Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kiongozi wa wanamgambo wa Hamas mjini Gaza Mohammed Sinwar ameuwawa+++Ujerumani imeiahidi Ukraine uungaji mkono mkubwa Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi+++Wakuu wa majeshi na wataalamu wa usalama kutoka nchi za kiafrika wanakutana kwa mara ya kwanza nchini Kenya