Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa kuongezwa kwa msaada wa chakula Gaza, akionya kuwa watoto wanakumbwa na njaa kali//Mawimbi ya tsunami yamepiga Hawaii kufuatia tetemeko kubwa la ardhi katika pwani ya mashariki ya Urusi//Upinzani nchini Ivory Coast umekasirishwa na hatua ya Rais Alassane Outtara ya kutangaza rasmi jana kugombea muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwezi Oktoba.