You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yavishambulia vituo vya silaha Syria
Marekani imevishambulia vituo vya silaha nchini Syria kama hatua ya kulipiza mashambulizi dhidi ya askari wa Marekani.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 23.10.2023
Mapambano ya Israel katika Ukanda wa Gaza na katika mpaka na Lebanon yaongezeka. Wanajeshi wawili wa Iraq na wapiganaji wawili wa Peshmerga wauliwa kaskazini mwa Iraq. Na mapigano mapya yazuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Wanajeshi 2 wa Iraq na wapiganaji 2 wa Peshmerga wauliuwa
Wanajeshi sita na wapigananji sita wa Pershmerga walijeruhiwa. Wanajeshi wawili wako katika hali mbaya.
Vita vya Israel vyahofiwa kusambaa maeneo mengine
Khofu ya kusambaa kwa vita vya Israel na Wapalestina kote Mashariki ya Kati inaongezeka huku Marekani ikiongeza zana.
Israel yazishambulia Palestina, Syria
Jeshi la Israel limeendeleza mashambulizi yake kwa siku ya 16 mfululizo likidai kulipiza kisasi mashambulizi ya Oktoba 7
Netanyahu: Hamas inatakiwa kuangamizwa kama ISIS
Netanyahu: Hamas wanatakiwa kuchukuliwa hatua sawasawa kama ISIS ilivyochukuliwa.
Uturuki yashambulia miundo mbinu ya nishati Syria
Mashambulizi ya mabomu ya Uturuki yamesababisha uharibifu wa miundombinu ya huduma muhimunchini Syria.
Mahakama ya kimataifa ya haki yasikiliza kesi dhidi ya Syria
Syria inakabiliwa na madai katika mahakama hiyo kwamba inaendeleza mfumo wa mateso ambao umewaua maalfu ya watu.
Mahakama ya ICJ kusikiliza kesi ya mateso inayoikabili Syria
Syria inakabiliwa na madai katika mahakama hiyo kwamba inaendeleza mfumo wa mateso ambao umewaua maalfu ya watu.
Syria yawazika watu waliouawa katika shambulizi
Hadi sasa hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulizi hilo linalotajwa kuwa ni la kigaidi.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 06.10.2023
Shambulio la Urusi laua watu 51 Kharkiv. Watu zaidi ya 110 wauawa katika shambulio Syria. Mahakama nchini Burundi yaamuru Waziri Mkuu wa zamani Bunyoni kutoachiwa kwa dhamana.
Watu 112 wauawa katika shambulio nchini Syria
Jeshi la Syria limeahidi kujibu vikali shambulio hilo.
Uturuki yafanya mashambulizi mengine dhidi ya wakurdi Iraq
Uturuki inalichukulia kundi la PKK kuwa kundi la kigaidi na imekuwa ikipambana nalo kwa miaka sasa.
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq,
Meya na maafisa watano wafukuzwa kwa vifo vya watu 107 Iraq.
Meya na maafisa watano wafukuzwa kwa vifo vya watu 107
02.10.2023 Matangazo ya Asubuhi
Mamlaka nchini Iraq imesema meya na mkuu wake wa zimamoto ni miongoni mwa maafisa watano wa taifa hilo waliofutwa kazi kwa kile kilichoelezwa kuwa "uzembe mkubwa" baada ya ajali ya moto ya wiki iliyopita ulioua watu 107 kwenye harusi.
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
Wanajeshi 10 wa Niger wauawa katika shambulio la wanamgambo
Eneo la Kandadji limekuwa kitovu cha oparesheni za waasi katika ukanda wa Sahel katika muda wa miaka michache iliyopita.
Mauti harusini- Iraq yaomboleza vifo vya zaidi ya watu 100
Iraq inaomboleza vifo vya karibu watu 100 waliopoteza maisha kwa mkasa wa moto uliozuka kwenye ukumbi wa harusi kaskazini mwa nchi hiyo usiku wa kuamkia Jumatano. Bwana na bi harusi ni miongoni mwa waliouawa.
Iraq yaomboleza vifo vya mkasa wa moto
Iraq inaomboleza vifo vya karibu watu 100 waliopoteza maisha kwa mkasa wa moto uliozuka kwenye ukumbi wa harusi.
Karibu watu 100 wafariki katika kisa cha moto nchini Iraq
Jumba hilo la dhifa limejengwa kwa vifaa vinavyoshika moto mara moja na kulifanya kuanguka mara baada ya kushika moto.
Raia wa Australia wanaozuiliwa syria wataka warejeshwe kwao
Zaidi ya wanawake 30 raia wa Australia wanaozuiliwa Syria waitaka serikali yao iwarudishe nyumbani
Iran: Wanachama 28 wa kundi la kigaidi la "IS" wakamatwa
Maafisa wawili wa usalama walijeruhiwa wakati wa operesheni hiyo.
China yatangaza 'ushirikiano wa kimkakati' na Syria
Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais Bashar al-Assad wa Syria mashariki mwa mji wa Hangzhou siku ya Ijumaa.
China na Syria zatangaza ushirikiano mpya wa kimkakati.
Mataifa hayo mawili pia yametia saini makubaliano ya ushirikiano
Rais wa Syria Bashar Assad afanya ziara nchini China
Assad anafanya ziara hiyo, kwa mara ya kwanza tangu kufumuka kwa mgogoro nchini mwake mnamo mwaka 2011.
Iraq yalaani mashambulizi ya Uturuki
Ofisi ya Rais wa Iraq imelaani mashambulizi ya mara kwa mara ya Uturuki.
Mjumbe wa UN Syria awasihi wafadhili wasisitishe misaada
Mjumbe Umoja wa Mataifa kwa Syria Geir Pedersen ametoa wito kwa wafadhili wasipunguze misaada
Jeshi limewazuwia wakimbizi 1,200 wa Syria kuingia Lebanon
Jeshi la Lebanon limesema leo kuwa, limefanikiwa kuwazuia raia 1,200 wa Syria kuingia nchini humo wiki hii.
Uingereza kulipiga marufuku kundi la Wagner
Kundi la Wagner limewahi kuendesha shughuli zake nchini Ukraine, Mashariki ya Kati barani Afrika.
Mapigano nchini Syria yasababisha vifo vya watu 23
Mapigano yanajiri baada ya siku kadhaa za mapigano tofauti katika jimbo jirani la Deir Ezzor.
Maafisa wa Marekani watuliza hali ya mambo Deir al Zor
Viongozi wamekubaliana kuyazingatia malalamiko ya wakazi wa mji wa Deir al Zor kuepusha uasi zaidi.
Idadi ya vifo yafikika watu 4 Kirkuk
Hali inaelezwa kuwa ya utulivu mjini Kirkuk.
Iraq yaimarisha ulinzi katika mkoa wa Kirkuk kuzuia ghasia
Mji huo ulishuhudia vurugu baina ya makundi hasimu ya kikabila siku ya Jumamosi zilizosababisha vifo vya watu wanne.
Watu 16 wapoteza maisha ajali ya gari Iraq
Watu 16 wamekufa usiku wa kuamkia leo kutokana na ajali ya gari iliyotokea kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Jordan yashutumiwa kufanya shambulio la anga Syria
Shambulio la anga la leo dhidi ya kinachodaiwa kiwanda cha dawa za kulevya, Syria limesababisha uharibifu.
Iran: Mashambulizi dhidi ya Syria huenda yakachochea visasi
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amirab-dollahian amelaani shambulio la anga la Israel mjini Aleppo.
Maandamno Syria: Mapinduzi mapya au masuala ya kiuchumi?
Maandamano ya kuipinga serikali yamepata nguvu. Baadhi wanasema mapinduzi mapya yanaanza, huku wengine wakitaja uchumi.
Iran, Iraq zakubaliana kupambana na 'magaidi' Kurdistan
Iran na Iraq zitayang'anya silaha na kuyahamisha yale zinazoyaita 'makundi ya kigaidi' katika jimbo la Kurdistan.
Wataalamu wa UN wasema kundi la IS lazidi kujiimarisha Mali
Wataalamu wamesema, mashambulizi hasa yanaosababishwa na wapiganaji wa IS yamefanya mkataba huo wa amani kuwa dhaifu
Miaka 10 baada ya shambulizi la kemikali Ghouta nchini Syria
Muongo mmoja baada ya shambulizi baya la kemikali dhidi ya raia, hakuna yeyote ambaye amewajibishwa hadi sasa.
Wapiganaji 8 wameuwawa kwa mashambulizi ya anga ya Urusi
Wapiganaji 8 wameuwawa kwa mashambulizi ya anga ya Urusi
Iraq na Umoja wa Mataifa wakumbuka shambulio la 2003
Shambulio la Agosti 19 mwaka 2003 katika jengo la Umoja wa Mataifa mjini humo liliwaua watu 22.
Marekani yawawekea vikwazo wanamgambo washirika wa Uturuki
Marekani imeyawekea vikwazo makundi mawili ya wanamgambo yanayoungwa mkono na Uturuki na viongozi wao.
Miripuko yailenga ghala la maroketi nchini Syria
Tukio hilo linafuatia shambulio jingine la anga la Jumatatu iliyopita lililofanywa na Israel karibu na Damascus
Watu wenye silaha waua askari 23 Syria
Watu wenye silaha wamelishambulia basi lililowabeba wanajeshi wa Syria na kuwaua takribani askari 23.
UN yasema imeafikiana na Syria kuhusu uingizaji misaada
Umoja wa Mataifa umesema umefikia makubaliano na Syria kupeleka misaada ya kiutu maeneo yanayodhibitiwa na waasi,
Miezi 6 baada ya tetemeko la ardhi huko Syria na Uturuki
Takriban watu 60,000 nchini Uturuki walipoteza maisha na wengine 125,000 kujeruhiwa. Miji 13 iliathiriwa na janga hilo.
IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake huko Syria
Kundi linalojiita Dola la Kiislam IS limethibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Hussein al-Husseini al-Quraishi.
IS yatangaza kifo cha kiongozi wake, yateua mpya
IS imesema kiongozi wake, Abu al-Hussein al-Husseini al-Qurashi, aliuawa katika makabiliano nchini Syria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 77
Ukurasa unaofuatia