Baada ya takriban miaka miwili ya mapigano kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF pamoja na washirika wao, jeshi hilo linadaiwa kuikomboa ikulu ya Rais katika mji mkuu, Khartoum+++Serikali mpya ya mpito ya Syria iliahidi kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya ambayo mtawala wa zamani wa nchi hiyo alijitajirisha nayo.