Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mashirika makuu ya misaada ya Umoja wa Mataifa yametoa wito misaada ya kiutu kupelekwa kwa wingi Gaza, huku yakionya kuwa muda umekwisha na kwamba eneo la Palestina liko katika ukingo wa kukumbwa na baa la njaa / Chama tawala CCM kimetangaza majina ya wagombea walioteuliwa kwenye uteuzi wa awali kwa ajili ya kuwania nafasi za ubunge na uwakilishi