Karibu usikilize taarifa ya habari ya asubuhi ya leo, ambapo pamoja na nyinginezo utasikia Ukraine yajiandaa kujiondoa kwenye mkataba wa Ottawa unaozuia matumizi ya mabomu ya ardhini ++++ Iran yaonyesha 'mashaka makubwa' juu ya uamuzi wa Israel wa kusitisha mapigano ++++ Watu 11 wafa baada ya kuporomokewa na mgodi wa dhahabu huko Sudan. Utasikia pia Makala tulizokuandalia.