Milipuko ya mizinga imeutikisa mji wa Goma leo hii// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuongeza muda wa miezi sita wa vikwazo vinavyolenga kuinyima fedha Urusi kutokana na vita vyake nchini Ukraine// Leo mi maadhimisho ya miaka 80 tangu kukombolewa kwa kambi ya Auschwitz na wanajeshi wa Kisovieti.