You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Israel yaushambulia mji wa Homs nchini Syria
Kambi ya jeshi imelengwa kusini mw amji wa Homs
Saudi yazindua mradi wa ujenzi mpya Damascus na viunga vyake
Hatua hii inakuja wiki chache baada ya Riyadh kuahidi uwekezaji wa mabilioni kusaidia ujenzi upya.
Wasyria warejea taratibu kutoka Ujerumani, wasiwasi bado upo
Kufikia mwisho wa mwezi Agosti raia 1,867 wa Syria walikuwa wamerudi kutoka Ujerumani kwa msaada wa serikali kuu.
Wakimbizi wa Syria wameanza kurejea kwao kutoka Ujerumani
Ujerumani yajitahidi kuwarejesha kwa hiari makwao raia wa Syria.
Matumaini na chuki: Jinsi uhamiaji ulivyoibadili Ujerumani
Ujerumani imepitia mabadiliko makubwa tangu wimbi la wahamiaji la mwaka 2015, likileta matumaini na hofu kwa baadhi.
Takriban watu 250,000 kote duniani hawajulikani waliko
Shirika la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa watu zaidi ya watu 250,000 duniani kote wanaaminika kuwa wamepotea.
Wasiwasi juu ya kuongezeka kwa makundi ya kigaidi Iraq
Iraq inaweza kujikuta katika mgogoro wa kidiplomasia na mataifa washirika kama vile Marekani na Uturuki.
Nani wakulaumiwa katika mivutano ya ndani Syria?
Tume ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti iliyoeleza visa vya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji na utekaji Syria.
Mchakato wa uchaguzi wa bunge waahirishwa Syria
Msemaji wa tume hiyo Hassan al-Daghim amesema uchaguzi utafanyika hali itakaporuhusu.
Ujerumani yamfungulia mashtaka raia wa Urusi
Raia wa Urusi ashtakiwa kwa kupanga shambulio ubalozi wa Israeli Berlin na kwa nia ya kujiunga na kundi la IS Pakistan.
Njaa yatumika kama silaha ya vita katika maeneo ya migogoro
Wanaharakati wasema maovu hayo yanaweza kuadhibiwa chini ya sheria ya kimataiafa na wanataka yakomeshwe haraka.
Syria na Israel wafanya mazungumzo ya ngazi ya juu
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Syria Asaad al-Shibani amefanya mkutano wa nadra na ujumbe wa Israeli mjini Paris.
Rais wa Syria asema nchi haiunganishwi kwa kumwaga damu
Rais wa Syria asema kuunganisha nchi hapaswi kuwa kwa kumwaga damu
Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya halaiki Syria
Umoja wa Mataifa walaani machafuko ya kimadhehebu yaliyosababisha mauaji ya halaiki Syria.
Uturuki na Syria wasaini mkataba wa ushirikiano na ulinzi
Uturuki na Syria zimetia saini mkataba wa ushirikiano kuhusu ulinzi huku Ankara.
Watu wawili wauawa katika mapigano mapya kusini mwa Syria
Mkoa wa Sweida kusini mwa Syria ulishuhudia machafuko makubwa ya kikabila na kimadhehebu.
Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria
Hii ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa juu wa serikali mpya ya Syria tangu kupinduliwa Bashar al-Assad.
Mamlaka za Syria zaanzisha uchunguzi wa mauaji ya Sweida
Kamati kama hiyo iliundwa mwezi Machi wakati ghasia za kidini zilipozuka Pwani ya Syria na kuua mamia ya raia wa Alawite
Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ziarani nchini Urusi
Al-Shibani amesema Syria inalenga kurekebisha uhusiano wake na Urusi.
Israel yaripotiwa kuendeleza mashambulizi kusini mwa Syria
Israel imeyashambulia maeneo kadhaa kwenye jimbo la Sweida linalokaliwa na raia wengi wa jamii ya Druze nchini Syria.
ADF wawaua zaidi ya watu 40 waliokuwa kanisani DRC
Kundi la ADF lenye asili ya Uganda na wapiganaji wenye misimamo mikali ya kidini wamewaua maelfu ya raia
Mzozo wa Sweida na sura zake kijamii, kisiasa na kimataifa
Mzozo unatokota kati ya jamii ya Bedoui na Druze katika mkoa wa Sweida kusini mwa Syria unazidi kuchukua sura anuwai.
Syria yaiomba Uturuki msaada wa kuimarisha ulinzi wake
Kwa muda mrefu Uturuki imekuwa ikidhihirisha nia yake ya kuisaidia Syria.
Syria yaanzisha uchunguzi kuhusu machafuko ya Sweida
Syria imeanzisha uchunguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na mauaji ya hivi karibuni katika machafuko huko Sweida.
Ujerumani yawarudisha kwao raia 43 wa Iraq
Wairaq wote 43 hawajaoa na baadhi yao wamewahi kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu.
Kuwapokonya silaha Hezbollah ni suala la ndani la Lebanon
Barrack alikutana na rais wa Lebanon Joseph Aoun.
Serikali ya Syria yaanza kuhamisha familia za Bedui
Mapigano Sweida yasitishwa kwa kiasi kikubwa na juhudi za kusitisha mapigano kabisa zinaendelea.
Miili ya waliouawa yashuhudiwa Sweida, utulivu warejea
Hali mjini Sweida nchini Syria sasa imeripotiwa kutulia baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa.
Hali ya utulivu yashuhudiwa mkoa wa Sweida, Syria
Idadi ya vifo inaripotiwa imefikia 1,120
21.07.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mashambulizi ya risasi ya Israel yawaua watu 93 katika Ukanda wa Gaza. Hali ya utulivu yashuhudiwa Syria huku vifo vifikia 1,120 katika eneo la kusini mwa nchi hiyo. Na Ukraine yaripoti makabiliano zaidi ya 100 na Urusi katika eneo lake la mashariki.
Sweida sasa ni tulivu baada ya mapigano makali ya kidini
Waziri wa habari wa Syria Hamza Al-Mostafa, amesema bado wanafuatilia hali ilivyo mjini humo.
EU yapongeza hatua ya usitishwaji mapigano Syria
Idadi ya vifo kutokana na makabiliano hayo yaliyoanza mwishoni mwa wiki iliyopita sasa imefikia watu 940.
Syria yatangaza usitishwaji mapigano katika jimbo la Sweida
Vikosi vya Syria vimeanza kutumwa katika jimbo la Sweida kwa lengo la kuwalinda raia.
Vikosi vya serikali ya Syria vyajiandaa kurejea Sweida
Mapigano mapya yamezuka kati ya wanamgambo wa jamii ya Druze na wale wa Kibedui.
Vikosi vya Syria vyarejea kwenye mji wa Sweida
Mapigano yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 500 huku zikiweko ripoti za kutokea mauaji ya kikatili dhidi ya raia
Turk ahimiza uwajibikaji katika mauwaji ya Sweida
Turk, atoa wito kwa mamlaka za Syria kuhakikisha uwajibikaji na haki kwa mauaji katika jimbo la Sweida, Syria.
Waliokufa katika mapigano ya kusini mwa Syria wapindukia 500
Shirika linalofuatilia haki za binadamu la Syria lenye makao yake makuu Uingereza limerekodi vifo vya raia 83 wa jamii y
Israel yaishambulia Syria
Israel imeishambulia Syria kwa makombora ikipelekea vifo vya watu kadhaa.
Zaidi ya watu 500 wauawa Sweida, serikali yajiondoa
Syria inaendelea kukumbwa na changamoto za kiusalama, hatari ya mpasuko wa kitaifa na vitisho kutoka jirani yake Israel.
Ujerumani yatoa wito uthabiti wa Syria usiyumbishwe
Israel imefanya mashambulizi Syria kwa nia ya kuwalinda watu wa jamii ya Druze
Moto mkubwa wawauwa zaidi ya watu 60 Iraq
Zaidi ya watu 60 wamekufa baada ya moto mkubwa kuzuka kwenye jengo lenye maduka mengi katika mji wa al Kut nchini Iraq.
Shinikizo la kisiasa na vurugu za kidini kusini mwa Syria
Israel imeshambulia maeneo ya utawala mjini Damascus kwa madai ya kuwaunga mkono Wadruze dhidi ya mashambulizi.
Rais wa Syria aionya Israel dhidi ya kuiburuza Syria vitani
China imetoa wito uhuru wa Syria uheshimiwe kufuatia shambulizi la Israel kuiunga mkono jamii ya Druze.
Moto katika duka kubwa Iraq waua watu 61
Wengi wallikufa kutokana na kushindwa kupumua wakiwa bafuni
Syria yasema vikosi vyake vinajiondoa mjini Sweida
Syria ilisema hatua hiyo inafuatia wito wa Marekani wa kuvitaka vikosi vya Syria kuondoka eneo hilo la jamii ya Druze.
Israel yaendeleza mashambulizi Syria
Israel imeongeza operesheni zake za kijeshi Syria, ikishambulia lango la makao makuu ya Wizara ya ulinzi Damascus.
Israel yafanya mashambulizi mapya mjini Damascus, Syria
Jeshi la Israel limeshambulia karibu na lango la wizara ya ulinzi ya Syria huko Damascus
Wanajeshi watatu wa Kenya wauawa karibu na mpaka na Somalia
Msafara wa wanajeshi wa Kenya uligonga kilipuzi karibu na Somalia.
Idadi ya vifo kutokana na ghasia Syria yafikia 248
Shirika linalofuatilia haki za binadamu la Syria Observatory laripoti kuongezeka kwa vifo Syria.
Ethiopia yawakamata makumi ya washukiwa wa kundi la IS
Kundi la IS nchini Somalia limezidi kuwa sehemu muhimu ya mtandao mkuu wa kimataifa wa wanamgambo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 77
Ukurasa unaofuatia