Mwendesha Mashtaka mkuu wa mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya ICC Karim Khan amesema mahakama za Kimataifa zimeshindwa kuuzuia ukatili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Hamas imeikabidhi miili ya mateka wanne wa Israel, na nchi hiyo pia imewaachia huru mamia ya wafungwa wa Kipalestina kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza