Umoja wa Ulaya hii leo Ijumaa umemtaka Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir kubadili mwelekeo wa mambo na hivyo kuupunguza mvutano nchini mwake+++Urusi imesema hivi leo kwamba kitendo cha Umoja wa Ulaya kukataa kwa kulegeza vikwazo dhidi yake, kunaonyesha kuwa umoja huo hautaki amani nchini Ukraine.