Hatua ya Israel ya kusitisha mapigano kwa muda wa saa kadhaa huko Gaza imewezesha malori ya misaada zaidi ya 100 kuingia katika Ukanda huo//Mwishoni mwa Juma Chama cha Mapinduzi (CCM) kilifanya Mkutano Mkuu na kufanya mabadiliko ya kuongeza idadi ya majina ya wana CCM wasiozidi watatu kwa kila jimbo la uchaguzi walioomba nafasi za ubunge.