Miongoni mwa yaliyomo kwenye Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo ni: Canada yajipanga kuitambua Palestina kama Taifa Huru ifikapo mwezi Septemba kwenye Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa | Mamilioni ya watu warejea nyumbani baada ya tahadhari ya Tsunami kwenye pwani ya Pasifiki kuondolewa | Wakosoaji wa Kremlin waishutumu Uswisi kwa kuwakaribisha "wahalifu wa kivita" wa Urusi.