You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waokoaji waendelea kufukua waliokwama Uturuki na Syria
Operesheni za uokozi zaendelea Uturuki na Syria baada ya kupigwa na tetemeko kubwa la ardhi
Juhudi zahamia kwenye mzozo wa kibinadamu Uturuki-Syria
Mamia ya maefu wanakabiliwa na baridi na njaa kutokana na madhara ya tetemeko Uturuki na Syria lililouwa zaidi ya 35,000
UN:Juhudi za uokozi Uturuki na Syria zakaribia mwisho
UN yasema juhudi za uokozi kufuatia matetemeko Uturuki na Syria zakaribia mwisho
UN: Awamu ya uokozi yakaribia kumalizika Uturuki, Syria
Griffiths amesema misaada itasambazwa katika maeneo yote yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi.
WHO yahofia magonjwa ya mripuko Uturuki na Syria
Wakati taarifa kutoka maeneo yaliyoathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria zikijikita juu ya vifo, majeruhi na uharibifu wa miji, shirika la afya duniani, WHO linaonya juu ya uwezekano wa kutokea kwa miripuko ya magonjwa ya kuambukiza. Linasema mazingira wanamoishi manusura wa tetemeko hilo ni changamoto kubwa.
Idadi ya vifo Uturuki na Syria yapindukia 33,000
Juhudi za kuwaokoa watu walionusurika katika matetemeko ya ardhi kwenye nchi za Uturuki na Syria zinaendelea.
Idadi ya vifo Uturuki na Syria yapindukia 33,000
Huenda idadi hiyo ya vifo ikaongezeka maradufu.
Uturuki/Syria: Idadi ya watu waliokufa yapindukia elfu 30.
Uturuki/Syria: Idadi ya watu waliokufa yapindukia elfu 30.
Uturuki-Syria: Idadi ya vifo yaongezeka na kufikia 28,000
Hata hivyo bado watu kadhaa wameendelea kuokolewa wakiwa hai.
Viongozi wakuu wa UN wazitembelea Uturuki na Syria.
Vifo kufuatia tetemeko hilo la ardhi Uturuki na Syria vyapindukia 25,000
Uturuki/Syria: Idadi ya watu waliokufa yapindukia elfu 25
Mitetemeko: Idadi ya watu waliokufa yapindukia elfu 25 nchini Uturuki na Syria.
Shughuli za uokoaji zaendelea Uturuki na Syria
Hali ya baridi kali yatatiza shughuli za uokoaji
Tetemeko la ardhi Uturuki na Syria laangamiza watu 24,000
Wakoaji nchini Uturuki na Syria wameendelea na kazi ya kupekua vifusi kuwatafuta manusurawa wa tetemeko la ardhi
Vikwazo dhidi ya Syria vyahujumu utoaji misaada?
Wakati mchakato wa ufikishwaji misaada hasa nchini Syria ukiendelea, suala la nchi hiyo kuwekewa vikwazo kutokana vita vilivyodumu zaidi ya muongo mmoja, linajitokeza. Je vikwazo hivyo vimezorotesha ufikishwaji misaada nchini humo? Lilian Mtono amezungumza na mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kimataifa Abdul Fatah Musa aliyeko Tehran, Iran kuhusu hilo.
Rais Erdogan akiri shughuli za uokozi zinakwenda taratibu
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amelitembelea jimbo la Adiyaman kukagua shughuli za uokozi na utoaji wa misaada
Tetemeko la ardhi: Juhudi za uokoaji zaingia siku ya nne
Siku nne baada ya tetemeko la ardhi idadi ya vifo yatajwa kukaribia 22,000 huku juhudi za uokoaji zikiendelea
Watu sita wakutwa hai baada ya kunasa katika kifusi Uturuki
Watu sita wameokolewa wakiwa hai chini ya vifusi nchini Uturuki, huku idadi ya vifo ikipindukia 21,000.
Idadi ya vifo Uturuki na Syria yapindukia 20,000
Waokoaji wamefanikiwa kuwapata manusura wengine kwenye vifusi baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria.
Vifaa duni vyakwamisha uokozi Syria
Juhudi za uokozi zinadhoofishwa na vifaa duni vya kufukulia vifusi kufuatia tetemeko kubwa kuipiga Syria na Uturuki. Wakazi wanalia muda unakwenda na wanashindwa kuwaokoa wenzao. Tizama video hii. #Kurunzi
Tetemeko Uturuki: Majengo dhaifu yalivyochangia vifo vingi
Tetemeko hilo limesababisha hasara kubwa, kuuwa zaidi ya watu elfu 17 mpaka sasa, na kuporomosha maghorofa mengi.
Idadi ya vifo yapindukia 17,000 baada ya tetemeko la ardhi
Idadi ya waliokufa baada ya tetemeko la ardhi kati ya Uturuki na Syria yaripotiwa kufikia zaidi ya watu 16,000.
Idadi ya vifo Uturuki na Syria yapindukia watu 16,000
Hali ya baridi kali, uhaba wa chakula na malazi vimezidisha hali ya huzuni kwa manusura wa janga hilo.
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Jitihada za uokozi zinaendelea Uturuki,Syria
Jitihada za uokozi na kutambua miili zinaendelea Uturuki na Syria baada ya tetemeko lenye ukubwa wa 7.8 kupiga siku ya jumatatu.Miongoni mwa waliokolewa ni pamoja na watoto wadogo waliokuwa wamekwama kwenye kifusi cha majengo.Idadi ya waliofariki imepindukia 9000.
Vifo vya tetemeko Uturuki na Syria vyafikia 9,500
Uturuki na Syria wamekumbwa na tetemeko kubwa kabisa lililosababisha maafa makubwa kwa watu na makaazi yao.
Watu waliokufa kwa tetemeko Uturuki na Syria yafikia 9,000
Vikosi vya uokozi nchini Uturuki na Syria wanaendelea baada ya tetemeko kubwa la ardhi
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Shughuli za uokozi zaendelea usiku kucha Uturuki na Syria
Waokoaji wamefanya kazi usiku kucha nchini Uturuki na Syria kutafuta manusra wa tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu.
Nchi duniani kote zahamasisha misaada kwa Syria na Uturuki
Misaada hiyo ni kuzisaidia Syria na Uturuki kukabiliana na maafa yaliyosababishwa na tetemeko kubwa la ardhi.
Idadi ya watu waliokufa Uturuki na Syria yapindukia 5,000
Melfu ya watu wengine wamejeruhiwa na miundombinu kadhaa kuharibiwa.
Matangazo Ya Mchana: 07.02.2023
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea hofu yake juu ya vita vya Ukraine. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, anafanya ziara nchini Mali. Aliyekuwa kiongozi wa kijeshi wa Pakistan Pervez Musharraf anatarajiwa kuzikwa hii leo.
DW yazungumza na manusura wa tetemeko la ardhi nchini Uturuki
Idadi ya vifo kufuatia tetemeko la ardhi Uturuki na Syria yapindukia 5000
Idadi ya vifo vya tetemeko la Uturuki, Syria yafikia 5,000
Shughuli za uokozi zinaendelea Uturuki na Syria. Miili zaidi imepatikana na kuongeza idadi ya vifo hadi watu 5,000
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Waliouawa katika tetemeko Uturuki na Syria wapindukia 4,000
Mataifa mbalimbali ya dunia yanafanya hima kupeleka misaada katika maeneo ya maafa baada ya tetemeko Uturuki na Syria.
Tetemeko la ardhi lauwa maelfu ya watu Uturuki na Syria
Tetemeko la ardhi lauwa maelfu ya watu Uturuki na Syria
Jumuiya ya kimataifa yatoa mshikamano kwa Uturuki na Syria
Jumuiya ya kimataifa yatoa mshikamano kwa Uturuki na Syria
Tetemeko la ardhi lasababisha vifo vingi Uturuki na Syria
Tetemeko la ardhi lasababisha vifo vingi Uturuki na Syria
Tetemeko la ardhi laua zaidi ya watu 500 Uturuki
Tetemeko la ardhi laua zaidi ya watu 500 Uturuki
Syria yapinga ripoti ya OPCW kuhusu shambulio la 2018
Syria imepinga taarifa ya shirika la OPCW, kuwa jeshi la anga lilidondosha mitungi miwili ya gesi la Chlorine
Kambi ya Uturuki yashambuliwa kwa maroketi Iraq
Washambuliaji wasiotambuliwa leo wamefyatua roketi nane kwenye kambi ya kijeshi ya Uturuki iliyoko kaskazini mwa Iraq.
Israel tayari kupatanisha mzozo wa Urusi na Ukraine
Netanyahu anafikiria kuhusu msaada wa kijeshi kwa Ukraine kufuatia wito wa Marekani kwa Israel kuhusika zaidi.
Syria ilitumia gesi za kemikali kushambulia wapinzani - OPCW
Watu 43 waliauwa katika shambullizi hilo.
Majeshi ya Marekani yamuua kiongozi mkuu wa IS, Somalia
Maafisa wa wizara ya ulinzi ya Marekani wamesema al- Sudani aliuliwa katika operesheni maalum ya kijeshi.
Wanawake, watoto waregeshwa kutoka kambi ya itikadi kali
Ufaransa yawarejesha nyumbani wanawake na watoto kutoka kambi ya itikadi kali
Je vizingiti vilivyomzuia Assad kukubalika vinapanguka?
Je vizingiti vilivyomzuia Assad kukubalika vinapanguka licha ya lawama juu ya uhalifu wa kivita?
UN yapitisha azimio kupeleka misaada Syria
Kupitishwa kwa azimio hilo kutaruhusu misaada zaidi kaskazini-magharinbi mwa Syria linaloshikiliwa na waasi.
Wanamgambo 200 waliuwawa desemba katika mapigano Nigeria
Mapigano kati ya Boko Haram na IS ambalo limejikita katika jimbo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria la Borno.
Libya yawahukumu kifo wanachama 17 wa IS
Libya yawahukumu kifo wanachama 17 wa IS
Jeshi la Syria lapokea sifa kwa kumuuwa kiongozi wa IS
Haya ni kulingana na wale walioshiriki katika mapigano pamoja na jeshi la Marekani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 77
Ukurasa unaofuatia