Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ahutubia Bunge la nchi hiyo ikiwa ni hotuba yake ya mwisho bungeni kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu / Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema, uwezekano wa mazungumzo mapya na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake umeathiriwa kwa kiasi kikubwa.