Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema ndege zake za kivita zimeyashambulia maeneo ya waasi wa Houthi+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anakutana mchana huu na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz mjini Berlin+++Kenya imeiomba radhi Tanzania na Uganda kufuatia siku kadhaa za kurushiana maneno makali baada ya wanaharati wake na wa Uganda kujikuta pabaya kwa jirani