Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wapatanishi wa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kuwaachia huru wafungwa wa Kipalestina / Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameonya juu ya mmomonyoko mkubwa wa mfumo unaoibua kitisho kwenye ukuaji na utulivu wa dunia