran yakiri kufanya mashambulizi Iraq
Iran yakiri kuishambulia Iraq
14.03.2022 Taarifa ya habari ya Asubuhi
Marekani imelilaani shambulizi la Jumapili la Iran huko katika eneo la kaskazini la Iraq katika mji wa Erbir na kuiunga mkono serikali ya Iraq kwa kile kinachoonekana kama kitisho cha Iran kikanda.
02.03.2022: Taarifa ya habari za asubuhi
UN wasema makundi ya kigaidi yana uhuru Afghanistan
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema makundi ya itikadi kali yanavinjari kwa uhuru Afghanistan chini ya Taliban.
Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 06.02.2022
Umoja wa Mataifa wasema watoto wadogo bado wanazuiliwa katika gereza moja Kaskazini Mashariki mwa Syria, Umoja wa Afrika walaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni na jaji mkuu nchini Tunisia Youssef Bouzakher amshtumu rais wa nchi hiyo Kais Saied kwa kuhujumu uhuru wa idara ya mahakama
Vikosi vya Marekani vyafanya mashambulizi Syria
Vikosi vya Marekani vyafanya mashambulizi Syria, raia pia waripotiwa kuuawa
Milio ya bunduki yasikika kwenye kambi za jeshi Burkina Faso
Polisi mjini Ouagadougou watumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya maandamano ya karibu watu 300.
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
-Umoja wa Mataifa wasifu hukumu iliyotolewa na mahakama ya Ujerumani dhidi ya jasusi wa zamani wa serikali ya Syria -Afisa wa polisi mwenye cheo cha jenerali auawa na waandamanaji nchini Sudan -Shirika la Afya Ulimwenguni WHO lasema wimbi la nne la covid-19 barani Afrika limefika kileleni na kasi ya maambukizi inaanza kushuka.
Afisa wa kijasusi Syria ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mahakama ya Koblenz, Ujerumani imemuhukumu afisa wa zamani wa Syria adhabu ya kifungo cha maisha gerezani.
Iran yaonyesha makombora yake ya masafa marefu mjini Tehran
Jeshi la Iran limesema makombora hayo, yenye nguvu yana uwezo wa kufika umbali wa hadi kilomita 1000
Raisi aapa kulipiza kisasi kwa mauaji ya Qassem Soleimani
Raisi aapa kulipiza kisasi kwa mauaji ya Qassem Soleimani
Marufuku ya usalama nchini Burkina Faso kuisha leo
Serikali ilitangaza siku mbili za maombolezo ya wahanga hao.
Vita vya Syria vilisababisha vifo 3,700 mwaka wa 2021
Idadi hiyo ni ya chini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka uliopita.
Jukumu jipya la Marekani kupambana na IS Iraq litaleta tija?
Sasa wanajeshi wa Marekani wapo nchini Iraq kama sehemu ya operesheni ya kimataifa ya kupambana na IS.
Taarifa ya Habari Asubuhi 16.12.2021
Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Ulaya kimeonya kuwa chanjo pekee haiwezi kuzuia kusambaa kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron//Shirika la misaada la Save the Children limesema idadi ya watoto wasiopata chakula cha kutosha Afghanistan imeongezeka hadi milioni 3.3//Viongozi wa Ulaya wamerudia ahadi yao ya kushirikiana na nchi washirika za Ulaya Mashariki
Israel yafanya shambulio katika bandari ya Syria
Bandari ya Latakia hutumiwa kwa kuingiza shehena ya silaha kutoka Iran
Selfie na Merkel yampa Umaarufu
Wakati maelfu ya Wasyria walipoikimbia nchi yao mwaka 2015 na kuhamia Ujerumani kwa miguu kupitia njia ya Balkan, Angela Merkel alifanya uamuzi ambao utakumbukwa. Hakuwafukuza watu na kufunga mipaka, kama yalivyofanya mataifa mengine ya Umoja wa Ulaya. Alikuwa na huruma, akawakaribisha, kwa msemo maarufu sasa "We can do it!
Mzozo kati ya Poland na Belarus kuendelea kwa miezi kadhaa
Mzozo kati ya Poland na Belarus kuendelea kwa miezi kadhaa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 77
Ukurasa unaofuatia