Licha ya Israel kutangaza usitishwaji kwa muda wa mapigano, makumi ya watu wameripotiwa kuuawa huko Gaza //Wadau kutoka mataifa mbalimbali duniani leo wameshiriki jukwaa la Akili Unde, linalofanyika jijini Dar es Salaam// Baraza la habari Tanzania MCT limesema kwamba linaunda timu ya maalumu ya kidijitali itakayokuwa na jukumu la kuhakiki ukweli wa taarifa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.