Korea Kusini yapanga kufanya mazungumzo na Marekani kuhusiana na kuongeza ukubwa wa vichwa vya makombora yake, Rais wa Venezuela Nicolas Maduro aendeleza mpango wake wa kuitisha kura yenye utata itakayopigwa kesho Jumapili, pamoja na shinikizo la kuipinga, na Rais wa Marekani Donald Trump amfuta kazi mkuu wa shughuli za Ikulu.