Kundi la Hamas la Palestina limearifu kuwa mmoja wa wasemaji wake Abdul Latif al-Qanou ameuwawa mapema leo+++Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG), iliyobainisha ongezeko la deni la taifa kutoka Tsh trilioni 82.25 za kitanzania hadi Trilioni 97.35 kwa mwaka wa fedha 23/24