Vyama vya kihafidhina vilivyoshinda uchaguzi wa Jumapili iliyopita nchini Ujerumani vya CDU-CSU, vimeanza mazungumzo ya awali ya kuunda serikali ya muungano na chama cha SPD+++Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema bado anafanya mashauriano na wananchi kabla ya kutoa mwelekeo wake wa kisiasa.