Ujerumani na Finland zimeyatolea mwito mataifa duniani kuongeza "shinikizo" kwa Israel kuridhia kufungua milango ya kuingizwa msaada wa kiutu kwenye Ukanda wa Gaza+++Kenya imesema inaunga mkono mpango wa Morocco wa kulipatia mamlaka yake ya ndani eneo linalozozaniwa la Sahara Magharib+++ Vita nchini Ukraine vyaiingia mwaka wa nne