You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waasi wachukua udhibiti wa mji wa Tidermene, Mali
Umoja wa Mataifa na mashirika ya haki za binadamu yanasema 'Wanajihadi' wamefanya mashambulizi ya adhabu dhidi ya jamii
Saudi Arabia yaukaribisha ujumbe wa Iran na Syria
Rais wa Iran Ebrahim Raisi anatarajiwa nchini Saudi Arabia hivi karibuni
Watu 9 wauwawa kwa bomu la kutegwa ardhini Syria
Bomu la ardhini lauwa tisa Syria
Taliban wauwa wapiganaji wawilli wa Dola la Kiislamu
Wapiganaji wawili wa Dola la Kiislamu wameuawa katika operesheni kusini magharibi mwa Afghanistan.
Mashambulizi ya Uturuki Kurdistan yaikasirisha Iraq
Rais wa Iraq Abdel Latif Rashid leo amelaani shambulizi la Uturuki dhidi ya uwanja wa ndege wa Sulaimaniyah.
Washukiwa watano wa IS wakamatwa Sweden
Washukiwa hao wakematwa kuhusiana na maandamano baada ya tukio la kuchomwa Quran mwezi wa Januari
Watu wawili wauawa katika shambulizi la angani Syria
Ni shambulizi la nne la aina hiyo dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na serikali chini ya kipindi cha wiki moja Syria
Iran na Syria zalaani mashambulizi ya Marekani nchini Syria
Serikali za Tehran na Damascus zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani katika eneo la Deir Al-Zor nchini Syria
Biden atahadharisha mashambulizi zaidi Syria
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuna uwezekano wa kutokea mashambulizi zaidi yanayolenga wanajeshi wa Marekani Syria
Jeshi la Marekani lashambulia nchini Syria na kuua watu 10
Wizara ya ulinzi imesema shambulizi hilo lilifanywa dhidi ya kituo cha shughuli za ukarabati
Saudi Arabia kuanzisha mahusiano upya na Syria
Syria ilikuwa imetengwa na mataifa mengi ya Kiarabu na ya magharibi
Wafadhili waahidi dola bilioni 7 kwa Uturuki, Syria
Umoja wa UIaya hauna mahusiano ya kidiplomasia na Rais wa Syria Bashar al-Assad
Kumbukumbu ya miaka 20 tangu mwanzo wa vita vya Iraq
Iraq yafanya kumbukumbu ya miaka 20 tangu mwanzo wa vita vilivyouangusha utawala wa dikteta Saddam Hussein.
Rais wa UAE kwa Assad: Ni wakati wa Syria kurejea Uarabuni
Rais huyo wa Falme za Kiarabu ametoa wito wa juhudi za kuwezesha kurejeshwa makwao wakimbizi wa Syria
Rais wa Syria Bashar al Assad afanya ziara rasmi Abu Dhabi
Rais wa Syria Bashar al Assad afanya ziara rasmi Abu Dhabi.
Maoni: Miaka 20 tangu Marekani ilipoivamia Iraq
Machi 20 mwaka 2003 aliyekuwa Rais wa Marekani Gorge W. Bush aliivamia Iraq katika kile kilichotajwa kama mpango wa kuwaweka huru waIraq na kuondoa silaha za maangamizi chini ya utawala wa rais Saddam Hussen ambao hatimaye uliondolewa baada ya siku 26. Je miaka 20 baadaye, Iraq kuna jipya gani? Huu ndio mjadala kwenye Maoni mbele ya Meza ya Duara. Karibu.
Assad:Tunakaribisha mapendekezo ya kijeshi ya Urusi
Rais wa Syria yupo ziarani nchini Urusi kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili.
Rais Vladmir Putin amempokea rais wa Syria Bashar al-Assad
Rais wa Urusi Vladmir Putin amempokea hii leo rais wa Syria Bashar al-Assad kwa mazungumzo
Shambulio la anga la Israel laua wapiganaji wawili wa Iran
Jeshi la Israel, hata hivyo, halikuzungumzia juu ya shambulio hilo lililoripotiwa kwenye "vyombo vya habari vya kigeni."
Baerbock amaliza ziara yake Irak kwa kutembelea Bundeswehr
Baerbock alitembelea maeneo yalioshuhudia ukatili wa kundi la kigaidi la Dola la Kiislamu, katika mkoa wa Sinjar.
Baerbock akamilisha ziara ya siku nne Iraq
Baerbock alitembelea maeneo yalioshuhudia ukatili wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS.
Ujerumani kuwasaidia Wakurdi walioachwa bila makaazi
Amezungumza hayo alipokutana na Masrour Barzani waziri mkuu wa maeneo yanayojitawala ya Kikurdi kaskazini mwa Iraq
Ujerumani kushirikiana zaidi na Iraq dhidi ya IS
Baerbock yuko Iraq kwa ziara ya siku nne kuonesha mshikamano na nchi hiyo
Baerbock afanya ziara ya siku nne Iraq
Baerbock ameahidi kwamba nchi hiyo itaendelea kupokea msaada katika mapambano dhidi ya kundi la IS.
Pentagon yaahidi kuendelea kuisaidia Iraq kupambana na IS
Uvamizi wa Marekani nchini Iraq ulichangia kuibuka kwa kundi hilo la IS baada ya kuwaondoa wanajeshi wake mwaka 2011.
Ndege za msaada Syria zabadilishwa njia baada ya shambulizi
Israel haijatoa tamko lolote kuhusiana na shambulizi hilo kwenye uwanja wa Aleppo.
Mwezi mmoja tangu tetemeko la ardhi kutikisa Uturuki, Syria
Februari 6, tetemeko la ardhi lilitikisa Uturuki na Syria na kuua zaidi ya watu 50,000 pamoja na uharibifu majengo.
Viongozi wa Misri na Iraq wakutana kuimarisha mahusiano yao
Al Sisi azungumza na Waziri Mkuu wa Iraqi kwa lengo la kuimarisha mahusiano
Misri na Iraq zazidi kuimarisha mahusiano yao
Ushirikiano wa kiuchumi na kiusalama wajadiliwa zaidi na viongozi hao
Iraq yawasaka walioiba $2.5 billioni
Maafisa wanne wa zamani wanatuhumiwa kwa kuwezesha wizi wa fedha za umma zenye thamani ya dola bilioni 2.5.
Benki ya Dunia: Hasara ya tetemeko la ardhi $ 5.1 bilioni
Benki ya Dunia imesema kuwa tetemeko la ardhi la mwezi Februari limesababisha uharibifu wa bilioni 5.1 nchini Syria.
Mwanadiplomasia wa Misri afanya ziara ya kwanza Syria
Mwanadiplomasia wa juu wa Misri afanya ziara ya kwanza Syria katika muongo
Misri imeahidi "mshikamano na huruma" kwa Syria
Waziri wa mambo ya nje wa Misri, amefanya ziara mjini Damascus na kuzungumza na rais Bashar Assad.
IS yakiri kuwaua wanajeshi zaidi ya 70 Burkina Faso
Dola la kiislamu lakiri kuwaua wanajeshi zaidi ya 70 Burkina Faso
Mwanamke wa Uingereza aliejiunga na IS apoteza kesi ya uraia
Uingereza ilimpokonya uraia Shamima Begum kwa misingi ya usalama wa taifa mwaka 2019 baada ya kupatikana Syria
Ujerumani yaahidi misaada zaidi kwa Uturuki na Syria
Ujerumani yaahidi kuongeza msaada nchini Uturuki na Syria kwa euro milioni 50 kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi.
Tetemeko jipya la ardhi lazikumba Uturuki na Syria
Tetemeko hilo limesababisha maafa kadhaa huko hofu ikitanda miongoni mwa raia.
Tetemeko jipya la ardhi latikisa Uturuki na Syria
Watu watatu wamefariki dunia na mamia kujeruhiwa kufuatia tetemeko jipya la ardhi ambalo limetikisa Uturuki na Syria.
NATO yapeleka makaazi ya muda Uturuki
Takribani nyumba 225,000 zimeathiriwa na matetemeko hayo ya ardhi
Waliofariki Uturuki pekee kwenye tetemeko wapindukia 40,000
Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani la WHO wiki iliyopita zinasema waliokufa nchini Syria ni watu 5,900
Taarifa ya habari ya asubuhi Jumamosi
Idadi ya watu waliofariki nchini Uturuki pekee kutokana na tetemeko la ardhi yakaribia kufika elfu 40,000. Washirika wa nchi za magharibi waapa msaada zaidi kwa Ukraine. Na ukosefu wa usalama na chakula ni ajenda zinazotawala mkutano wa kilele wa Umoja wa afrika.
Wengine waokolewa Uturuki baada ya saa 260
Wanaume hao waliokolewa baada ya kusikika mlio wa sauti ukitokea chini ya kifusi.
Maoni: Msaada wa kimataifa kwa Syria na Uturuki.
Dunia bado inalitupia jicho janga la tetemeko kubwa la ardhi lililokumba mataifa ya Uturuki na Syria. Wakati mataifa yakiendelea kuwasaidia wahanga wa janga hilo, je ni kwa kiasi gani yamefanikiwa kuwafikia? Wapi wameshindwa? Na kuna changamoto gani na hasa katika ufikishwaji wa misaada hiyo? Ungana na Mohammed Khelef na jopo la wataalamu wanaolijadili hili katika Maoni mbele ya meza ya Duara.
Msalaba Mwekundu waonya mzozo wa kiafya nchini Syria.
Shirika la Msalaba Mwekundu laonya juu ya mzozo wa kiafya baada ya tetemeko nchini Syria.
Uturuki: Mtu apatikana hai baada ya saa 248 chini ya kifusi
Binti wa miaka 17 amepatika Alhamisi akiwa hai nchini Uturuki, baada ya kuwa chini ya kifusi kwa siku 10.
Manusura bado wanaendelea kupatikana Uturuki na Syria
Manusura bado wanaendelea kupatikana kufuatia tetemeko Uturuki na Syria
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuwasaidia waathirika, Syria
Guterres amesema wanajiandaa pia kutoa wito kama huo kwa ajili ya waathirika wa Uturuki
Erdogan aapa kuijenga upya Uturuki baada ya tetemeko
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameapa kuendelea na juhudi za uokozi
UN: Shughuli za uokozi zakaribia kumalizika Uturuki, Syria
Umoja wa Mataifa umesema awamu ya uokozi baada ya matetemeko makubwa la ardhi Uturuki na Syria inakaribia kumalizika.
UN:Watoto milioni 7 wameathirika kote Uturuki na Syria
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watoto milioni 7 wameathirika kwa tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 77
Ukurasa unaofuatia