Nchi za Jumuiya ya kujihami ya NATO zakubali kuongeza bajeti kwa ajili ya ulinzi. Watu wasiopungua wanane wauwawa nchini Kenya katika maandamano ya machafuko. Na Rais wa Marekani Donald Trump aitaka Israel imfutie kesi ya rushwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu.