Waasi wa kundi la M23 wameingia kwenye kitovu cha mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Goma// Israel imewaruhusu maelfu ya Wapalestina kuanza safari ya kurejea Kaskazini mwa Gaza leo Jumatatu// Takriban watu 70 wameuawa nchini Sudan katika shambulio lililolenga hospitali pekee inayofanya kazi katika mji uliozingirwa wa El Fasher.