Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi imesema kuwa mashambulizi yake makali nchini Ukraine siku tatu zilizopita yalikuwa ni "jibu" kwa mashambulizi ya droni yaliyofanywa na Ukraine na kuwalenga raia wa Urusi / Rais wa Marekani Donald Trump ameipongeza hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuandaa mazungumzo ya kibiashara na nchi yake