Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa Rwanda na waasi wa M23 huko Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo/ Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema jana kwamba nchi yake inaweza kufanya mazungumzo ya amani na Ukraine