Uingereza imeionya Rwanda kwamba inaweza kuathiri msaada wa dola bilioni moja kutokana na kuhusika kwake na machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Bunge la Ujerumani limeupitisha muswada wa kuwakataa wahamiaji wengi zaidi mipakani.