Misaada ya kibinadamu inaendelea kuingia Ukanda wa Gaza kwa kasi zaidi ya wiki zilizopita// Makombora ya Urusi yameshambulia kambi ya mafunzo ya kijeshi ya Ukraine katika eneo la Chernihiv// Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 18, ada ya kuingia kwenye hifadhi na mbuga za wanyama nchini Kenya inaongezwa kwa watalii wa kigeni, raia na majirani wa kikanda.