Watu kumi na sita wameuawa wakati wa maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali nchini Kenya siku ya Jumatanowengi wao wakiripotiwa kuuawa na polisi// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza kuwa kampuni ya kisheria Amsterdam and partners, LLP ya Marekani kwa sasa itakuwa na wajibu wa ushauri wa kisheria na uwakilishi katika kesi zinazokikabili chama hicho nchini Tanzania