You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
IS yakiri kuhusika na shambulizi la bomu nchini Pakistan
Kundi la IS nchini Afghanistan ladai kuhusika na shambulizi la bomu nchini Pakistan ambalo liliwauwa watu 54.
Ulemavu nchini Syria: Mgogoro 'uliofichwa'
Kwa mujibu wa taarifa za mashirika ya misaada wenye ulemavu wanatatizika kutokana na uhaba wa tiba na matunzo.
Iraq yajitolea kusimamia juhudi za kumaliza vita Yemen
Iraq imejitolea kuwa msuluhishi wa pande zinazozozana nchini Yemen, katika juhudi za kumaliza vita vya muda mrefu.
Muandamanaji anayechoma Quran Sweden na historia yake tata
Salwan Momika, 37, alikuwa amepanga maandamano mengine kwa wiki hii ambapo alisema angechoma Quran.
Wairaqi waandamana baada ya tukio la kuchoma kwa Qur'an
Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatawanya takriban waandamanaji katika makaazi ya mabalozi wa kigeni Baghdad.
Waislamu waghadabishwa na kisa cha kukanyagwa Quran
Mataifa mengi ya Kiislamu yameelezea ghadhabu yao kufuatia kisa cha kukanyagwa kwa Quran.
Iraq yamfukuza Balozi wa Sweden baada ya Quran "kunajisiwa"
Iraq imemfukuza balozi wa Sweden baada ya waandamanaji kukikanyaga kitabu kitukufu kwa waislamu, Quran, mjini Stockholm.
Iraq yamfukuza balozi wa Sweden
Serikali ya Sweden imekuwa ikiruhusu kuchomwa kwa Qur'an Tukufu na kudhalilisha maeneo matakatifu ya Kiislamu.
UN lina wasiwasi juu ya masharti ya Syria kuruhusu misaada
Umoja wa Mataifa umeonyesha wasiwasi juu ya barua ya serikali ya Syria inayoruhusu kutumika kwa njia ya Bab al-Hawa
Syria: Zaidi ya muongo mmoja wa mateso na mauaji.
Miaka 13 imepita tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria, kufuatia wimbi la maandamano ya umma.
Kiongozi wa ISIS Mashariki mwa Syria, auwawa na Marekani
Marekani imesema, imemuua kiongozi wa kundi linalojitta Dola la Kiislamu IS la Magharibi mwa Syria Usamah al-Muhajir.
Watu wawili wanyongwa kwa kushambulia eneo takatifu Iran
Iran, limewanyonga hadharani wanaume wawili, kwa kuhusika katika shambulio dhidi ya eneo takatifu.
Syria: Watoto wazidi kuajiriwa na makundi ya wapiganaji
Makundi yenye silaha nchini Syria yameajiri watoto katika kipindi cha miaka 12 iliyopita ya migogoro na vita.
Waafghani 1,000 wameuawa tangu Taliban ilipoingia mamlakani
Ripoti hiyo ya UN imeelezea wasiwasi kuhusu hatari ya mashambulizi ya kujitoa mhanga tangu Taliban ilipochukuwa uongozi.
Mashambulizi ya anga yamewaua 11 Syria
Watu kumi na mmoja wameuwawa leo Jumapili, baada ya Urusi kufanya mashambulizi ya anga.
WFP kupunguza msaada wa chakula nchini Syria
WFP imesema ikiwa itaendelea kutoa msaada kwa watu milioni 5.5.
Syria yakabiliwa na kesi katika Mahakama ya ICJ
Syria yakabiliwa na kesi katika Mahakama ya ICJ
Blinken akutana na Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Blinken anafanya ziara ya siku tatu kwenye ufalme huo wenye utajiri mkubwa wa mafuta.
Gavana wa mkoa auawa katika shambulizi la kujitoa mhanga
Kaimu gavana wa mkoa wa Badakhshan nchini Afghanistan ameuawa leo katika shambulizi la bomu la kujitoa mhanga
Tujifunze Mashariki ya Kati kukabili halijoto ulimwenguni
Ujenzi wa makaazi,utolewaji wa elimu kwa umma na marekebisho ya miundombinu ni miongoni mwa yakujifunza
Watu saba wakamatwa Ujerumani wakihusishwa na "IS"
Watu hao saba wamekamatwa kama sehemu ya uchunguzi dhidi ya mtandao unaodaiwa kuifadhili IS.
Nchi za Kiarabu zasisitiza kuutatua wa mzozo wa Syria
Viongozi wa nchi za Kiarabu wamethibitisha azma yao ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa Syria
Al-Assad anyooshewa mkono wa urafiki na Jumuiya ya Kiarabu
Ni ipi athari ya mwaliko wa Al-Assad katika mkutano wa kilele wa jumuiya ya nchi za Kiarabu?
Assad akaribishwa katika Jumuiya ya nchi za Kiarabu
Kwa mara ya kwanza tangu 2011, rais wa Syria Bashar al-Assad anashiriki mkutano wa kilele wa jumuiya ya nchi za Kiarabu.
Assad wa Syria kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiarabu
Viongozi wa mataifa ya Kiarabu watamkaribisha tena rais wa Syria katika mkutano wao wa kilele nchini Saudi Arabia.
Assad ashiriki mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Ziara hii ni sehemu ya mabadiliko makubwa kwenye siasa za kikanda katika eneo la Ghuba na Mashariki ya Kati.
Rais wa Syria kuhudhuria mkutano wa kilele Saudi Arabia
Ni ziara yake ya kwanza katika taifa hilo lenye utajiri wa mafuta, tangu machafuko yalipoanza Syria mwaka 2011.
Syria yaomba mataifa ya Kiarabu kuwekeza nchini humo.
Arab League yenye mataifa 22 ilikubaliana mapema mwezi Aprili kuirejesha Syria iliyosimamishwa uanachama kwa miezi 12.
Rais wa Syria aalikwa katika mikutano muhimu Dubai
Rais wa Syria aalikwa katika mikutano mikuu miwili
Baerbock apinga kurejesha uhusiano na Assad bila ya masharti
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ametahadharisha juu ya kusawazisha uhusiano na rais wa Syria bila ya kumpa masharti.
UAE yamualika Assad katika mkutano wa mazingira wa COP 28
UAE yamualika Assad katika mkutano wa mazingira wa COP 28
Moscow yaongoza kikao cha kwanza na Uturuki, Syria na Iran
Urusi imekuwa ikijaribu kumsaidia Bashar al-Assad wa Syria kujenga upya mahusiano na nchi nyingine ambayo yalivunjika.
Ujerumani haioni sababu ya kurejesha uhusiano na Syria
Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imesema hakuna sababu za msingi za kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Syria.
Polisi ahukumiwa maisha kwa kumuua mwanaharakati Iraq
Polisi huko Iraq amehukumiwa kifo kwa mauaji ya mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama na mkosoaji wa wanamgambo.
Mataifa ya Kiarabu yaikubali Syria baada ya miaka 11
Mataifa ya Kiarabu yaikubali Syria baada ya miaka 11
Majimbo ya Ujerumani yadai fedha zaidi za wakimbizi
Wakuu wa majimbo ya Ujerumani wanaishinikiza serikali ya shirikisho iongeze fedha za kuwahifadhi wakimbizi.
Syria yarejea katika Umoja wa kiarabu
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa nchi za kiarabu wameamua kuirejesha Syria kwenye jumuiya hiyo
Hatma ya Syria katika Jumuiya ya nchi za kiarabu kujadiliwa
Nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Qatar yenye utajiri wa gesi haitaki Syria irudishiwe uanachama
Rais wa Iran awasili Syria katika ziara yake ya kwanza
Ebrahim Raisi amewasili Damascus katika ziara ya kwanza kufanywa na kiongozi wa Iran tangu 2011
kamanda wa IS adaiwa kujiripua Uturuki ilipojaribu kumkamata
Wanaharakati wasema kamanda wa IS alijiripua, Uturuki yasema ilimuua
Erdogan: Vikosi vya Uturuki vimemuua Kiongozi wa IS
Uturuki inadhibiti maeneo makubwa ya kaskazini mwa Syria kufuatia mashambulizi dhidi ya Wapiganaji wa kikurdi na IS
Kiongozi wa Dola la Kiislamu Syria auliwa
Erdogan amesema mtu anayeshukiwa kuwa kiongozi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu nchini Syria ameuwawa.
Mkutano wa nchi za kiarabu kuhusu Syria kufanyika Jordan
Watakaohudhuria mkutano huo wa mjini Amman wanatoka nchi za Misri, Iraq, Jordan, Saudi Arabia na Syria.
Mashambulizi ya Israel yajeruhi 6 Syria
Raia watatu wa Syria wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel karibu na mji wa Homs.
Meli moja yashambuliwa nchini Yemen
Marekani imeitaka Iran iiachilie meli hiyo ikisema hatua hiyo inakwenda kinyume na sheria ya kimataifa
Mawaziri wa Ulinzi wa Urusi, Iran na Syria wakutana Moscow
Mawaziri wa ulinzi wa Syria, Urusi na Uturuki walikutana mwanzo ili kutuliza mvutano kati ya Damascus na Ankara.
Waliokufa jkwa tetemeko Uturuki wafikia 50,800
Waliokufa jkwa tetemeko Uturuki wafikia 50,800
Waziri wa mambo ya nje wa Saudia ziarani Syria
Viongozi wa nchi kadhaa za kiarabu wanasogea kwa rais Bashar al-Assad wa Syria ambaye hapo awali alitengwa kisiasa
Mataifa ya Kiarabu yaujadili mgogoro wa Syria
Mawaziri wa mambo ya kigeni kutoka nchi sita za ushirikiano wa nchi za Ghuba wamekutana Jeddah kufuatia ombi la Saudia
Qatar na Bahrain zarejesha uhusiano wa kidiplomasia.
Ni muamko mpya unaojitokeza na kuchipua katika kwenye nchi za Mashariki ya Kati katika siku za hivi karibuni
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 77
Ukurasa unaofuatia